Kauli ya Mjuni Mpoki wa "Ze Comedy" kuhusu JKT..

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
1,710
3,669
Leo ktk ukurasa wake wa Facebook Mpoki ameandika "Kufauru ufauru wewe,Msuli upige wewe,halafu JKT wakupangie wao.Majanga"...hii kauli inakuja pengine ni kutokana na tangazo la JKT kuwataka vijana wote waliofauru kwa Div 1 na II kuripoti katika kambi 24/June/'13...kinyume cha hapo ni kuchukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria...kwa mtazamo wa Mjuni Mpoki..je ni kweli JKT haina Tija kwa sasa?
 
Vijana wachangamkie hii kama fursa itawasidia sana kwenye maisha yao baada ya kutumikia JKT. Tutapunguza wavaa suruali mpaka bonde la ------ linaonekana aka usharobaro utapungua.
 
JF ni jukwaa huru but I don't think if Mpoki is analytical in any serious matter even his current carrier as a comedian!!
 
Ndiyo vizuri wakitoka huko waache kuvaa heleni

Unadhani hao ndo wavaa heleni..hao wamebukua..meaning ni vichwaa vya ukwelii....wavaa heleni ndo hawa walowaacha mtaani wenye 0 na 4...so hawajappunguza tatizo...tena wenye 4 na 0 ndo wangeenda jeshini wakibaki mtaani watatukaba
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom