Kauli ya waziri wa mambo ya nje, Ndugu Palamagamba Kabudi ni ya kijasiri na ya kupongezwa

Nianze kwa kutofautiana na wale wanaopinga Kauli ya ndugu Palamagamba Kabudi, alioitoa bungeni, akihitimisha hoja ya wizara ilio chini yake ,(wizara ya Mambo ya nje na ushirikiano wa afrika mashariki) .
Mimi naikubali Sana tu kauli hiyo.

Kiukweli Kabudi kawa mkweli, na jumuiya ya kimataifa imesikia msimamo wa serikali ya awamu ya tano . bila kupepesa

Watanzania tuache woga wa kunyimwa misaada kisa kusema ukweli. Tuwaite Mabeberu au wema kiasi gani, wenyewe wapo kimaslahi zaidi, na si vinginevyo."they don't care the word Beberu "

Trump alituita waafrika shitholes baadhi yetu mlifurahi Sana, kwanini iwe nongwa Kabudi kuwaita Mabeberu? ,hilo jina ni size yao kabisa.

Kuhusu misaada ,nchi hii tumepata misaada mingi lakini tumeendelea kua maskini wa kutupwa, pamoja na utajiri wa raslimali nyingi tulizonazo chini ya ardhi.

Ndugu watanzania, misaada haitatuletea maendeleo, maendeleo tutayapata kwa kufanya kazi kwa bidii katika uzalishaji mali,na kutokomeza rushwa na urasimu maeneo yote yanayohusu maendeleo yetu.

Lazima tusimame Kulinda utu wetu , dhidi ya hila zozote zile dhidi ya taifa letu .
Mgawanyiko wowote ule ni kuwapa fursa na mwanya wa kutuyumbisha ,eventually kutusambaratisha.

Narudia tena kauli ya Palamagamba Kabudi, Mabeberu hawana nia njema na taifa linaloelekea kujikomboa kiuchumi, kwani, uchumi mzuri hukufanya uwe huru dhidi ya mashariti yoyote hasi. Na ikumbukwe mashariti hasi yanazitesa nchi nyingi sana zinazojaribu kujikwamua kiuchumi.

Tujiulize, China, Veatinum, Malasia,Indonesia zimeendelea kwa kupewa misaada?, jibu hapana,ni kwa kufanya kazi kwa bidii huku wakijinyima.hatimaye sasa ni nchi za kupigiwa mfano. Watanzania tulichokua tunakosa ni uadilifu wa watumishi tuliowapa dhamana ya kutuwakilisha.

Rais Magufuli kaonyesha njia, ni jukumu letu sote kuungana nae kuijenga nchi.

Tulichokua watanzania tunakosa ni kiongozi jasiri wa kusimamia raslimali zetu. Leo kapatikana tunamkatisha tamaa na kumzodoa, mbaya Sana.

Lazima tubadili mindset zetu na tukiri ya kwamba tunaweza.

Lingine, Rais Magufuli hajafukuza wawekezaji wa kweli nchi hii, Kama baadhi yetu tunavyofikiri na kuaminishwa ,

Alichokifanya ni kuitoa Tanzania katika jina la shamba la bibi na kuifanya nchi inufaike na raslimali zake .huu ni msamiati mpya Tanzania, kwa slogan yake ya hamsini kwa hamsini. Umekua mwiba kwa makampuni ya kitapeli.

Hata hivyo Rais Magufuli amekua akitoa ruhusa kwa wawekezaji Kama wanaona kuna urasmi kwa wasaidizi wake, wamuone yeye Moja, kwa moja,,hii ni kuonyesha nia yake njema kwa nchi na wawekezaji pia.

Wanaojifanya mazingira magumu ni wale ambao walikua wakizoa tena bila mitaji yoyote ile,kisha kwenda zao, sasa kawabana, kilio chao kimebakia eti mazingira magumu.

