ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,970
- 2,184
baada ya rais kutoa kauli ya kutokuruhusu wanafunzi wajawazito kuendelea na masomo baada ya kujifungua, imethibitika sasa hii imeongeza na itaongeza rate ya ngono kwa wanafunzi
watu wengi wazima walikuwa wanaogopa sana kujiengage katika mahusiano na wanafunz hivyo basi kauli ya rais (sitaki hata kumtaja jina) imekuwa kama kibali rasmi sasa kwa yule mwanafunzi anayehitaji mimba azae tu akae na kuolewa nyumbani
sasa watu hawaogopi tena, ngono na wanafunzi imepewa kinga ya rais, yaaani waendelee kuzaa tu
ile sheria inayowalinda watoto na wanafunzi dhidi ya vitendo hivyo sasa imeng'olewa meno kabisa na mkulu
ila ndio ivo huyu jamaa kashalipitisha, ni jukumu letu wazazi tuwachunge wanetu wenyewe tu maana rais hayupo nasi kabsa katika hili