Kauli ya Waziri Mkuu; Pinda kwa wabunge wa CCM in maana gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli ya Waziri Mkuu; Pinda kwa wabunge wa CCM in maana gani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Konakali, Jan 24, 2011.

 1. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Juzi katika mkutano mkuu wa wabunge wa CCM pekee uliofanyika pale Ubungo Plaza kwa udhamini wa bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, waziri Mkuu, Pinda aliwaagiza wabunge wa CCM kucha malumbano na badala yake waungane kwa pamoja....!
  Je, maana yake ni nini haswa?
  Je, alikuwa na maana kuwa wabunge wote wa CCM wawe pamoja hata katika maswala ya kulipwa kwa Dowans, Malumbano juu ya mauwaji na majeruhi kutokana na polisi kutumia nguvu na silaha za moto kuwatawanya mikusanyiko na maandamano ya amani ya vyama vingine, na Kuandikwa kwa Katiba Mpya...?
  Vipi kuhusu udhamini wa kikao cha wabunge wa chama kimoja kutoka kwenye bajeti ya bunge; ni sawa?
  Nawasilisha kwa maulizo....!
   
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Alimaanisha waweke maslahi ya chama mbele yaani UCCM na sio utaifa
   
 3. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  kwani hujui jamaa wako kimasilahi ya chama zaidi ya wananchi? wako radhi kuwaona mnakufa ili chama chao kiendelee madarakani..
   
 4. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Bullshit!!
   
 5. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Pinda hastahili kuendelea kuwa PM..
  Huyu mtu amekuwa mnafiki sana..lakini ndiyo hivyo keshaonjeshwa asali..sasa nae anataka kuchonga mzinga.
  But this happens only in Tz, a country disguised as peaceful and tranquil
   
 6. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2011
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,497
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Eti mtoto wa mkulima!!. Kaisha wasahau wakulima (baba na mama zake) kule Katavi.
   
Loading...