Elections 2015 Kauli za Magufuli kwny Kampeni: Je, Sio kumdharirisha Rais Kikwete?

Mwinjilist mtume nabii

JF-Expert Member
Feb 21, 2015
2,437
1,097
mgombea urais wa ccm magufuli mara nyingi amekuwa akiongea maneno ambayo mm naona kama anaipinga au kuishutumu serikali ya awamu ya 4 pale anaposema:

>nashangaa kuona akina mama wajawazito wanalala chini
>vijana hawana ajira
>wanafunzi hawana madawati nk.

je, hapo si kuonyesha kuwa rais jk hajafanya kitu??
ANATAKIWA ASEME HIVI:

>kwenye afya serikali imefikia hapa,na mimi nitafanya haya na haya
>kwny elimu awamu ya 4 imefikia hapa, na mimi nitafanya haya na haya.
LAKINI KWA JINSI ANAVYOONGEA MIMI KAMA MCHUNGAJI NAONA KAMA ANAJIKOSOA NA KUIKOSOA SERIKALI.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
CCM wamechanganyikiwa,hata hawalioni hilo,kwa namna nionavyo ni kama JPM ameachana na CCM na sasa anagombea kama mgombea binafsi,hata Viongozi waandamizi wanapopanda jukwaani aghalabu wamekuwa wakiongea kauli za kukatisha tamaa na kukivua chama,serikali na Viongozi pichu!JMK ni kama anatimiza wajibu kuondoa lawama tu,maana alikwishakitabiria chama umauti na akaweka sumu ambayo sasa inakiua huku wakihaha kutafuta mwarobaini huku israel akisubiri roho yake.
 
Hayo mambo yote na zaidi ni matokeo ya kushindwa kwa hiyo hiyo CCM anayoiwakilisha na kuitumikia.

Nani anayeweza kuja hapa na kusema si CCM ambayo imeshindwa kuyatatua matatizo ya watu?

Leo hii tupo karne ya 21 lakini eti bado tuna wagonjwa wanaolala sakafuni mahospitalini na watoto wanaokaa chini madarasani na wengine hata kusomea chini ya miti!

Karne ya 21 bado tunahangaika na mambo ya mgao wa umeme!

Karne ya 21 kuna sehemu hapa hapa Dar maji ya bomba hakuna!

Halafu kuna wajinga bado wanaliona hilo li CCM kuwa ndo li chama la maana.
 
If Magufuli does not seek to change what is wrong now...if he does not desire to bring change, why, then, is he running in the first place?

Kila uchaguzi wa Rais Mpya kimantiki ni mabadiliko. Mabadiliko yanakuwa ya aina mbili. Change can come from within the system or from outside.

Hoja yako imepata majibu kutoka kwa Mzee Warioba ambaye amesema,
Matatizo yako katika kila sekta na mafanikio pia. Kuna matatizo kwenye kilimo, ufugaji, uvuvi, elimu, maji, ajira, nishati, miundombinu na kadhalika. Kiongozi mzuri ni yule anayetambua mafanikio na kuyatumia kama msingi wa kupambana na matatizo yaliyopo. Wakati wote kutakuwa na matatizo. Maendeleo ni mchakato wa kutatua matatizo na ni mchakato wa kudumu. Hakuna nchi, hata zile ambazo zimeendelea sana, ambazo zimemaliza mchakato wa maendeleo na kumaliza matatizo yote
 
mgombea urais wa ccm magufuli mara nyingi amekuwa akiongea maneno ambayo mm naona kama anaipinga au kuishutumu serikali ya awamu ya 4 pale anaposema:

>nashangaa kuona akina mama wajawazito wanalala chini
>vijana hawana ajira
>wanafunzi hawana madawati nk.

je, hapo si kuonyesha kuwa rais jk hajafanya kitu??
ANATAKIWA ASEME HIVI:

>kwenye afya serikali imefikia hapa,na mimi nitafanya haya na haya
>kwny elimu awamu ya 4 imefikia hapa, na mimi nitafanya haya na haya.
LAKINI KWA JINSI ANAVYOONGEA MIMI KAMA MCHUNGAJI NAONA KAMA ANAJIKOSOA NA KUIKOSOA SERIKALI.

MUNGU IBARIKI TANZANIA

Nyie CCM mwambieni Makufuli asitafune maneno bali aseme anataka mabadiliko tu!!! Asiogope kwani sisi ambao tayari tumeamua kutaka mabadiliko basi tutamuunga mkono kwa hilo. #Mabadiliko
 
mgombea urais wa ccm magufuli mara nyingi amekuwa akiongea maneno ambayo mm naona kama anaipinga au kuishutumu serikali ya awamu ya 4 pale anaposema:

>nashangaa kuona akina mama wajawazito wanalala chini
>vijana hawana ajira
>wanafunzi hawana madawati nk.

je, hapo si kuonyesha kuwa rais jk hajafanya kitu??
ANATAKIWA ASEME HIVI:

>kwenye afya serikali imefikia hapa,na mimi nitafanya haya na haya
>kwny elimu awamu ya 4 imefikia hapa, na mimi nitafanya haya na haya.
LAKINI KWA JINSI ANAVYOONGEA MIMI KAMA MCHUNGAJI NAONA KAMA ANAJIKOSOA NA KUIKOSOA SERIKALI.

MUNGU IBARIKI TANZANIA

Hivi kumbe wewe hujafahamu kwamba John Pombe Magufuli amejiteua kuwa "Kampeni Meneja" wa Edward Lowassa!!?
Kampeni za Magufuli ni kumsafishia njia mgombea wa UKAWA, Edward Ngoyai Lowassa, kazi ya Lowassa kila anapofika ni kusummarize na kuweka msisitizo Tu, hakuna kutoka mijasho na mapovu mdomoni kama mgonjwa wa kifafa!!
 
Hayo mambo yote na zaidi ni matokeo ya kushindwa kwa hiyo hiyo CCM anayoiwakilisha na kuitumikia.

Nani anayeweza kuja hapa na kusema si CCM ambayo imeshindwa kuyatatua matatizo ya watu?

Leo hii tupo karne ya 21 lakini eti bado tuna wagonjwa wanaolala sakafuni mahospitalini na watoto wanaokaa chini madarasani na wengine hata kusomea chini ya miti!

Karne ya 21 bado tunahangaika na mambo ya mgao wa umeme!

Karne ya 21 kuna sehemu hapa hapa Dar maji ya bomba hakuna!

Halafu kuna wajinga bado wanaliona hilo li CCM kuwa ndo li chama la maana.
Miaka minne baadae, CCM ni ile ile
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom