Kauli ya professor Assad kuwa serikali ina watumishi 60% wenye uwezo mdogo ni za kweli?

uhalali wa kauli ya asadi,na wewe kwenda nayo bila kujua maana yake inakubeba mpaka wewe.
Tatizo lako bwana mdogo ni ujinga ulio nao! Unajaribu ku-challenge kauli ya Prof wakati huna hoja. Awali ulitaka kujua kama yeye Assad ni miongoni mwa hao 60% aliosema kuwa ni wajinga. Yaani una mashaka na ujuzi wa Assad.

Nimekuuliza kama mtafiti ni sehemu ya "sample" au "study population" hutaki kujibu matokeo yake umeng'ang'ania mimi sijui kutumia simu kisa nimekosea herufi katika kuandika.

Sasa niambie ulivyoandika "unamiini" nitakosea nikisema wewe ni mjinga wa kutumia simu?
 
unarudia tena kuonyesha udhaifu ule ule.
nakuelekeza sasa,ujinga haupimwi,ni ukosefu wa ujuzi.ni sawa na kueleza chumba hiki kina giza jingi asilimia 80%.

una ubongo mzito sana,maana ya mimi kumweka assad kwenye sample ni ili wewe uelewe,maana ya neno ujinga kama lilivyo,lakini holaa.

mimi wewe kuniita mjinga wala sioni tatizo ila uonyeshe ujinga wangu kama mimi nilivyofanya kwako.ndio maana nikawa nakushangaa umejipachikaje kwenye 40% ya assad wakati kuna field wewe ni mweupe kabisa???na utaitwa mjinga kabisa maana hakuna unachojua!!!uandishi ilikuwa mfano mdogo tu.

sasa proff anakosa uhalali wa kuita watu wajinga sababu hata yeye ni mjinga sehemu fulani,umeelewa sasa anapoingia kwenye sample!!!!
haya kunywa maji upumzike sasa.
 
uhalali wa kauli ya asadi,na wewe kwenda nayo bila kujua maana yake inakubeba mpaka wewe.
Tatizo lako bwana mdogo ni ujinga ulio nao! Unajaribu ku-challenge kauli ya Prof wakati huna hoja. Awali ulitaka kujua kama yeye Assad ni miongoni mwa hao 60% aliosema kuwa ni wajinga. Yaani una mashaka na ujuzi wa Assad.

Nimekuuliza kama mtafiti ni sehemu ya "sample" au "study population" hutaki kujibu matokeo yake umeng'ang'ania mimi sijui kutumia simu kisa nimekosea heruki katika kuandika.

Sasa niambie ulivyoandika "unamiini" nitakosea niksema wewe ni mjinga wa kutumia simu simu?
uarudia tena kuonyesha udhaifu ule ule.
nakuelekeza sasa,ujinga haupimwi,ni ukosefu wa ujuzi.ni sawa na kueleza chumba hiki kina giza jingi asilimia 80%.

una ubongo mzito sana,maana ya mimi kumweka assad kwenye sample ni ili wewe uelewe,maana ya neno ujinga kama lilivyo,lakini holaa.

mimi wewe kuniita mjinga wala sioni tatizo ila uonyeshe ujinga wangu kama mimi nilivyofanya kwako.ndio maana nikawa nakushangaa umejipachikaje kwenye 40% ya assad wakati kuna field wewe ni mweupe kabisa???na utaitwa mjinga kabisa maana hakuna unachojua!!!uandishi ilikuwa mfano mdogo tu.

sasa proff anakosa uhalali wa kuita watu wajinga sababu hata yeye ni mjinga sehemu fulani,umeelewa sasa anapoingia kwenye sample!!!!
haya kunywa maji upumzike sasa.
Naona somo limekuingia na sasa unaona ujinga wako unaisha. Tatizo lenu vijana mnapenda kutukana watu wanaotofautiana na mitazamo yenu bila kujali wanachokisema ni sahihi.

Sasa nataka useme je inafaa kutumia makosa yako ya kuandika "unamiini" kuonesha mfano wa ujinga wako wa matumizi ya simu kama mimi nilivyokosea?
 
Tatizo lako bwana mdogo ni ujinga ulio nao! Unajaribu ku-challenge kauli ya Prof wakati huna hoja. Awali ulitaka kujua kama yeye Assad ni miongoni mwa hao 60% aliosema kuwa ni wajinga. Yaani una mashaka na ujuzi wa Assad.

