Kauli ya Rais kwa waandishi 'Wapara' kuwa wakimpara "Atawaparua", Je Rais Samia ni katili?, Soma Jinsi ya kuwabaini makatili!. Ni kutumia macho tu!.

Wanabodi,
Moja ya matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii ni kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, nakusaidiana.

Ikitokea kuna jambo unalijua, mwenzako halijui, msaidie kumuelimisha kwa kutumia experience yako kuelimisha wengine nao wajue.

Ila kauli ya Rais Samia aliyoitoa siku ya Uhuru wa Habari kuwa waandishi wa habari watakao mpara, atawaparua, imeleta sintofahamu kwa baadhi ya watu kuanza kumdhania na Rais Samia pia ni rais katili?.

Naomba kukiri, nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili Uhuru wa Habari Tanzania: Kati ya Waparaji na Wakunaji Wazuri, Nani Watamsaidia Zaidi Rais Samia?. Tunakuomba Mama, Usiwaparure Waparaji!.
kutokana na post ya Mwanajf huyu

Mkuu Bejamini Netanyahu , sii kweli!. Wewe ndio utakuwa humjui vizuri, hivyo najitolea kukusaidia wewe na wengine wa aina yako Kwa kukuendeshea somo la jinsi ya kumtambua mtu katili. Tena hata kwa JPM, kabla hata ya kuchaguliwa kuwa Rais wa JMT, ile mwaka 2014, kuna kitu nilikisema humu kumhusu JPM Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli humo nilisema kila kitu kumhusu JPM, ila pia baadhi ya mabandiko yangu, sio mabandiko ya watu wote kama bandiko hili, ni Bandiko kwa watu wenye jicho la tatu only ndio walibaini nasema nini. Sio kila kitu ni kwa watu wote!, vitu vingine ni kwa ajili ya wale tuu wa kiwango fulani na kwa wengine ni hakuna jinsi.

Ukatili wa mtu, haukai mdomoni kwenye kauli, wala haikai usoni kwenye kukunja uso, ukatili wa mtu hukaa moyoni, hivyo kwa jicho la kawaida, sii rahisi kumjua mtu mkatili, lakini watu waliojaaliwa jicho la tatu, huona ndani ya moyo wa mtu kupitia macho yake!.

Humu ndani nimeisha endesha masomo kibao ya utambuzi, moja ya masomo hayo ni somo kuhusu watu makatili na jinsi ya kuwatambua Character Assassination ni Modus Oparandi ya Madikiteta Katili Wote Duniani!

Watu makatili, huitwa ma sadist, namna rahisi ya kuwatambua watu hawa ni ukiona mtu anashangilia vitendo vya ukatili, na sisi Tanzania tuliwahi kuwa na viongozi wa type hii, sisi wengine tukasaidia kuwazungumzia, kama huyu This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?

Kwa vile ukatili hukaa moyoni, na sio usoni, au mdomoni, ni vigumu kuubaini. Mimi ni miongoni mwa watu waliopitia changamoto kubwa za maisha, hivyo kupitia hizo changamoto zikanifunza by experience. hivyo hapa natumia uzoefu wangu kusaidia wengine.

Kwanza nilioa nikiwa na umri mdogo wa miaka 25tuu, binti miaka 21, tukisoma wote darasa moja Chuo cha TSJ. Baada tuu ya ndoa tuhama nchi kwenda UK, then US kisha tukarudi Bongo, enzi hizo mimi ni mtangazaji maarufu wa Kipindi cha Kiti Moto.

Hivyo by 30 years tayari familia tuna watoto 2, wife akapata scholarship ya 4 years US na mimi kubaki na watoto wawili ( a 4 years girl & a 1.5 years boy). Hivyo scholarship hiyo ndio ikawa mwanzo wa changamoto za maisha. jumla!.

Kwa miaka yote 4 ya scholarship ya wife, kibarua cha kwanza ni kulea familia as a single parent father!. Pale ndipo nilipojua umuhimu wa wadada wa kazi!. Kiukweli hawa wadada wa kazi, waheshimiwe Sana na walipwe vizuri!.

Kibarua cha pili siku msichana wa kazi amepata msiba hivyo kwenda kwao na wewe kuachiwa uyaya wa watoto wawili wadogo for just two days!. There was no way out, lazima tuu uta import!. Kumbe jirani kaachiwa assignment ya kulinda na kuropoti!. Taarifa ya importation ikafika kusiko. Mtu kumaliza shule akagoma kurudi jumla!.

Ndipo nikakubali matokeo na Kuanza changamoto ya search kumpata mama wa Kambo ambaye hata nitesea wanangu!. Hapa ndipo nikaingia darasani kufungua a third eye kubaini wanawake katili .

