Kauli ya mtikila juu ya yaliyotokea Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kauli ya mtikila juu ya yaliyotokea Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ulimbo, Jan 14, 2011.

 1. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Katika mambo mwengi huyu mchungaji mtikila toaga mawazo yake ikiwa ni pamoja na kuishtaki mahakamani, vipi il la arusha hajatoa tamko lolote? au ndo anaangalian sheria inasemaje ili ajipange?

  Nawakilisha:
   
 2. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  atakuwa keshajuwa kuwa chadema walichemka......the man is brilliant....!
   
 3. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #3
  Jan 14, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Putting word in someone elses mouth typical of nics.....
   
 4. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45

  Sidhani, wewe ndo umechemka. Kama chadema wamechemka, basi si angetoa tamko juu ya chadema?
   
 5. H

  Hute JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,053
  Likes Received: 3,920
  Trophy Points: 280
  hivi bado yu hai, au amepewa donge nono kwamba anyamaze kimyaaaa kwa muda fulani...
   
 6. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,899
  Likes Received: 12,031
  Trophy Points: 280
  Unanifurahishaga sana wewe today the man is brilliant tomorrow ni mropokaji but keep your words nitakukumbusha.
   
 7. m

  mbolimboli Member

  #7
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mtikila huwa ni fafa basi huo ndio mtindo wake wa maisha ni ndumila kuwili na anpenda pesa kufa ila analazimisha halafu hana shukrani
   
 8. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mtikila hana jipya, sijui hata lile deni analodaiwa na Rostam kama atakuwa amemaliza kulilipa
   
 9. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #9
  Jan 14, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45


  Yawezakana maana huyo mdai wake asikiki tena akimdai, ila waswahili hujuana kwa vilemba.
   
 10. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #10
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  heading ya hii thread nimeielewa toafuti-nilzani unachopresent ni kauli ya mtikila,na si kuuliza kama ulivyouliza
   
Loading...