Vijana nawahusia tena muda mnaoutumia kutukana mitandaoni na kulalamika, mwaka, miaka, mngeutumia kubuni mbinu za kujikomboa kiuchumi taifa lingekua mbali Sana, kwani serikali iko tayari kusaidiana nanyi katika kuiletea nchi maendeleo .

Matokeo yake mmebobea kwenye lawama na matusi. haya tuendelee na matusi na kulalamika Kama yataleta maendeleo.
Ipi kauli ya kupongezwa awamu hii ndiyo inaongoza kukopa kwa mabeberu huwezi kuwa na kauli mbili akikupa pesa eeeh eeh rafiki mzuri ukinyimwa beberu akili za kishenzi. Ina maana wachina siyo mabeberu mwambieni huyo waziri hafai uwaziri sawa na ndugu yake ameshindwa kuongoza bunge.
Mnataka maisha ya juu huku hamna pesa miradi ya uchimbaji madini ifungeni muanze wenyewe. Huna akili za maisha unabaki kubweka unakopa huku unaongopa.
Afrika ni kilimo bila kuwekeza kwenye kilimo mkawa na viongozi wadhamba wa kutaka kuhenga ati reli ya madaraja huku barabara za mjini hazipitiki ni utoto.

Nchi za afrika zinaweza kuendelea kwa kuwekeza kwenye kilimo nyie viongozi wazungu Mtawaita mabeberu lkn ndy mabwana zenu
 
Mbona ripoti ya CAG inaonyesha awamu hii ndio Kuna wizi mkubwa zaidi ya awamu zilizopita Sasa tukuamini wewe au CAG?
 
Tatizo letu kubwa ni kutokua na ushirikiano miongoni mwetu....

Uwepo wa whites kuepukika ni kazi sana...
Kuingia nao mzozo ni kuvuruga amani ya taifa tu.
Ref: iraq.

Kujitoa kwao si rahisi saana ila cha msingi ni kuishi nao kwa utaratibu mzuuri.

Mikataba iboreshwe.
Mahusiano yawe ya faida.
N.k
 
Tatizo sio kunyimwa misaada.....

kama nchi hatuwezi kujikwamua peke yetu kama kisiwa.

Lazima ushirikiano wa kimataifa uhusike.

Hii serikali lugha ya Diplomasia hamna kitu, naona pengo la Mahiga linajionyesha wazi kabisa.

Huko mbeleni tutarudi kuwaomba akina Mahiga kuweka mambo sawa baada ya kuvurugwa na huu utawala.
 
Nianze kwa kutofautiana na wale wanaopinga Kauli ya ndugu Palamagamba Kabudi, alioitoa bungeni, akihitimisha hoja ya wizara ilio chini yake ,(wizara ya Mambo ya nje na ushirikiano wa afrika mashariki) .
Mimi naikubali Sana tu kauli hiyo.

Kiukweli Kabudi kawa mkweli, na jumuiya ya kimataifa imesikia msimamo wa serikali ya awamu ya tano . bila kupepesa

Watanzania tuache woga wa kunyimwa misaada kisa kusema ukweli. Tuwaite Mabeberu au wema kiasi gani, wenyewe wapo kimaslahi zaidi, na si vinginevyo."they don't care the word Beberu "

Trump alituita waafrika shitholes baadhi yetu mlifurahi Sana, kwanini iwe nongwa Kabudi kuwaita Mabeberu? ,hilo jina ni size yao kabisa.

Kuhusu misaada ,nchi hii tumepata misaada mingi lakini tumeendelea kua maskini wa kutupwa, pamoja na utajiri wa raslimali nyingi tulizonazo chini ya ardhi.

Ndugu watanzania, misaada haitatuletea maendeleo, maendeleo tutayapata kwa kufanya kazi kwa bidii katika uzalishaji mali,na kutokomeza rushwa na urasimu maeneo yote yanayohusu maendeleo yetu.

Lazima tusimame Kulinda utu wetu , dhidi ya hila zozote zile dhidi ya taifa letu .
Mgawanyiko wowote ule ni kuwapa fursa na mwanya wa kutuyumbisha ,eventually kutusambaratisha.

