Kauli ya Mpendazoe "ukitaka kuepuka nzi lazima utupe kibudu" si ya kiungwana

Kansigo

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
2,670
2,156
Japo mie ni mwana CCM, lakini nimesikitishwa sana na kauli hii ya Fredy Mpendazoe katika mkutano mkuu wa CCM Dodoma kwamba ukitaka kuepuka nzi warushie kibudu. CCM iliwaondoa wale waliokuwa wanaleta harufu mbaya kwenye CCM.

Hapa bila shaka alimlenga mhe Lowassa, kiukweli sikuipenda kabisa, hata kama ni siasa, tukumbuke undugu wetu bado uko palepale kama watanzania.

Kumfananisha mwanadamu mwenzako na kibudu is beyond politics! Awe muungwana aombe radhi!na pia CCM ijitenge na kauli hii kuonyesha uungwana na ukomavu

Nawasilisha
 
Hana lolote mchumia tumbo huyo, chdema hakupewa nafasi hata ya kufagia ofisi, akaona anapotea kwenye media karudi huko walikozoea kuropoka na kweli sasa anazungumzwa, kama kweli kidume na anajua sana kuropoka apinge kuwa yeye si ng'ombe aliekatwa mkia, nyambafu tena yeye kakatwa wa mbele.
 
Japo mie ni mwana CCM, lakini nimesikitishwa sana na kauli hii ya Fredy Mpendazoe katika mkutano mkuu wa CCM Dodoma kwamba ukitaka kuepuka nzi warushie kibudu. CCM iliwaondoa wale waliokuwa wanaleta harufu mbaya kwenye CCM. Hapa bila shaka alimlenga mhe Lowassa, kiukweli sikuipenda kabisa, hata kama ni siasa, tukumbuke undugu wetu bado uko palepale kama watanzania. Kumfananisha mwanadamu mwenzako na kibudi is beyond politics! Awe muungwana aombe radhi! nawasilisha
Ni wachache mno ndani ya ccm wenye fikra yakinifu kama wewe
 
Huyu ni ng'o*** aliyekatika mkia hivyo kwa kile kidonda cha kukatika mkia nzi watamsumbua sana sijui atafukuzaje na yeye mkia umebaki kipisi.
1469458929608.jpg
 
Chadema wakitaka wasiandamwe na Ma Nnzi wamwambie Mbowe aondoshe Kibudu chake
 
Vipi zile kauli dhidi ya Rais nao waombe radhi? Wanasiasa hawaeleweki na ukitaka ustaarabu kwenye siasa basi siasa huiwezi bora ujiunge na vikundi vya dini mkahubirie watu
 
Watu Design ya kina mpendazoe ni aliyewasema makamba snr "Ni Ng'ombe waliokatika Mkia ".
 
Japo mie ni mwana CCM, lakini nimesikitishwa sana na kauli hii ya Fredy Mpendazoe katika mkutano mkuu wa CCM Dodoma kwamba ukitaka kuepuka nzi warushie kibudu. CCM iliwaondoa wale waliokuwa wanaleta harufu mbaya kwenye CCM.

Hapa bila shaka alimlenga mhe Lowassa, kiukweli sikuipenda kabisa, hata kama ni siasa, tukumbuke undugu wetu bado uko palepale kama watanzania.

Kumfananisha mwanadamu mwenzako na kibudi is beyond politics! Awe muungwana aombe radhi!

Nawasilisha

Duh asee... Ipo siku atajutia maneno yake na kile alichokomaanisha. Wanakosea sana kutumia matusi katika majukwa ya kisiasa kwani Hakuna alie wahifanikiwa kwa kutukana Au kukashifu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom