Kauli za Macharia na Balala kwamba Kenya haiwezi kuatarisha maisha ya raia wake kwa ajili ya biashara bado zipo?

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
17,376
2,000
Mtakumbuka kwamba mara kadhaa Macharia na Balala walisisitiza kwamba kamwe Kenya haipo tayari kuhatarisha maisha ya wakenya kwasababu ya kulinda uchumi na biashara. Wamekua wakisema maneno hayo pale walipokua wakijibu maswali ya wanahabari kwanini Tanzania haipo katika orodha ya nchi zilizoruhusiwa bila masharti.

Macharia na viongozi wa Kenya bado wanaamini kwamba, Tanzania kuna wagonjwa wengi na vifo vingi vya Corona ila serikali inaficha ukweli. Viongozi wa Kenya wanajiuliza iweje Kenya inachukua hatua zote muhimu za kujikinga lakini maambukizi yabaongezeka lakini Tanzania haichukui hatua madhubuti iweje maambukizi yasiwe mengi zaidi.

Pamoja na kuamini kwamba Tanzania kuna maambukizi mengi na maiti zinaokotwa mitaani na kuzikwa usiku kama Uhuru Kenyatta alivyowatangazia wakenya, na pamoja na ahadi za Macharia na Balala za kutoiweka Tanzania katika orodha za nchi salama, Kenya imeirudisha Tanzania katika kundi la nchi salama kimyakimya bila kuwaeleza wakenya sababu za kuisafisha Tanzania nchi ambayo Kenya ilisema Tanzania ndio Italy ya East Africa.

Wadau hili limekaaje?
 
Ntaghacha

JF-Expert Member
Jul 28, 2020
498
1,000

😁😁😁😁👇👇
qpcwaykd8b441.jpg
 
Mbolabilika

JF-Expert Member
Jul 30, 2019
1,911

Hili limekaa hivi adui yako muombee njaa atanyosha mikono juu hata kama alikua shujaa hahahaha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom