Kauli ya Wakenya kuhusu bomba la mafuta: ''We have lost the pipeline deal to Tanzania''

JAMII-ASM

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
1,305
524
image-jpeg.334073


WATAALAMU WA KENYA WATOA SIRI KWA VYOMBO VYA HABARI NA KUWAAMBIA .....''WAKENYA TUMESHA LIKOSA BOMBA..BOMBA LINAKWENDA TANZANIA !!''

Habari zilizonifikia na kuthibitishwa na gazeti maarufu the East African la Kenya ni kwamba wataalam wa Kenya wamevujisha siri, kuwa nchi yao imeukosa mradi wa bomba la mafuta .

Hii ni baada ya wataalamu wa Kenya kukutana na wataalam wa Uganda ambao hawakuwa na ajizi ...kwani waliwatwanga maswali magumu juu ya ujenzi uliokwama wa bandari ya Lamu.

Baada ya kukosa majibu wataalamu wa Kenya waligoma hata kutia sahihi makubaliano ya mwisho kwenye mkutano uliofanyika mjini Kampala tar. 7 April. na kulazimisha waone kilichowasilishwa na Watanzania.
Hata hivyo Waganda waligoma katakata kuonyesha kilichowasilishwa na Watanzania..

Katika mkutano huu wa wataalamu kutoka nchi tatu Wakenya wameonekana ni watu waongo na wababaishaji kwa kutoa takwimu zisizo fanana na uhalisia.

Tangazo rasmi la kupitisha bomba katika bandari ilioteuliwa litatoka wiki ijayo kwenye mkutano wa Northern Corridor Heads of State Summit tar. 22 April.

Kauli ya kampuni ya Total imemaliza kabisa ndoto za Wakenya
“Total also warns that the port of Lamu has not been built and the entire Lapsset project is behind schedule. It is practically impossible for Kenya to complete construction of the port by 2018.
The port of Tanga has already been built.


========================================
As Uganda chooses Tanzania pipeline route, Kenya to go it alone.

Uganda will take its oil to the market through Tanzania’s Tanga port, leaving Kenya to build its own pipeline to Lamu, if the positions taken at the just-ended talks in Kampala are maintained.
We have lost the pipeline deal to Tanzania. The only deal is to go back to the drawing board to construct our own pipeline to Lamu port,” a senior Kenyan official told The EastAfrican on Friday.

The outcome of the talks was closely guarded, with the technocrats meeting in Kampala insisting that the final position would be announced during the Northern Corridor Heads of State Summit next week.

The EastAfrican, however, learned that Uganda may have already sealed a deal with Tanzania to take the Tanga route and to let oil firm Total E&P of France fund and operate the pipeline.

Last week in Kampala, Uganda held two separate meetings with Kenya and Tanzania; each consultation came up with a report. It had been agreed that the technical teams would compile the two reports and hand over a joint report to the heads of State.
However, the Ugandan team is said to have been reluctant to share the report of its consultations with Tanzania.

Uganda is playing hardball and has refused to share the report from its discussions with Tanzania. This then leaves us nowhere,” said one of the Kenyans close to the discussions.

However, it has also emerged that the Kenyan officials participating in the Kampala talks may not have had all their facts right as they tried to address the concerns raised by Uganda over the northern route for the pipeline.

For example, Uganda had raised concerns over the location of the pipeline terminal at Lamu port — a spot that they feared was prone to Monsoon winds — as well as the financing for the pipeline.

Another source at the meeting told The EastAfrican that, although Kenya had indicated that the site at Lamu had been moved to the main port, this was not the position when teams from Uganda and Kenya toured the area recently.

On financing, Kenya was not clear on how to finance the pipeline even though it indicated that many organisations were willing to provide funds. Uganda felt this could take long and result in delays in the export of the oil,” he said.

Meanwhile, Total reaffirmed its commitment to construct the $4 billion crude oil pipeline to Tanga.

Total is eyeing production of an estimated 6.5 billion barrels of Uganda’s crude oil by 2018.

Link the East African
As Uganda chooses Tanzania pipeline route, Kenya to go it alone
 
Nilishasemaga toka mwanzo. We are unavoidable, hatuepukiki.
Jiographia ya Tanzania ni hatari!imekumbatia nchi sita!Drc,malawi,zambia,Rwanda,Burundi na Uganda
Wakenya wanatetemeka kwa kua bomba likipita Tanzania maana yake sudan ya kusini wataunganisha kupitia uganda haizidi kilometa 300 badala ya kupeleka lamu zaidi ya kilometa 1500
 
Tunatisha aiseee. Mungu siku zote yuko na watu wakweli na wenye kweli ya kweli, wazandiki na wanafiki kama Kenya hawawezi kuwa upande wake kamwe
 
Asante Professa Muhongo. Uprofessa wako umedhihirika kwenye sakata hili la Bomba.
 
wakenya wamejisikia vibaya sana munakumbuka mikutano ya nchi 3 uku Tanzania na Burundi ikitengwa wakijadili mikakati yao.
 
Back
Top Bottom