Utambuzi wa Mama wa Kambo katili unafanyika kwa kumtazama machoni huyo mwanamke wakati akiwa na wewe mkiwa pekeyenu na kimlinganisha na akiwa na wewe na watoto wako!. Hivyo kuna vitu utaviona!, na utajua huyo mwanamke ni mke mwenye roho mzuri au ni mwanamke katili. That search took me 10 good years to find the right one, na miaka hiyo 10 ya search, produced 3 issues!. By the time you find her the family has 5 issues!.

Hivyo mtu mwenye macho kama haya Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu? hawezi kuwa mtu katili!.

Hebu angalia hayo macho kwenye picha hii View attachment 2216119View attachment 2216122

View attachment 2216124
Mtu kama huyu, kweli anaweza kuwa katili?. Angalia macho!.

Sasa Kwa faida ya wasiomjua vizuri huyu Mama, jielimishe hapa

Hitimisho
Ile kauli ya "wakinipara nitawaparura" sio kuparura kwa ukatili kutumia makucha kama paka akiparua, au kuparua kama yakupara samaki, hii ni kauli tuu ya tamathali ya semi, kwa media zitakazo mpara, zitaparuliwa kwa kutumia sheria zetu kandamizi zilizopo!

Paskali
Mwanamke katili hawezi kuishi na mme, sifa ya kwanza
 
Mkuu P asalam aleikhum. Hebu tafakari tena hii nukuu.

“Power tend to corrupt and absolute power currupts absolutely. Great men are almost always bad men”(John Dalberg-Acton)

Hata huku kwetu pia tuna usemi wa “Madaraka hulevya” na hii huanza taratibu.

Mama achukue tahadhari.

Maneno yanaumba iwe kwa jicho la tatu au la nne!
 
Kuna tofauti gani akifanya ukatili kwa kutumia sheria kandamizi au physical assault kwa wahusika?Vyote hivyo ni ukatili kwa mtazamo wa jicho la tatu kama ulivyoeleza kupitia bandiko refu kama hilo.Ukatili ndani ya CCM umekuwa ni jadi tangia baada ya Mwl Nyerere.
 
Mkuu ukatili upo wa iana nyingi, hata kuruhusu mfumuko wa bei bila sababu za msingi ni ukatili mkubwa sn
 
"Ukinizingua tunazinguana" Mungu atupe nini? baada ya yule Mhutu Katili Mungu katupa Mama Samia ambae hana makuu..I love you my President.
 
Rakini! kure Kwetu Mara kure! Unadhani vimakucha tu vitapara majitu sugu vire?? yare ukitaka kuyaweza Mama yangu yare majitu hayasikii ukirimabia hvivi kesho rinarudia sasa fanya hivi yanataka, ''Kata funua twende kazi''

hapo mtaenda sana...yanaLugha yao hivi.... yakutiana Moyo sasa wakisikia hivo nimwendo wakasi ya uahlifu tyuuu! daa Taraime/SERENGETI Bhana!! kure siyo Tanzaznia kabhisa! uongo Mleta Mada???
 
Kwa vile leo ni birthday ya Rais Samia, nawaomba wana jf wote ambao ni well wishers, tuungane kumu wish Happy Birthday this lovely lady Rais wetu mpendwa, Rais wetu mpenzi, Rais wetu kipenzi, Rais Dr. Samia Suluhu Hassan, Chifu wa kabila kubwa kuliko makabila yote Tanzania, ambayo Kanda ya kabila hilo ndio Kanda determinant ya kura za urais wa JMT, Chifu Hangaya.
Happy Birthday.

P
 
Wanabodi,
Moja ya matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii ni kuhabarishana, kuelimishana, kuburudishana, nakusaidiana.

Ikitokea kuna jambo unalijua, mwenzako halijui, msaidie kumuelimisha kwa kutumia experience yako kuelimisha wengine nao wajue.

Ila kauli ya Rais Samia aliyoitoa siku ya Uhuru wa Habari kuwa waandishi wa habari watakao mpara, atawaparua, imeleta sintofahamu kwa baadhi ya watu kuanza kumdhania na Rais Samia pia ni rais katili?.

