Kauli za baadhi ya vigogo wa smz wasiotaka kuwepo rais kutokea pemba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli za baadhi ya vigogo wa smz wasiotaka kuwepo rais kutokea pemba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sonara, Jun 3, 2009.

 1. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tukiangalia kwa karibu sana tutagunduwa ya kuwa Rais ajae wa upende wa Zanzibar kwa kiti cha CCM atatokea pemba,imani yangu Rais Jk na Bunge litakuwa na msimamo mazubu wakati wakumpitisha kiongozi huyu, ambae kwa sasa amekuwa kigezo bora cha kiongozi katika pande zote mbili za Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania,imani zetu kwa Rais na Bunge hamtokuwa tayari kuwa Bully na Viongozi wachache, kama ilivyotokea wakati wa kikao cha Butiama.
   
 2. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #2
  Jun 3, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hujaeleweka mkuu, hujaeleza vyema hiyo imani yako ime-base kwenye nini na kwa nini lazima Rais atoke Pemba. Fafanua pls ili tuanze kujadili.
   
 3. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  SONARA,
  Kuna mtu unampigia debe nn?
  mbona SMZ wanamjua mgombea wao wa 2010 na nimuonavyo hatoki Pemba.
   
 4. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Weka sawa bandiko lako kwanza...!
   
 5. E

  Eddie JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2009
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 516
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Rais ajae wa zanzibar hatotoka Pemba wala Unguja bali Mkuranga! nae ni Mh sana Hussein Ali Hassan Mwinyi.
   
 6. J

  JokaKuu Platinum Member

  #6
  Jun 3, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,730
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  ..hivi kwanini Dr.Shein hagombei nafasi hiyo?

  ..halafu Salim naye kwanini amesusa kusaidia kwao kiasi hiki? sijamsikia akisaidia ktk jambo lolote la maendeleo kwao Pemba.
   
 7. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Thubuuuuuuuuuuuutu.
  Hizi si mbio za vijiti ati!
   
 8. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Huyo hana tofauti na Alinacha yule wa Hekaya za Abunwasi
   
 9. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #9
  Jun 3, 2009
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Kaaazi kwer kwer
   
 10. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Alihama Pemba kitambo sana! Kwanza hajui kama kuna Pemba,Unguja ama Tanzania Bara. Kote huko ni nyumbani kwake. Usimzushie kama yeye ni mkabila, utasutwa!
   
 11. J

  JokaKuu Platinum Member

  #11
  Jun 3, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,730
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  Kibunango,

  ..neno ukabila nadhani nalo linaanza kutumiwa kireja-reja kama ufisadi.

  ..sasa kama Pemba,Unguja, na Tanganyika, kote ni kwake, ni lini umemsikia huyu Mzee wetu akijitolea chochote mahali popote kusaidia maendeleo?
   
 12. P

  Pakacha JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 816
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hebu nawe tufafanunulie hicho chochote ni kitu kani kwa mantiki yako? Kwani mawazo na busara za kuongoza wenzio- hivyo vitu huviweki kuwa ni miongoni mwa chochote cha kusaidia jamii?
   
 13. P

  Pakacha JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 816
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Katiba ya Zanzibar haitamki kuwa Rais atoke pande gani. sasa nyie mnaotakam lazima atoke Pemba hamuoni kuwa mnakwenda kinyume na katiba? Katiba ya Zanzibar imesisitiza mambo muhimu ambayo anayetaka kugombea Urais lazima awe nayo. Kwa nini hamjadili hili? Ili tuweze kupata Rais aliye bora.
   
 14. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #14
  Jun 3, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  It is high time sisi watu wa bara tukawaachia wazanzibari wakachagua mtu wanaempenda awaongoze badala ya kila mara kujifanya BIG BROTHER na kuwachagulia viongozi! Nanyi wazanzibari safari hii [2010] waambieni hawa wabara kuwa enough is enough mtachagua mtu wenu!
   
 15. P

  Pakacha JF-Expert Member

  #15
  Jun 3, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 816
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Na nafikiri pia uwaeleze hao Wazanzibari wakuwe sasa na kuacha ile tabia mbovu ya kufuata shangwe tu bila ya nadhari.
   
 16. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #16
  Jun 3, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Pakacha,
  Unakumbuka kile kinachodaiwa kuwa wosia wa Mzee Karume kuwa "...hawa jamaa(wapemba) tuwe nao tu lakini wanatabu kweli...". kwa sababu tu Shamte alikataa kutoa viti vyake kuipa ASP iunde serikali na badala yake akawapa ZNP. Licha ya kukubaliana na ww kuhusu masharti ya katiba lakini sioni kama ina-matter sana na kuwa na uzito wwote kuliko kauli kama hizi.
  Hivyo hata kama Mpemba atakuwa CCM, hawatampendekeza agombee urasi wa zanzibar.
  Ila mm sijasema lazima rais wa zanzibar atoke Pemba lakini nasema na si lazima atoke Unguja siku zote, na nasisitiza huyu waliekwishampendekeza sasa kugombea 2010 si Mpemba.
   
 17. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #17
  Jun 3, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Kwani mwaka 2000 si walishampendekeza mgombea wao Kisiwandui pale ikawaje?
  Wakataka kumkomoa Komandoo na kumuweka kibaraka wao anaila nchi tu.
   
 18. S

  Sabri-bachani Member

  #18
  Jun 3, 2009
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 96
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Junius wewe unapenda sana historia, sawa. Sasa kama Mzee Shamte -huyo ni Mzee wa Kishirazi.Yeye ni sawa sawa na Mzee Thabit Kombo na Mzee Sheikh Daud Mahmoud. Sasa kama unasema Mzee Shamte ana kosa pia useme Mzee Thabit Kombo na Mzee Daud Mahmoud pia walikuwa na makosa.
   
 19. P

  Pakacha JF-Expert Member

  #19
  Jun 3, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 816
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Junius achana na historia. CCM hawapendekezani kwa -wapi unatoka- lakini kwa sifa zao ambazo wameeleza katika katiba yao. Tume ya uchaguzi ina haki ya kupembua na kutoa kauli ya mwisho kuhusu watu wa kuwania Urais wa Zanzibar. Lakini kama Tume iwe huru na haki na iseme sasa pale watakapondekezwa watu (kutoka Chama fulani) ambao hawana sifa (wamepoteza sifa) za kugombea Urais wa Zanzibar. Lets be serious.
   
 20. N

  Ndivyo Ilivyo JF-Expert Member

  #20
  Jun 3, 2009
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 243
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Junius -Nimevunjika moyo. Hii nchi (yetu) haitokwenda ukifirikira U-Pemba na U-Unguja. Achana na mawazo hayo. Achana na historia. Nchi lazima iende kama ni Zanzibar, na wote tuifanyie kazi kama ni Wazanzibari. Zanzibar ndani ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania. Mimi watoto wangu (ni wa la pili Skuli ya Msingi) lakini wanafahamu hii kitu.
   
Loading...