Narudia tena kauli ya Palamagamba Kabudi, Mabeberu hawana nia njema na taifa linaloelekea kujikomboa kiuchumi, kwani, uchumi mzuri hukufanya uwe huru dhidi ya mashariti yoyote hasi. Na ikumbukwe mashariti hasi yanazitesa nchi nyingi sana zinazojaribu kujikwamua kiuchumi.

Tujiulize, China, Veatinum, Malasia,Indonesia zimeendelea kwa kupewa misaada?, jibu hapana,ni kwa kufanya kazi kwa bidii huku wakijinyima.hatimaye sasa ni nchi za kupigiwa mfano. Watanzania tulichokua tunakosa ni uadilifu wa watumishi tuliowapa dhamana ya kutuwakilisha.

Rais Magufuli kaonyesha njia, ni jukumu letu sote kuungana nae kuijenga nchi.

Tulichokua watanzania tunakosa ni kiongozi jasiri wa kusimamia raslimali zetu. Leo kapatikana tunamkatisha tamaa na kumzodoa, mbaya Sana.

Lazima tubadili mindset zetu na tukiri ya kwamba tunaweza.

Lingine, Rais Magufuli hajafukuza wawekezaji wa kweli nchi hii, Kama baadhi yetu tunavyofikiri na kuaminishwa ,

Alichokifanya ni kuitoa Tanzania katika jina la shamba la bibi na kuifanya nchi inufaike na raslimali zake .huu ni msamiati mpya Tanzania, kwa slogan yake ya hamsini kwa hamsini. Umekua mwiba kwa makampuni ya kitapeli.

Hata hivyo Rais Magufuli amekua akitoa ruhusa kwa wawekezaji Kama wanaona kuna urasmi kwa wasaidizi wake, wamuone yeye Moja, kwa moja,,hii ni kuonyesha nia yake njema kwa nchi na wawekezaji pia.

Wanaojifanya mazingira magumu ni wale ambao walikua wakizoa tena bila mitaji yoyote ile,kisha kwenda zao, sasa kawabana, kilio chao kimebakia eti mazingira magumu.

Vijana nawahusia tena muda mnaoutumia kutukana mitandaoni na kulalamika, mwaka, miaka, mngeutumia kubuni mbinu za kujikomboa kiuchumi taifa lingekua mbali Sana, kwani serikali iko tayari kusaidiana nanyi katika kuiletea nchi maendeleo .

Matokeo yake mmebobea kwenye lawama na matusi. haya tuendelee na matusi na kulalamika Kama yataleta maendeleo.
Asante kiongozi kwa maneno ya busara na ushauri mzuri kwa vijana!
 
Umeongea vizuri sana sasa tufanye hivi budget ni mwezi ujao ktk budget yetu kusiwe na kipengere chochote kinachosema asilimia nyingine zitasaidiwa na wahisani! Yaani tusiwe kama rwanda ambao budget yao asilimia 70 ni msaada wa wahisani hao mabeberu! Kwa hiyo tujitegemee asilimia mia na pia condoms, arvs, dawa za malaria etc wanazotuchangia mabeberu vyote tuvikatae! Halafu ndo mje hapa kutoa mimacho kama mjusi aliyebanwa na mlango!

Mnataka kutuaminisha ujinga hapa, nchi ni maskini bila msaada budget hazipiti, mnakaa kwenye ma v8 na kila kitu mnalipiwa na serikali halafu mnajifanya kujisahaulisha hapa, tokeni hapo mjini nendeni vijijini mkaone watu wanavyoteseka!
Siyo wazungu wote ni mabeberu mkuu!! Mabeberu ni wale tu wanaotaka kutunyonya kwa kupitia mlango wa nyuma wa misaada au uwekezaji uchwara!
 
