Kauli ya Rais Magufuli kabla ya kuchaguliwa kuwa Rais

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,679
8,866
Rais JPM kabla ya kuwa na nia ya kuomba kuchaguliwa alikuwa na haya ya kusema alisema yeye akiamua kugombea urais basi wajue watu watalimia meno!
Kwa hiyo yote yanayofanyika niyale aliyoyakusudia yeye kabla yakuwa na nia ya kuomba kugombea kiti cha urais.
Sikiliza hapa
 
R

Respect.
 
Ingawa mazungumzo hayakuwa rasmi sana ukizingatia alikataa kurekodiwa
hata hivyo anapaswa aelezwe ukweli kuwa yeye sio DISCIPLINE MASTER. yeye ni Rais wa Nchi maswala ya kutoa toa amri na uelekezaji awaachie wakuu wa mikoa na Wilaya ili jambo likiharibika kuwepo na nafasi ya kulirekebisha kwa nafasi yake ya Urais
kwa ukweli kuwa jambo akiliharibu hakuna wa kumkosoa au kumrekebisha yeye ni Rais wa Nchi
 
Lakini nikitu alikiwish tangu zamani kuwa kwanini tupeleke mchanga nje na ni dhahiri anatamani kuwatumikia wananchi!
 
Back
Top Bottom