Kauli ya Rais Obama juu ya CIA & kurugenzi ya usalama kwa ujumla

Kibunago

JF-Expert Member
Jan 11, 2008
300
122
Nimefurahishwa sana na kauli ya rais Obama ambayo ameikamilisha sasa hivi juu ya Usalama kushindwa kutafasiri 'bendera nyekundu' na kuchukua hatua madhubuti kumzuia kusafiri mtuhumiwa aliye jaribu kulipua ndege hivi karibuni.

1. Amekiri mapungufu katika intelligence agencies & authority
2. Amesema hatua za marekebisho zichukuliwe mara moja ili Usalama wafanye kazi kwa ufanisi
3. Waliohusika wawajibike katika kila idara / kitengo/ wakala husika
4. Guantanamo itafungwa kama ilivyopangwa ingawa Wafungwa watarudishwa baada ya kuangalia na kupima madhara yaliyopo kwa undani.
5. Hatua kadhaa zimeshachukuliwa kuimarisha ulizi na usalama nchini na nje ya nchi kwa kushirikiana na Mataifa mengine.



NATAMANI NASI TANZANIATUWAPE UWT MANDATE YA KUTOSHA NA PENGINE KUWEPO NA MABORESHO (REFORMS) YA IDARA KUPAMBANA NA UFISADI MOJA KWA MOJA MAANA HAO NDIO 'TERRORIST' WETU TISHIO KWA USALAMA WA UCHUMI NA USTAWI WA NCHI YETU.

KAZI HII IWE NI PAMOJA NA KUWATARGET WAGOMBEA WOWOTE AMBAO WANAPANGA KUTOA HONGO WAKATI WA UCHAGUZI MAANA HII NI 'TERROR' KUBWA SANA JAMANI NA HIVYO UWT WAINGILIE KATI AMBAPO TAKUKURU WANAPATA KIGUGUMIZI!

NARUDIA TENA RUSHWA NDIYO TERROR YA KUPAMBANA NAYO KATIKA NCHI ZETU ZAIDI KULIKO CHOCHOTE!
 
Ni kweli Obama alikiri kufeli kwa serikali yake kuzuia mtuhumiwa kupanda ndege inayoelekea, ambapo alibainisha kuwa kulikuwa na makosa ya kibinadamu na kimfumo (human and sytematic failure in intelligence system)
Katika serikali za kiafrika ni vigumu sana kwa kiongozi kukiri hadharani upungufu katika serikali yake.
Mafisadi Tanzania hawawezi kukamatika kwa sababu ndo wafadhili wakubwa wa kampeni za uchaguzi. Tungeweza kupata viongozi ambao hawataingia madarakani kwa kukopa pesa mahala, tunaweza hapo tutakuwa na viongozi watakaopambana na Ufisadi pamoja na Rushwa kwa dhati. lakini kwa mfumo uliopo, hilo tusahau
 
Obama: Airline attack was preventable

President says intelligence officials ‘failed to connect the dots’

In this image released by the White House, President Barack Obama meets with his national security team in the Situation Room of the White House Tuesday.
View related photos
Pete Souza / The White House via AP

WASHINGTON - President Barack Obama asserted on Tuesday that the U.S. government had enough information to foil the attempted bombing on a Christmas Day airline flight but intelligence agencies "failed to connect the dots." Obama called that unacceptable and said, "I will not tolerate it." The accused attacker, a Nigerian man who claimed ties to al-Qaida, was subdued by other passengers and airline crew members after he allegedly attempted to detonate explosives hidden under his clothes.
The president, speaking after meeting with his Cabinet and national security team, declared, "We have to do better and we will do better. And we will do it quickly." Obama also said he was suspending the transfer of Guantanamo detainees from Yemen. The Christmas attack has raised concerns about Yemen, because the Nigerian man has claimed to have been acting on instructions from al-Qaida operatives in that country.
Nearly half of the 198 detainees held at Guantanamo are from Yemen. But Obama reiterated his vow to eventually close the prison camp in Cuba.
Obama said the foiled attack exposed "a potentially disastrous" security failure.
'Red flags'
He spoke after a White House meeting with the high-ranking government officials charged with carrying out two reviews he has ordered. Obama spelled out recent changes in security protocols for airline flights and changes to the government's watch list of suspected terrorists.
Obama told reporters the security lapse didn't have to do with the collection of information but with the failure to integrate and analyze what was there. The bottom line, he said was that the government had "sufficient information to uncover this plot and potentially disrupt the Christmas Day attack."
"Our intelligence community failed to connect those dots which would have placed the suspect on the no-fly list," he said. "This was not a failure to collect intelligence, it was a failure to integrate and understand the intelligence that we already have."
AP_AIRLINE_COUNTRIES.gif

Obama said that it was clear the government knew that the suspect, Umar Farouk Abdulmutallab, had traveled to Yemen and joined with extremists there.
"It now turns out that our intelligence community knew of other red flags that al-Qaida in the Arabian Peninsula sought to strike not only American targets in Yemen, but the United States itself. And we had information that this group was working with an individual ... who we now know was in fact the individual involved in the Christmas attack," he said.

Click for related content

Transfer of Gitmo prisoners to Yemen halted
The high toll of terror hysteria
Countries slow to beef up airport screening



Abdulmutallab's name was in the U.S. database of about 550,000 suspected terrorists, but was not on a list that would have subjected him to additional security screening or kept him from boarding the flight altogether. That omission prompted a review of the National Counterterrorism Center's massive Terrorist Identities Datamart Environment (TIDE) database.
Obama said the failure to add Abdulmutallab to the "no fly" list shows "the system needs to be strengthened."
As for the prison for terror suspects in Cuba, he said, "Make no mistake, we will close Guantanamo prison," Obama said. Guantanamo, he said, "was an explicit rationale for the formation of al-Qaida" operating in Yemen.
 
Transfer of Guantanamo prisoners should not proceed, those are dangerous terrorists ever!
 
Back
Top Bottom