Naomba kukiri, nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili Uhuru wa Habari Tanzania: Kati ya Waparaji na Wakunaji Wazuri, Nani Watamsaidia Zaidi Rais Samia?. Tunakuomba Mama, Usiwaparure Waparaji!.
kutokana na post ya Mwanajf huyu

Mkuu Bejamini Netanyahu , sii kweli!. Wewe ndio utakuwa humjui vizuri, hivyo najitolea kukusaidia wewe na wengine wa aina yako Kwa kukuendeshea somo la jinsi ya kumtambua mtu katili. Tena hata kwa JPM, kabla hata ya kuchaguliwa kuwa Rais wa JMT, ile mwaka 2014, kuna kitu nilikisema humu kumhusu JPM Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli humo nilisema kila kitu kumhusu JPM, ila pia baadhi ya mabandiko yangu, sio mabandiko ya watu wote kama bandiko hili, ni Bandiko kwa watu wenye jicho la tatu only ndio walibaini nasema nini. Sio kila kitu ni kwa watu wote!, vitu vingine ni kwa ajili ya wale tuu wa kiwango fulani na kwa wengine ni hakuna jinsi.

Ukatili wa mtu, haukai mdomoni kwenye kauli, wala haikai usoni kwenye kukunja uso, ukatili wa mtu hukaa moyoni, hivyo kwa jicho la kawaida, sii rahisi kumjua mtu mkatili, lakini watu waliojaaliwa jicho la tatu, huona ndani ya moyo wa mtu kupitia macho yake!.

Humu ndani nimeisha endesha masomo kibao ya utambuzi, moja ya masomo hayo ni somo kuhusu watu makatili na jinsi ya kuwatambua Character Assassination ni Modus Oparandi ya Madikiteta Katili Wote Duniani!

Watu makatili, huitwa ma sadist, namna rahisi ya kuwatambua watu hawa ni ukiona mtu anashangilia vitendo vya ukatili, na sisi Tanzania tuliwahi kuwa na viongozi wa type hii, sisi wengine tukasaidia kuwazungumzia, kama huyu This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?

Kwa vile ukatili hukaa moyoni, na sio usoni, au mdomoni, ni vigumu kuubaini. Mimi ni miongoni mwa watu waliopitia changamoto kubwa za maisha, hivyo kupitia hizo changamoto zikanifunza by experience. hivyo hapa natumia uzoefu wangu kusaidia wengine.

Kwanza nilioa nikiwa na umri mdogo wa miaka 25tuu, binti miaka 21, tukisoma wote darasa moja Chuo cha TSJ. Baada tuu ya ndoa tuhama nchi kwenda UK, then US kisha tukarudi Bongo, enzi hizo mimi ni mtangazaji maarufu wa Kipindi cha Kiti Moto.

Hivyo by 30 years tayari familia tuna watoto 2, wife akapata scholarship ya 4 years US na mimi kubaki na watoto wawili ( a 4 years girl & a 1.5 years boy). Hivyo scholarship hiyo ndio ikawa mwanzo wa changamoto za maisha. jumla!.

Kwa miaka yote 4 ya scholarship ya wife, kibarua cha kwanza ni kulea familia as a single parent father!. Pale ndipo nilipojua umuhimu wa wadada wa kazi!. Kiukweli hawa wadada wa kazi, waheshimiwe Sana na walipwe vizuri!.

Kibarua cha pili siku msichana wa kazi amepata msiba hivyo kwenda kwao na wewe kuachiwa uyaya wa watoto wawili wadogo for just two days!. There was no way out, lazima tuu uta import!. Kumbe jirani kaachiwa assignment ya kulinda na kuropoti!. Taarifa ya importation ikafika kusiko. Mtu kumaliza shule akagoma kurudi jumla!.

Ndipo nikakubali matokeo na Kuanza changamoto ya search kumpata mama wa Kambo ambaye hata nitesea wanangu!. Hapa ndipo nikaingia darasani kufungua a third eye kubaini wanawake katili .

Utambuzi wa Mama wa Kambo katili unafanyika kwa kumtazama machoni huyo mwanamke wakati akiwa na wewe mkiwa pekeyenu na kimlinganisha na akiwa na wewe na watoto wako!. Hivyo kuna vitu utaviona!, na utajua huyo mwanamke ni mke mwenye roho mzuri au ni mwanamke katili. That search took me 10 good years to find the right one, na miaka hiyo 10 ya search, produced 3 issues!. By the time you find her the family has 5 issues!.

Hivyo mtu mwenye macho kama haya Ikitokea kuna Kiongozi ana Macho mazuri, na umeyapenda, je, kuna ubaya kumsifia macho yake? Ni ukosefu wa heshima na adabu? hawezi kuwa mtu katili!.

Hebu angalia hayo macho kwenye picha hii View attachment 2216119View attachment 2216122

View attachment 2216124
Mtu kama huyu, kweli anaweza kuwa katili?. Angalia macho!.