Nimekuuliza kama mtafiti ni sehemu ya "sample" au "study population" hutaki kujibu matokeo yake umeng'ang'ania mimi sijui kutumia simu kisa nimekosea heruki katika kuandika.

Sasa niambie ulivyoandika "unamiini" nitakosea niksema wewe ni mjinga wa kutumia simu simu?

Naona somo limekuingia na sasa unaona ujinga wako unaisha. Tatizo lenu vijana mnapenda kutukana watu wanaotofautiana na mitazamo yenu bila kujali wanachokisema ni sahihi.

Sasa nataka useme je inafaa kutumia makosa yako ya kuandika "unamiini" kuonesha mfano wa ujinga wako wa matumizi ya simu kama mimi nilivyokosea?
post no 42 ina mjibu ya hizi nukuu zako za kurudia mara mbili mbili.

kama una tatizo la kuelewa,nitakusaidia.
 
Ujinga ni ule ule na wajinga Ni wale wale..

"Watanzani Ipo siku mtanikumbuka" Jiwe.
Jiwe ndio mtu wa hovyo kabisa kuwahi Kutokea katika Nchi hii.
Huyu ndio chimbuko la uozo na uharibifu wote Nchi hii.
Huyu ndio mharibifu mkubwa wa sheria na kanuni na heshima ya Nchi hii.
Actually huyu bwana jiwe anastahili kushitakiwa hata kama kafa ili sheria ionekane kuchukua Mkondo wake.
Nakutajia mambo aliyoharibu jiwe na atakumbukwa kwa uovu huo.
Kuharibu uchaguzi wa marudio,uchaguzi wa serikali za Mitaa na uchaguzi mkuu.

Kuwaingiza Bungeni kijinga kabisa Covid-19

Kuiba kura zote uchaguzi mkuu mpaka kusahau kuwa uwepo wa wapinzani Bungeni huipatia Nchi fedha.

Tumkumbuke kwa lipi Sasa mtu mjinga namna hiyo?
 
post no 42 ina mjibu ya hizi nukuu zako za kurudia mara mbili mbili.

kama una tatizo la kuelewa,nitakusaidia.
Tumefika tamati maana umeishiwa hoja. Kiufupi ni kwamba umekosa majibu ya hoja/maswali ya msingi yanayoonesha ujinga wako.
1. Mtafiti (Assad) ni sehemu ya study population/sample?
2. Kukosea herufi katika kuandika ni ujinga au ni mfano wa ujinga?

Usiku mwema ila usirudie tena kukosoa kama huna hoja au elimu juu ya mada husika.
 
Jiwe ndio mtu wa hovyo kabisa kuwahi Kutokea katika Nchi hii.
Huyu ndio chimbuko la uozo na uharibifu wote Nchi hii.
Huyu ndio mharibifu mkubwa wa sheria na kanuni na heshima ya Nchi hii.
Actually huyu bwana jiwe anastahili kushitakiwa hata kama kafa ili sheria ionekane kuchukua Mkondo wake.
Nakutajia mambo aliyoharibu jiwe na atakumbukwa kwa uovu huo.
Kuharibu uchaguzi wa marudio,uchaguzi wa serikali za Mitaa na uchaguzi mkuu.

Kuwaingiza Bungeni kijinga kabisa Covid-19

Kuiba kura zote uchaguzi mkuu mpaka kusahau kuwa uwepo wa wapinzani Bungeni huipatia Nchi fedha.

Tumkumbuke kwa lipi Sasa mtu mjinga namna hiyo?
Wewe ulie na chuki Binafsi ndo mjinga! Pole Sana kwa stress za Maisha.
 
Kwamba serikali nzima imeshindwa kugundua kwamba leo tukio kubwa ni Gemu ya simba na yanga.

Na kumpangia siku nyingine mwinyi? Yaani hatuna kabisa watu wa kushauri serikali kwanza mwinyi mwenyewe ni shabiki wa Yanga si mngempeleka tu uwanjani akazindua kitabu chake pale uwanjani.

Tena ulimwengu ungeona na watanzania wengi wangeona kila kitu ambacho kingefanyika..

Ila huu utoto uliofanyika kiukweli ni Aibu ya karne.

Hakika nawapongeza yanga kwa kutuonyesha utakiwi kufanya tu maamuzi unavyojisikia.

Na kama ningekuwa Rais wa nchi leo ningewafukuza kazi watu wote wanaofanya kazi wizara ya Michezo.

Hasara kiasi gani kwa watu waliokuwa wameenda uwanjani?

Waliosafiri je kutoka mbali?

Vibanda umiza je?

Billions of money!!!
View attachment 1777875
Naamini kuwa kwa bunge ni asilimia 98 ya wabunge woye hawastahili kuwa wabunge
 
Tumefika tamati maana umeishiwa hoja. Kiufupi ni kwamba umekosa majibu ya hoja/maswali ya msingi yanayoonesha ujinga wako.
1. Mtafiti (Assad) ni sehemu ya study population/sample?
2. Kukosea herufi katika kuandika ni ujinga au ni mfano wa ujinga?

Usiku mwema ila usirudie tena kukosoa kama huna hoja au elimu juu ya mada husika.
hujui hata nini unajadili.
 
assad anasema 60% ya watumishi ni wajinga.

neno mjinga kwa tafsiri rasmi,ni mtu siyejua jambo fulani,anakuwa mjinga kwalo.wewe kuandika kwa kutumia simu sawa sawa hujui.tunakuita mjinga kwa hilo.

hapo sijajua uko kwenye kundi lipi.
Mkuu kwa tafrisi yako ya neno "MJINGA" ni kwa mfano "mtu kutokujua kuandika simu sawa sawa basi huyu ni mjinga kwa hilo" kwa tafrisi ya Kingereza tunawezasema "layman"?. Sasa hawa layman 60% wametufikishaje hapo wakati tuna shule za kutosha na tena elimu BURE!! maana kwa shule tulizonazo, walimu kibao mpaka wengine wanazagaa mitaani, na nchi yetu ni tajiri bado tu tuna asilimia kubwa hivyo, maana mjinga ukimuelimisha anaelimika. Mimi siamini kwamba hao ni wajinga bali WAPUMBAVU ambao hata ukiwaelimisha hawaelimiki asilani abadani.
 
Kwamba jiwe angekuwepo match ingechezwa saa saba au?

Tatizo mnamkuza sana mtu haya ni makosa ya kawaida yeyote anaweza kufanya muwe mnaelewa.
Kwa jiwe mechi isingeahirishwa. Kama ingetokea basi kuna kichwa kjngekuwa kimeliwa leo hii
 
Mkuu kwa tafrisi yako ya neno "MJINGA" ni kwa mfano "mtu kutokujua kuandika simu sawa sawa basi huyu ni mjinga kwa hilo" kwa tafrisi ya Kingereza tunawezasema "layman"?. Sasa hawa layman 60% wametufikishaje hapo wakati tuna shule za kutosha na tena elimu BURE!! maana kwa shule tulizonazo, walimu kibao mpaka wengine wanazagaa mitaani, na nchi yetu ni tajiri bado tu tuna asilimia kubwa hivyo, maana mjinga ukimuelimisha anaelimika. Mimi siamini kwamba hao ni wajinga bali WAPUMBAVU ambao hata ukiwaelimisha hawaelimiki asilani abadani.
ndio maana nikawa namwambia huyo juu hapo,neno MJINGA kwa mujibu wa assad,limewekwa eneo lisilo sahihi.kama alimaanisha hivyo,basi yeye huyu naye ni mjinga kwa kutojua kuandika tu,na proff pia naye ni sehem ya sample hiyo 60%.
maana ujinga ni hali ya kutojua jambo fulani,ambayo kila mwanadamu anayo,huwezijua kila kitu.
proff nayeye ni sehemu ya waajiriwa ambaye kama akipelekwa kuwa wizara ya afya kuna vitu vitamfanya kubatizwa ujinga.

neno UJINGA kwa taaluma ya assad lilikuwa na maana ya kufanya kazi sehemu ambayo siyo taaluma ya mtu husika,ina make sense hata kuoanisha na majukumu yake utagundua ndioo alipopatia takwimu zake.

lakini ndugu yangu huyo amekariri,mjinga ni mtu asiyejitambua.
 
Back
Top Bottom