Watz tuache mzaha, hiyo kauli kaitoa pale hata haiwezi vuka fensi inayozunguka eneo hilo alafu unasema ni shujaa!!! Tumerogwa...
Kwa taarifa yako citizens inaeleza chote kesho na ndio gazeti husomwa na foreigners kwa wingi, wakiwemo mabalozi
 
Nianze kwa kutofautiana na wale wanaopinga Kauli ya ndugu Palamagamba Kabudi, alioitoa bungeni, akihitimisha hoja ya wizara ilio chini yake ,(wizara ya Mambo ya nje na ushirikiano wa afrika mashariki) .
Mimi naikubali Sana tu kauli hiyo.

Kiukweli Kabudi kawa mkweli, na jumuiya ya kimataifa imesikia msimamo wa serikali ya awamu ya tano . bila kupepesa

Watanzania tuache woga wa kunyimwa misaada kisa kusema ukweli. Tuwaite Mabeberu au wema kiasi gani, wenyewe wapo kimaslahi zaidi, na si vinginevyo."they don't care the word Beberu "

Trump alituita waafrika shitholes baadhi yetu mlifurahi Sana, kwanini iwe nongwa Kabudi kuwaita Mabeberu? ,hilo jina ni size yao kabisa.

Kuhusu misaada ,nchi hii tumepata misaada mingi lakini tumeendelea kua maskini wa kutupwa, pamoja na utajiri wa raslimali nyingi tulizonazo chini ya ardhi.

Ndugu watanzania, misaada haitatuletea maendeleo, maendeleo tutayapata kwa kufanya kazi kwa bidii katika uzalishaji mali,na kutokomeza rushwa na urasimu maeneo yote yanayohusu maendeleo yetu.

Lazima tusimame Kulinda utu wetu , dhidi ya hila zozote zile dhidi ya taifa letu .
Mgawanyiko wowote ule ni kuwapa fursa na mwanya wa kutuyumbisha ,eventually kutusambaratisha.

Narudia tena kauli ya Palamagamba Kabudi, Mabeberu hawana nia njema na taifa linaloelekea kujikomboa kiuchumi, kwani, uchumi mzuri hukufanya uwe huru dhidi ya mashariti yoyote hasi. Na ikumbukwe mashariti hasi yanazitesa nchi nyingi sana zinazojaribu kujikwamua kiuchumi.

Tujiulize, China, Veatinum, Malasia,Indonesia zimeendelea kwa kupewa misaada?, jibu hapana,ni kwa kufanya kazi kwa bidii huku wakijinyima.hatimaye sasa ni nchi za kupigiwa mfano. Watanzania tulichokua tunakosa ni uadilifu wa watumishi tuliowapa dhamana ya kutuwakilisha.

Rais Magufuli kaonyesha njia, ni jukumu letu sote kuungana nae kuijenga nchi.

Tulichokua watanzania tunakosa ni kiongozi jasiri wa kusimamia raslimali zetu. Leo kapatikana tunamkatisha tamaa na kumzodoa, mbaya Sana.

Lazima tubadili mindset zetu na tukiri ya kwamba tunaweza.

Lingine, Rais Magufuli hajafukuza wawekezaji wa kweli nchi hii, Kama baadhi yetu tunavyofikiri na kuaminishwa ,

Alichokifanya ni kuitoa Tanzania katika jina la shamba la bibi na kuifanya nchi inufaike na raslimali zake .huu ni msamiati mpya Tanzania, kwa slogan yake ya hamsini kwa hamsini. Umekua mwiba kwa makampuni ya kitapeli.

Hata hivyo Rais Magufuli amekua akitoa ruhusa kwa wawekezaji Kama wanaona kuna urasmi kwa wasaidizi wake, wamuone yeye Moja, kwa moja,,hii ni kuonyesha nia yake njema kwa nchi na wawekezaji pia.

Wanaojifanya mazingira magumu ni wale ambao walikua wakizoa tena bila mitaji yoyote ile,kisha kwenda zao, sasa kawabana, kilio chao kimebakia eti mazingira magumu.

