Kauli ya Rais Magufuli ya 'Watu Kuishi kama mashetani' inahalalisha maovu

Ukweli kwamba umaskini ni wa kujitakia kwa asilimia nyingi unafichwa sana na wanasiasa waendelee kufaidika na kupata sifa waendelee kutawala.

Na hilo ndo dua la kuku. Maskini tutasubiri sana paradiso ya kuahidiwa wakati wenzetu wanatengeneza paradiso zao.
 
Swali zuri na pana zaidi lingekuwa 'Kwa nini serikali zetu zinachochea vita ya matabaka (class warfare) na ni kwa faida ya nani?'. Ni swali ambalo utapata majibu mazuri zaidi ukitafakari mwenyewe badala ya kuleta hapa.

Ukitenga muda wa kutosha ukafikiria vizuri hilo swali utaijua Tanzania kuliko watu wengi.
 
Noted comrade
 
One few words and simple language ni kuwa
"ANA ROHO MBAYAAAAAA" NA ASHUKURU MUNGU KASOMA SHULE JAPO KIMKANDAMKANDA NA KUUNGAUNGA MPAKA KUUKWAA U PHD LAKINI ASINGESOMA ANGEKUWA KIGAGULA MCHAWI MWANGA MLOZI."
 
Kwa sababu yy ni masikini na ana fikra za kimasikini... Over

Mwogope sana mtu masikini wa vitu na fikra ni mtu hatari zaidi ya sumu ya MAMBA.
 
Duniani kuna makundi mawili pizani tena yenye ushawishi kuna kundi la maskini na matajiri so wanasiasa wote huwa ni lazima u take side aidha uegemee kwa kundi moja wapo kutokana na ushawishi wao matajiri ndio wafadhili wa kampeni huku mskini ndio wapiga kura sasa uchague kwenda kwa wafadhili ambao ni wachache au kwa wapiga kura ambao ni wengi na furaha ya masikini popote duniani ni kuona tajiri anapata tabu kwani kuna vita vya kimtazamo kati ya maskini na tajiri

kuhusu JPM yeye anasema ni rais wa masikini na ndio anahamini ndio waliopiga kura na anajua uwezi kumfurahisha masikini bila ya kuonyesha umpendi tajiri
 
NATAFUTA SABABU ZA KWANINI JPM ANATAKA MATAJIRI WAISHI KAMA MASHETANI.
Raisi wetu mpendwa Mh John Pombe Magufuli anatamani sana kuona maskini walio wengi wanaishi kama matajiri na wale Matajiri waishi kama maskini. Hii ina maana hata wale waliowekeza juhudi,Nguvu na hata maarifa yao kujiajiri ni lazima wajengewe mazingira ya kufirisika wawe wanataka au hawataki ili tu waweze kuishi maisha wanayoishi watanzania wengine. Hali kama anayoitaka ilikuwepo kipindi cha zama za mawe za kati hata kabla moto haujagunduliwa, Naona kuna kila jitihada za zama hizo kujirudia kwenye kizazi cha teknolojia ya habari na mawasiliano. Kwanini matajiri wakosolewe kiasi hicho? Kuna kosa gani matajiri wamelifanyia taifa mpaka waundiwe zengwe la kufirisika? Kama watafirisika mpaka sumuni ya mwisho Tanzania itafaidika na nini? Hivi mheshimiwa raisi anajua ni kwa kiasi gani hawa matajiri au Mabepari wanaendesha uchumi wa nchi?. Unapozungumzia matajiri wakubwa (Capitalists) unazungumzia watu ambao wanatumia vipaji vya watu na hata muda wa watu ili kutengeneza ukwasi wa kutosha. Na siku zote hawa ndio wenye uwezo wa kutikisa uchumi wa Tanzania na hata uchumi wa nchi zinazotuzunguka unaweza kuathirika pia. Ni hawa hawa matajiri ambao wanatoa financial facilities zinazotengeza ajira za kutosha, Zinazozalisha biashara za watu na hata wawekezaji wengine hua wanatokana na hawa matajiri. Watu wengi wanakua impacted na uchumi wa mabepari na hivyo kupelekea uchumi wa mtu mmoja mmoja (Microeconomics) na hata uchumi mkubwa wa taifa(Macroeconomics) kuinuka.JPM hawataki Matajiri pasi na kujua kwamba hawa ndio wanaosababisha kutengenezwa kwa idadi kubwa ya matajiri na hata kuinua ustawi wa watu. Umaskini sio sifa wala sio cheo cha kusema utasimama hadharani na kujisifia. Miongoni mwa maadui ambao Baba wa Taifa Mwl Julius K Nyerere aliwakemea kwa nguvu zote ni huu Umaskini lakini miaka zaidi ya 50 bado kuna mtu anasimama hadharani na kutaka watu waishi kimaskini. Mheshiwa atambue kwamba ulimwengu mzima tunaishi na uchumi unaotegemeana (Interdependent economy). Tafsiri yake ni kwamba ili yule mtu maskini aondokane na umaskini wake ni lazima watu wenye kipato kikubwa zaidi yake wawepo ili kumuinua nae aishi kama wao. Sasa kama Mheshimiwa anatamani matajiri waishi kimaskini ni nani atawainua hawa maskini ambao yeye anataka waishi kitajiri? . Bado natafuta sababu za kwanini Mheshimiwa anachukizwa na uwepo wa matajiri.
wacha propaganda. wote tunajua matajiri wapiga dili kuchota hela za umma wa madawa ya kulevya etc matajiri watumishi kwa kula rushws. ie utajiri kwa shughuli haramu ndio hawatakiwi. shughuli zao hazina tija ila kufukarisha umma. matajiri kwa shughuli halali wanapendwa na jpm. hukuona alivyoamrisha umeme upelekwe kiwanda cha bareksa. matajiri waadilifu wanapendwa na shughuli zao zina tija na kujenga uchumi wa nchi. matajiri wawekezaji wa ndani na nje siku zote wanakaribishwa sana na jpm. mapepari uchwara wanaotegemea upigaji dili ndio wanatakiwa waishi kama shetani.
 
