Kauli ya Paul Makonda ni taa nyekundu kwa Dr Ryoba?

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,762
4,576
Tumesikia mkuu wa mkoa wa Dar mtukufu Paul Makonda akimwaga sifa kwa mkurugenzi wa Azam TV ambaye pia aliwahi kuwa mkurugenzi wa TBC ndugu Tido Mhando.

Kauli ya mtukufu Paul Makonda ilionesha kutoridhika kwake kuona mtu mwenye ubunifu kamaTido Mhando anawafaidisha Azam.

Maswali:
1. Dr Ryoba anawashiwa taa nyekundu?

2. Mtukufu Paul Makonda havutiwi na ubunifu wa mtaalamu na gwiji wa fani ya habari Dr Ryoba?

3. Ubunifu wa Dr Ryoba pale TBC wa kuanzisha vipindi vya Tunatekeleza, Safari ya Dodoma, live coverage ya matukio ya CCM, wasanii kutembelea ujenzi wa reli, hotuba za Mh sana nk yeye (Mtukufu Paul Makonda ) hajavutiwa hadi avutiwe na TV za nje?

4. Anapata wapi muda wa kuangalia Azam TV na kuacha kuangalia TV ya kizalendo (TBC1)

Asante
 
Tumesikia mkuu wa mkoa wa Dar mtukufu Paul Makonda akimwaga sifa kwa mkurugenzi wa Azam TV ambaye pia aliwahi kuwa mkurugenzi wa TBC ndugu Tido Mhando. Kauli ya mtukufu Paul Makonda ilionesha kutoridhika kwake kuona mtu mwenye ubunifu kamaTido Mhando anawafaidisha Azam.

Maswali:
1. Dr Ryoba anawashiwa taa nyekundu?
2. Mtukufu Paul Makonda havutiwi na ubunifu wa mtaalamu na gwiji wa fani ya habari Dr Ryoba?
3. Ubunifu wa Dr Ryoba pale TBC wa kuanzisha vipindi vya Tunatekeleza, Safari ya Dodoma, live coverage ya matukio ya CCM, wasanii kutembelea ujenzi wa reli, hotuba za Mh sana nk yeye (Mtukufu Paul Makonda ) hajavutiwa hadi avutiwe na TV za nje?
4. Anapata wapi muda wa kuangalia Azam TV na kuacha kuangalia TV ya kizalendo (TBC1)
Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
Pale lumumba kuna cheo kipya cha Mkuu wa Mawasiliano na vyombo vya habari vya CCM....... Hicho cheo kikimpata mtu maarufu ni kikubwa sana!
 
Ma ccm manafiki sana kwani waliposema mkataba wake umeisha tbc1 akina nani?
Jee waliomwambia mwenyekiti ccm kuwa ccm ilishindwa uchaguzi kwa kua kuna vipindi tbc1 vilionyesha mdahalo live na ccm kuingia mitini kwa kukosa hoja ni nani?
 
Kumrekebisha ni kuwa aliondolewa kaxini kwa kesj ambayo inahusisha siasa. Na kesi kafunguliwa na mawakili wa serikal wakitska afungwe. Kashinda kesi.
Leo mtu yule yule mnataka kumpa cheo kile kile ofc ile jmile.. atawaelewaje
Kiongozi gani wa CCM alimshurutisha. Tatizo lako umeng'ata mbege ukashushia na white brand kidogo mkuu. Badilika siku si nyingi utaanza kuokota makopo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ijulikane wazi kwamba Dr Ryoba ni mere academician, yaani ni mwana taaluma wa Habari na uzoefu wake ni katika kufundisha na kufanya tafiti katika taaluma ya habari, ila Dr Ryoba hana uzoefu katika media house management kama alivyo Tido.

Kwa hiyo, kwa vyovyote, ilipasa Ryoba abaki kuwa mwana taaluma na kuwachia waandishi wazoefu kusimamia mashirika ya habari.

Ndugu zangu PhD has nothing to do with experience, yaani mtu wa Bachelor ana uzoefu na ana ujuzi mwingi kushinda PhD maana Bachelor yeye anafanya practice zaidi wakati PhD ni madesa oriented.
 
Cc
Ma ccm manafiki sana kwani waliposema mkataba wake umeisha tbc1 akina nani?
Jee waliomwambia mwenyekiti ccm kuwa ccm ilishindwa uchaguzi kwa kua kuna vipindi tbc1 vilionyesha mdahalo live na ccm kuingia mitini kwa kukosa hoja ni nani?
CCM imekufa au iko hai?Naomba jibu!
 
Bado mnawasikiliza hao wanaojiita vichaa? TBC si wanapangiwa vipindi na akina Le Mutuz na huyu huyu Makonda anayelalamika? Yeye si ndiye anayepiga simu na kuagiza "nataka ionekane kwenye taatifa ya habari saa fulani".

Hawa watu sijui tutapelekana wapi.
 
TBC hawapo huru ni TV inayoendeshwa kwa mujibu wa zidumu fikra za Mwenyekiti wa CCM na Naibu Rais ndugu Daud Maliyamungu Bashite hata ukiwachukua wakurugenzi toka CNN, sky News, BBC, DW nk hawataweza kuigeuza kuwa ya kisasa
 
Tumesikia mkuu wa mkoa wa Dar mtukufu Paul Makonda akimwaga sifa kwa mkurugenzi wa Azam TV ambaye pia aliwahi kuwa mkurugenzi wa TBC ndugu Tido Mhando.

Kauli ya mtukufu Paul Makonda ilionesha kutoridhika kwake kuona mtu mwenye ubunifu kamaTido Mhando anawafaidisha Azam.

Maswali:
1. Dr Ryoba anawashiwa taa nyekundu?

2. Mtukufu Paul Makonda havutiwi na ubunifu wa mtaalamu na gwiji wa fani ya habari Dr Ryoba?

3. Ubunifu wa Dr Ryoba pale TBC wa kuanzisha vipindi vya Tunatekeleza, Safari ya Dodoma, live coverage ya matukio ya CCM, wasanii kutembelea ujenzi wa reli, hotuba za Mh sana nk yeye (Mtukufu Paul Makonda ) hajavutiwa hadi avutiwe na TV za nje?

4. Anapata wapi muda wa kuangalia Azam TV na kuacha kuangalia TV ya kizalendo (TBC1)

Asante
Kama Tibisi wanarusha propaganda masaa 24/7
 
Kiongozi gani wa CCM alimshurutisha. Tatizo lako umeng'ata mbege ukashushia na white brand kidogo mkuu. Badilika siku si nyingi utaanza kuokota makopo.
basi atakua mjasiliamali halaka sana apewe kitambulisho kakizi vigezo kwa muujibu wa Shelia za shattel
 
Back
Top Bottom