Kauli ya Nasari imekuwa mtaji wa CCM wanadai katumwa na Dr. Slaa

...hahahahahaha..mie huwa sipendi siasa..lakini..naomba kuuliza ..kwa CCM..vipi ule mpango wao wa kuwashtaki hawa mawaziri waliotuingizia hasara Taifa...?..naona wameacha hilo ..wamehamia kwa Nasari..duh..
 
yale hayakua maneno madogo dogo..Huwezi kama mwanasiasa kusema viongozi wakuu wa kitaifa wasikanyage sehemu/kanda fulani..huu ni upumbavu wa hali ya juu hata kule kenya au Nigeria kwenye ukabila, ukanda na udini hutasikia wanasiasa wanasema hivi, labda kue na mgogoro wa muda mrefu wa kitaifa mfano wakati wa kifo cha Tom Mboya wajaluo walisema Kenyatta na kiongozi wowote wa Kikuyu asikanyage Kisumu.

Hii kauli ya kitoto sana hapa Tanzania hata kama unataka umaarufu kitaifa au unaamasisha mashabiki, bado hii kauli ya kijinga kisiasa. Nashangaa CDM hadi sasa hawajaitolea ufafnuzi ile kauli hii inaonyesha wamelewa na unexpected success yao na wanajaribu kuishi juu ya matarajio kitu kitakachowafanya wadharaulike sasa.

Kauli iliyofuatia ya Mwenyekiti wa CHADEMA hukuisikia? "unexpected success" kwa CHADEMA? Unaota?
 
Back
Top Bottom