Kauli ya waziri sitta tuiunge mkono kwa vitendo!!!... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli ya waziri sitta tuiunge mkono kwa vitendo!!!...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbaha, Dec 8, 2010.

 1. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #1
  Dec 8, 2010
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hivi kwa nini hatuandamani kuonesha kukerwa kwetu na hawa MAFISADI!!!??? What's wrong with us??!!! Tatizo letu hasa ni nini??!! Are we bewitched or something???!!! Hawa watu wataendelea "kuhomola" nchi bila misukosuko hadi lini? Au tunataka wajukuu zetu waje kufukua makaburi yetu kwa hasira!!? Mimi nafikiri kuna haja ya kubadilika... tena kwa kasi!! Tuandamane!!!... kuonesha kutoridhika kwetu na huu 'upopobawa' wanaotufanyia!!! Ikiwa wenzetu Zambia wanaandamana kwa bei ya mkate kupanda kwa nini sisi hatufanyi hivyo... kwa Shs billioni 185 za sisi walala hoi?!!! 'A hard earned money!!??' Nadhani wakati umefika kwa sisi kuandamana kumuunga mkono Waziri Sitta!! Tutaendelea kuwatoa kafara viongozi wazuri kama yeye hadi lini??!!!("How long shall they kill our prophets, while we stand aside and look???" - Bob Marley). Mchango wetu sisi kama Watanzania wenye uchungu ni nini katika hilo alilolianzisha Waziri SITTA???!..(i.e. Mapambano dhidi ya UFISADI)????!! Ndugu zangu "Acitons speaks louder than WORDS!!!!" Kuna haja ya kuandamana kumuunga mkono WAZIRI SITTA!!!.... 'That will be a clear message to MAFISADI... that we can't take the shit no more!!!..'
   
 2. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #2
  Dec 8, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  naunga mkooono
   
 3. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #3
  Dec 8, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Kama kuna wajumbe 30 kwenye kikao cha baraza la Mawaziri, maamuzi yoyote yatakayofikiwa bila kumhesabu Mh. Sitta ndiyo yatakayotekelezwa; na akiropoka nje ya vikao yatamkuta yale ya Mh Augustino Mrema mwaka 1994 ya kwenda kinyume na "Collective Responsibility". Mh Sitta angefuata ushauri wa Dr. Slaa wa kukaa nje ya baraza la mawaziri. Maana kama anasema mafisadi wanafanya wanavyotaka kwa kuwa wameshika nchi, ina maana na yeye kwa kuwa yuko serikali ni sehemu ya hao wanaofanya wanavyotaka
   
 4. K

  Kiti JF-Expert Member

  #4
  Dec 8, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 228
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Naunga mkonooooo. Hebu angalia aliyosema mzee Madiba
  ....I have cherished the ideal of a democratic and free society in which all persons live together in harmony and with equal opportunities. It is an ideal which I hope to live for and to achieve. But if needs be, it is an ideal for which I am prepared to die.
  Nelson Mandela - April 20, 1964
   
 5. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,828
  Likes Received: 930
  Trophy Points: 280
  tuingie mtaani tukatae hizo hela mafisadi wasipewe
   
 6. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #6
  Dec 8, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Tanzania hatuna watu wa namna hii
  Naamini hiki kizazi cha shule za kata za Lowasa na JK ndio kitakacho tuokoa
   
 7. msafiri.razaro

  msafiri.razaro JF-Expert Member

  #7
  Dec 8, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 616
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  CHADEMA MPO!!!!!!!!!!!!!

  Tunahitaji chama au kundi kuongoza hiki kitendo
   
 8. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #8
  Dec 8, 2010
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Watanzania ni waswahili sana bwana, wanaseeeeeeeema na hawafanyiiiiii!
   
Loading...