Kauli ya Prof. Elifas Bisanda juu ya tahadhari ya Corona kwa wafanyakazi na wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria Tanzania inatoa picha gani kwa wasomi?

KooZito

JF-Expert Member
Dec 14, 2020
396
1,377
Wasomi wetu watia aibu sana. Prof. Bisanda, Makamu wa Chuo Kikuu Huria (OUT) anahojiwa na BBC ni kwa nini ameamua kuwataka wanafunzi wake wabakie nyumbani kusoma kwa mtandao?

"Hilo haliwahusu, mimi nimetoa taarifa hiyo kwa wanafunzi wangu tu na wafanyakazi wa Chuo kuhusiana na Corona, haliwahusu si lenu!"

Mashaka! Tujikinge!

Kuhusu waraka, soma >
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania(OUT) Chatahadharisha wanafunzi na wafanyakazi wake dhidi ya COVID19 NA COVID21

Prof_Elifas_Tozo_Bisanda.jpg
 
Ungekuwa wewe ungejibuje?
 
Kama ule waraka kaandika yeye kweli, basi tuaimlaumu kwa hilo la mahojiano, AMEJITOA MUHANGA SANA KUWAOKOA WATU WAKE.
 
Hiyo inaitwa msg according to "context"
Yupo sawa, asijelimwa barua na yule mama🤣🤣
Hawa watu wanapoteza fursa nzuri ya kujitambulisha.

Kufukuzwa kazi kwa kusimamia kilicho kweli ni heshima kubwa sana.

Nadiriki kusema kwamba hakuna mwenye ubavu wa kuwafukuza kazi kwa kusema ukweli.
 
Wasomi wetu watia aibu sana. Prof. Bisanda, Makamu wa Chuo Kikuu Huria (OUT) anahojiwa na BBC ni kwa nini ameamua kuwataka wanafunzi wake wabakie nyumbani kusoma kwa mtandao?

"Hilo haliwahusu, mimi nimetoa taarifa hiyo kwa wanafunzi wangu tu na wafanyakazi wa Chuo kuhusiana na Corona, haliwahusu si lenu!"

Mashaka! Tujikinge!

Kuhusu waraka, soma >
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania(OUT) Chatahadharisha wanafunzi na wafanyakazi wake dhidi ya COVID19 NA COVID21

Hospitali zina wagonjwa wengi wenye ugonjwa wa "pneumonia", majumbani kwetu pia tunao, sehemu za kazi wapo, kupitia mitandao ya kijamii tunapata taarifa kila kukicha juu vifo vya watu mbalimbali waliokumbwa na ugonjwa huu.

Serikali mpaka sasa imeshikilia msimamo kuwa gonjwa hili ambalo limetikisa sehemu kubwa ya nchi ni matatizo ya kawada tu ktk mfumo wa mtu wa upumuaji na wala si wimbi la pili la COVID-19. Hali kadhalika Mheshimiwa sana naye huo ndiyo msimamo wake binafsi, kitu kinachopelekea wote walio chini yake washikwe na kigugumizi kuongea ukweli.

Prof. tunakupongeza na kukushukuru kwa kujitoa mhanga na kuongea ukweli bila ya kupepesa maneno. Mfalme kakaa uchi, hii ni fedheha kwa watu wote, ni vyema wale wanaojitokeza na kuzungumza ukweli hadharani ili kuweza kuificha aibu ya ufalme.
 
Back
Top Bottom