Vijana nawahusia tena muda mnaoutumia kutukana mitandaoni na kulalamika, mwaka, miaka, mngeutumia kubuni mbinu za kujikomboa kiuchumi taifa lingekua mbali Sana, kwani serikali iko tayari kusaidiana nanyi katika kuiletea nchi maendeleo .

Matokeo yake mmebobea kwenye lawama na matusi. haya tuendelee na matusi na kulalamika Kama yataleta maendeleo.
Rubbish
 
Naunga hoja mkono..
Mabeberu wababaishaji wakafie mbalii
Kwa sasa Zimbabwe wananunua mahindi.

Hapo awali kuna wajinga waliolewa kilevi cha madaraka walisikika wakisema kama ulivyosema (yaani ni kama umewanukuu)
 
Prof.Mh. Kabudi hakika ni mwanamapinduzi na mzalendo wa kweli katika nchi yake na Afrika kwa ujumla.
Hoja zake ni mwiba kwa mabeberu,na mwanga kwa Tanzania na Afrika ijayo.
Nchi nyingi za Afrika zitajifunza uzalendo kama ambavyo ilikuwa enzi ya Hayati Mwl.J.K Nyerere katika harakati za ukombozi wa Nchi za kusini mwa Afrika katika mikono ya Utawala wa Mabeberu.
 
Kwa taarifa yako citizens inaeleza chote kesho na ndio gazeti husomwa na foreigners kwa wingi, wakiwemo mabalozi

Hata Nyerere alikuwa na jeuri kwa hao the so called mabeberu, watu waliishia kuvaa viraka. Kibaya zaidi wanaoongea kwa jeuri leo hii hawajawahi kuwa nje ya ajira, na jeuri yao ya sasa inachangiwa na kwamba wanapata kila kitu huku wakilipwa mishahara minono. Mfano Kabudi anaoongea kwa jeuri maana kwa mwezi anapata zaidi ya 20m, na anaipata kwa wakati bila kujali tija ya kile anachosimamia. Kabudi alisimamia mazungumzo dhidi ya Barrick mpaka sasa hatujalipwa hata mia mbovu, akaingia mkataba wa kitapeli na Kampuni ya kitapeli toka Kenya. Sasa mtu kama huyo akiongea kwa jeuri unajiuliza ni kwa ujanja gani alionao?
 
Kama kuna shida inayoisumbua nchi sasa ni watu wanaoitwa wapinzan... ndio maana Kagame anaua tu...... wapo kwa ajili ya kupinga tu na kutafuta sifa kwenye social networks
 
Mbaya zaidi maadui wa taifa wamewageuza platform yao kulisumbua taifa
 
Pumbavu wewe, russia ni kitu gan anakitegemea kwa western countries?? Sema wanategemeana.... mbona mnalishwa propaganda za kijinga?? Toka lini misaada inaondoa umasikini??
wajinga na wapumbavu ndio wanaweza kumpongeza professor kabundi. nchi inaingizwa kwenye matatizo makubwa kama Mugabe alivyo ingiza Zimbabwe kwenye dimbwi la umasikini. halafu bila aibu unawashauri watu waunge mkona vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu na utawala wa kiimula usio zingatia sheria na kayiba za nchi. hivi kweli Tanzania inauwezo gani wa kujiamlia mambo yake bila kushirikiana na mataifa mengine hasa ya magaribi ? Russia na china pamoja na uchumi na technology walizo huwezi kuwasikia wakitunishia misuri vikwazo vya kimataifa halafu hawa washamba malimbukeni wa awamu ya tano ndio wanao wenza kuiendeleza tanzania bila misaada! miaka hamsina kitu ya maraisi wanne tena wenye akili walishinda na misada wakipokea halafu huyo wa chato aliye weka uwaja wa ndege na bank kijijini kwake ambavyo vimekuwa makao makuu ya panya na bundi ndio awe na uwezo wa kuitowa Tanzania kwenye nchi tegemezi? ndonto za mvuta bangi hizo.
 
Back
Top Bottom