Kauli ya Mh. Zitto kuhusu uchaguzi wa EALA

Huu mtindo wa wabunge kuchagua kwa misingi ya chama na si uwezo,tutajikuta tumeingizwa mkataba wa ajabu sana,hivi mtu kashindwa kusimamia shirika moja la umma atawezaje kutetea maslahin ya nchi nzima?,hata angegombea king majuto kupitia magamba angepigiwa kura tu!
Tufike mahali tuweke uzalendo mbele hasa kwenye masuala yenye kuamua mustakabali wa nchi
 
Kanuni za uchaguzi huu ni mbaya sana kama watu wanachaguliwa kulingana na vyama vyao bila kujali uwezo wao, Ni vizuri swala hili liingizwe kwenye katiba ya nchi na namna ya kuwapata hawa wabunge.

CCM hawana uzalendo, hawawezi kuchagua wazalendo.
 
la nimeipenda speech ya yule mama wa CAF, dah ki inglishi kina mgogoro wa wasomi w.....?

Sikia mkuu, tukiachilia mbali MAFURIKO, UFISADI, UDINI, UKABILA, UMIMI na UKANDA; Ki-English ni JANGA jingine la kitaifa! Nakutaka kujifariji ktk hili watz tumekuwa ni watu wakutoa majibu mepesi mepesi tu! Bt mind you, Tz as a free country really these simple answers won't get us anywhere anymore & this's definitely out of our control, either we like or not bt we've to!
 
Niliona picha ya Shyrose jana humu duh ndio wabunge wanaotuwakilisha huko! amevaa kichupi! na huyu Angela nae nasikia ni design hiyo hiyo ! mbona kazi ipo!
 
Huyu ndio kimeo kabisaaaaaa!!!!!!!!

Wadau walipendekeza kuwa ifunguliwe kesi ya msingi kupinga CCM kutuchagulia wabunge wa upinzani, kwao waoalidhani ni vema upinzani wakachagua wabunge wao na si wabunge wa CCM Kutuchagulia wawakilishi wetu , ila sheria hizi za uchaguzi zikawa zinakinzana na hicho walichokuwa wakikisema. Na ndiyo maana wakapendekeza kesi ya msingi ifunguliwe, sasa sijui Kenya , Uganda, Burundi na hata Rwanda ni utaratibu gani wanautumia ili tuwapata wabunge wa Africa mash. hasa wa Upinzani Kuingia bunge hilo.
 
la nimeipenda speech ya yule mama wa CAF, dah ki inglishi kina mgogoro wa hatari sana kwa wasomi wetu asee, hivi ingekuwaje kama bunge lingekuwa linaendeshwa kwa ki inglishi.............?

"I come from CUF Mbeya. My dailly bread is contractor". Halafu tunabisha kwamba ki ingereza sio janga la kitaifa?
 
Not happy with some of our reps to eala. Anyway, its democracy. The poorest TZA Team ever to eala since 2001. No offence

Lazima aseme hivyo, kwani kimeo cha CDM kwa kura alizopata ni aibu kubwa, alikuwa hana uwezo kabisa kabisa!

Kama hii ni message ya ZZK anaboa, alitaka nani aende?

Huo ndo ukweli ingawa demokrasia imechukua nafasi yake.
Yule mama Mchumi, ex EALA member hakustahili kuachwa na kumpeleka mtu wa Mawasiliano Shy Rose na Angela Kizigha.
 
Wadau walipendekeza kuwa ifunguliwe kesi ya msingi kupinga CCM kutuchagulia wabunge wa upinzani, kwao waoalidhani ni vema upinzani wakachagua wabunge wao na si wabunge wa CCM Kutuchagulia wawakilishi wetu , ila sheria hizi za uchaguzi zikawa zinakinzana na hicho walichokuwa wakikisema. Na ndiyo maana wakapendekeza kesi ya msingi ifunguliwe, sasa sijui Kenya , Uganda, Burundi na hata Rwanda ni utaratibu gani wanautumia ili tuwapata wabunge wa Africa mash. hasa wa Upinzani Kuingia bunge hilo.

Wewe ulitaka CDM wajichague wenyewe na kile kimeo chao cha Komu?, mmeleta mtu asie na uwezo kabisa, shame on you !

I believe kama kuna wanachama wa Chadema ambao hawajaridhika kwanini Chama chao hakiwakilishwi kwenye bunge la Afrika Masharika ili hali wao ndio viongozi wa opposition bado wanaweza kurekebisha hali hii kwa kutaka kupatiwa tafsiri sahihi kweye mahakama ya Afrika Mashariki kwani the charter of the community is very clear that political parties with representation in regional parliaments must be represented kwenye E.A legislature. Nawakilisha.
 
Niliona picha ya Shyrose jana humu duh ndio wabunge wanaotuwakilisha huko! amevaa kichupi! na huyu Angela nae nasikia ni design hiyo hiyo ! mbona kazi ipo!

kuvaa sio issue, cha muhimu kama kichwani kuna akili ama kuna matope. hao wote wawili shyrose na angelanaamini wana ***** kichwani, ukiondoa hao, wengine wote waliopita ni halali na sawa kabisa na watatuwakilisha vema
 
Jamani CCM na Angela kizigha wao wanatupeleka wapi nasikia liliongoza kwa kuhonga wabunge walichague na wakahongeka unategemea nini kwa aina ya wabunge kama hawa MAJI MAREFU,RAGE,MKAMIA,VICKY KAMATA,LUSINDE na wengine wengi from MAGAMBAZ.
 
"I come from CUF Mbeya. My dailly bread is contractor". Halafu tunabisha kwamba ki ingereza sio janga la kitaifa?
Khaaa unajua hata mi sikuona kama nimekosea! instead of writing CUF i wrote CAF! This means i am addicted to football asee. Frakly speaking English is a disaster in Tanzania, we better decide to go with our Swahili or we do something about it.
 
Hata yeye mwenyewe baadhi ya watu hawakuwa happy alivyoshinda ubunge...Mwisho wa siku hata tungewakilishwa na Yesu au Mtume bado watu wangesema -ve
 
Back
Top Bottom