iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,924
Niliisikia kauli ya mkuu kwamba serikali inaandaa dawa kwa makampuni ya simu ambayo amesema yanafanya transaction nyingi lakini "yeye anasema haziingizii nchi mapato"
Hii ina maana kampuni hizi zitatikiswa kiuchumi na hata pengine kukaribia kufilisika,hivyo wanahisa kukosa faida kwa muda mrefu,au kampuni ikalimwa "kiporo" cha kodi ambacho kitaufagia mtaji wake wote na hisa zikapotelea huko.
Ni wazi katika kampuni faida ni ya wote,na hasara pia ya wote
Je, ni salama kuendelea kununua hisa za makampuni haya? Maana "kesho"/future yake mpaka sasa haieleweki.
Binafsi najizuia kwanza
------unpredictable government policies------