Sasa Kwa faida ya wasiomjua vizuri huyu Mama, jielimishe hapa

Hitimisho
Ile kauli ya "wakinipara nitawaparura" sio kuparura kwa ukatili kutumia makucha kama paka akiparua, au kuparua kama yakupara samaki, hii ni kauli tuu ya tamathali ya semi, kwa media zitakazo mpara, zitaparuliwa kwa kutumia sheria zetu kandamizi zilizopo!

Paskali
Leo ndio siku yenyewe ya wanawake duniani, hongera sana kwa wanawake wote duniani akiwemo Mwanamke huyu!.
P
 
Waandishi wa habari hawajawahi kuwa huru, uhuru wao ni ukweli na ukweli ni sumu kwa watawala. Ni safari ndefu na ngumu kupata uhuru wanaouhitaji katika nchi zetu za Kiafrika ambazo viongozi wake wengi wanaongozwa na uchu na ubinafsi.

Mahali ambapo watu wapo tayari kutengeneza vita Kwa ajili ya maslahi ya mtu fulani au kikundi fulani tu cha watu. Kalamu na karatasi ni silaha hatari sana kwao. Habari na taarifa sahihi kuwa wazi kwa umma kwao ni mkosi mkubwa.

Mahali ambapo mtawala anatamani kuwaaminisha watu wote kuwa rangi nyeusi ni nyeupe na nyeupe ni nyeusi Mwandishi wa habari hawezi kuwa salama Kwa sababu Ili habari iwe habari sharti imfurahishe mtawala. Uhuru wa waandishi wa habari utatoa mwanya wa wasuopenda kuguswa " godfathers" kuguswa.

Uhuru wa waandishi wa habari utavuruga kabisa ule wimbo hususani kwenye korasi tuna imani naye. Watawala wa Kiafrika wanapenda kiitikio hiki kimbwe na wote, uhuru wa wanahabari unaweza kusababisga kiitikio hiki kutoimbika vizuri na wote.

Tunajitaji jamii huru kabla ya kuwa na wanahabari huru, wanahabari hawatokei katika ombwe ila ni zao la jamii. Waandishi hawawezi kuwa huru kama jamii haijawa huru.
 
Ni kwa vipi jamii inakuwa huru ??
 
Ni kwa vipi jamii inakuwa huru ??
Ni pale viongozi wanapoamini kwa dhati kuwa uongozi walionao wamedhaminiwa na wanajamii na pia wanajamii wanapokuwa na uwezo wa kuhoji mamlaka walizoziweka juu ya mambo mbalimbali yanayotendeka au yanayopangwa.

Ni pale wanajamii wanapokuwa na uwezo wa kiuchumi na kuweza pia kusimamia njia zao za uchumi pasi na tofauti kubwa ya kiuchumi kati ya watawala wa kisiasa na wanajamii. Uhuru huo huifanya siasa kuwa uhusiano wa kimamlaka tu " power relation" na siyo uwanja wa kujitajirisha na kujilimbikizia ukwasi.

Uhuru wa jamii ni pale utajiri unapokuwa hali ya jamii na siyo silaha ya tabaka fulani dhidi ya jingine. Uhuru wa jamii ninaousema ni zaidi ya uhuru wa kujieleza unafikia mawanda ya uhuru wa kufikiri. Ni pale ambapo kila mtu anakubali kwa dhati kuwa yeye ni zao la jamii na sehemu ya jamii.
 
Ni pale viongozi wanapoamini kwa dhati kuwa uongozi walionao wamedhaminiwa na wanajamii na pia wanajamii wanapokuwa na uwezo wa kuhoji mamlaka walizoziweka juu ya mambo mbalimbali yanayotendeka au yanayopangwa.

Ni pale wanajamii wanapokuwa na uwezo wa kiuchumi na kuweza pia kusimamia njia zao za uchumi pasi na tofauti kubwa ya kiuchumi kati ya watawala wa kisiasa na wanajamii. Uhuru huo huifanya siasa kuwa uhusiano wa kimamlaka tu " power relation" na siyo uwanja wa kujitakirisha na kujilimbikizia ukwasi.

Uhuru wa jamii ni pale utajiri unapokuwa hali ya jamii na siyo silaha ya tabaka fulani dhidi ya jingine. Uhuru wa jamii ninaousema ni zaidi ya uhuru wa kujieleza unafikia mawanda ya uhuru wa kufikiri. Ni pale ambapo kila mtu anakubali kwa dhati kuwa yeye ni zao la jamii na sehemu ya jamii.
Je unadhani tunawezaje kuifikia hali hiyo uliyoieleza vizuri kabisa ??!

Wapo kweli wenye dhamira hiyo ??! I mean from those who are holding the four aces !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom