Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,415
Katika uzinduzi wa Harambee ya kuichangia YANGA, JK ametoa kauli zifuatayo katika hotuba yake:
..."Na mkiwa kwenye Uongozi wa serikali, kila timu inakuhusu. Utakuwa Kiongozi mwenye akili mbaya ukiwa kwenye uongozi unatumia ushabiki wako wa mpira kukandamiza timu nyingine"...
..."Hii ni kwasababu hata wale wa timu isiyokuwa yako , Kiongozi wao ni wewe"...
..."Kuna wakati prof. Sarungi alikuwa waziri wa michezo, Kuna wakati Juma Kapuya alikuwa waziri wa michezo; hawa wote ni Simba kindakindaki, hawa wote hawakutumia nafasi hiyo kukandamiza timu ya Yanga, Kwasababu wangefanya hivyo ingebidi tutafute waziri mwingine ashughulike na yanga"...
Kauli hizi kwa uchambuzi wa kina, zina maana kubwa katika siasa za uongozi wa awamu ya tano. Unaweza dhani kaongelea mpira wa miguu kumbe kampiga mtu dongo.