Kweli Tanzania tuna vichwa vinaanzisha mada basi tu.Sijui kama umesoma vizuri mada yako kabla ya kuiposti.

Unasema Rais anachukia matajiri then anataka masikini waishi kama matajiri sasa hapo anawachukia vipi matajiri? Na kuna wengine naona wamekusapoti.

Rais anawachukia tena anawachukia sana matajiri wanawadhulumu watanzania Mali zao,wezi,mafisadi,wakwepa Kodi n.kk matajiri hao atakula nao sahani moja.

Hatakulinda wewe tajiri na dhuluma zako kwa watanzania hata siku moja.utafilisiwa tu usiku na mchana.

Usijidangaje eti wewe umeajiri watanzania wengi kama utajiri wako ni wa wizi tu hufuati sheria za nchi utafilisika tu kwa Magufuli.

Mtoa mada usiwaaminishe watz kuwa Magufuli ana nia mbaya na matajiri walaa anawapenda sana wanaofuata sheria za nchi.
 
Kwani masikini si ndiyo nawajenga nchi ya viwanda, lazima matajiri waishi kama mashetani hamna namna nyengine.
 
hawez hi ilishapangwa na mung,..kwamba watu watazidiana uwezo..tajir keshaandikiwa na maskin keshaandikiwa so awez pangua hili..km ni kwel anasumbuka tu cz anaingilia riziki zilizo pangwa na mung.
 
Psychologicaly matatizo yanaazs utotoni ,mfano mtoto wa kike akibakwa na kuumizwa siku zote atakuwa anawaogopa na kuwachukia wanaume
Yawezekana utotoni alinyanyaswa sana na matajiri wa kwao
 
Psychologicaly matatizo yanaazs utotoni ,mfano mtoto wa kike akibakwa na kuumizwa siku zote atakuwa anawaogopa na kuwachukia wanaume
Yawezekana utotoni alinyanyaswa sana na matajiri wa kwao
 
Hana lolote uyo malaika, anachokfanya n divide and rule approach,kwakua tz wajnga weng ndo mana anakubalka locally and not globally.....
 
Kweli Tanzania tuna vichwa vinaanzisha mada basi tu.Sijui kama umesoma vizuri mada yako kabla ya kuiposti.

Unasema Rais anachukia matajiri then anataka masikini waishi kama matajiri sasa hapo anawachukia vipi matajiri? Na kuna wengine naona wamekusapoti.

Rais anawachukia tena anawachukia sana matajiri wanawadhulumu watanzania Mali zao,wezi,mafisadi,wakwepa Kodi n.kk matajiri hao atakula nao sahani moja.

Hatakulinda wewe tajiri na dhuluma zako kwa watanzania hata siku moja.utafilisiwa tu usiku na mchana.

Usijidangaje eti wewe umeajiri watanzania wengi kama utajiri wako ni wa wizi tu hufuati sheria za nchi utafilisika tu kwa Magufuli.

Mtoa mada usiwaaminishe watz kuwa Magufuli ana nia mbaya na matajiri walaa anawapenda sana wanaofuata sheria za nchi.
Bado natafuta sababu huenda hio ulionipa ikawa sababu pia
 
Wakati mwengine huwaga najiuliza mtu kama Said Salim Bakhresa, au mzee wangu R. Mengi. Siku wanafirisika, na kuwa masikini kama mimi ambao lazima tupige kwa miguu siyo chini ya 3km kwa siku, kusubiria hili ni sawa na kusubiria Meli Airport.
 
Back
Top Bottom