Kauli ya Mh. Zitto kuhusu uchaguzi wa EALA

maswali yapi hayo tukusaidie kupata majibu?
Kwa sentensi ya kwanza nikapata maswali mengi kuhusu rushwa, Je kulikuwa na rushwa kwenye uchaguzi huu?
Baadae nikapata maswali kuhusu uwezo wa waliochaguliwa nikirelate na yale aliyoyasema Makinda jana kuhusu uwezo mdogo wa wabunge wanaowakilisha Tanzania kwenye bunge hilo.
 
mimi nafikiri kizigha doesn't deserve it. anyway now u can see ccm and cuf are one na usishangae next season wakasimamisha mgombea mmoja. but we have learnt a lesson that we get prepared the 'future is not for us to see'.
 
inabidi uchaguzi ujao uwe na sehemu ambayo public wanaweza kuwauliza maswali na kutueleza what are they going to do for the nation ili wapiga kura wetu watuchagulie wawakilishi wenye tija kwa taifa.
 
Ikiwa viongozi ni matokeo na sura ya watu waliowachagu, Je team hii inaweza ku-reflect aina ya wawakilishi tulionao?
 
la nimeipenda speech ya yule mama wa CAF, dah ki inglishi kina mgogoro wa hatari sana kwa wasomi wetu asee, hivi ingekuwaje kama bunge lingekuwa linaendeshwa kwa ki inglishi.............?
 
Not happy with some of our reps to eala. Anyway, its democracy. The poorest TZA Team ever to eala since 2001. No offence

Respecting the outcome of the election of our EALA representatives, I believe our MPs had a golden chance to give us a better team!! Kudos to the opposition parties, they gave us two of the best representatives we can put our hopes on[ special thanks to Chadema for raising the alarm that made possible for Dr.Kessy to get that one slot]. As from the ccm camp only Mwinyi, Makongoro and Murunya give a glimmer of hope of effective representation!! How they could ditch a person of Mndolwa's qualifications is beyond my understanding; but then ccm is a strange political party because they even prefer traditional healers than professionals in their ranks!!
 
zitto is absolutely right

kizigha ni kimeo
Bhanji ni kimeo kikuu
Murunya ni pure orthodox corrupt mongoose


sorry if i offend anyone

U re very correct mkuu,Dr Mndolwa alistahili kuwemo kwenye list!
 
Kama wabunge wanapewa rushwa, harafu wananchi tunacheka bado sana, makamba kasema rushwa, wengi wanalalamika kuhusu rushwa. Ni wakati wa wananchi kuchukia hata harufu ya rushwa tu, kwa mtu yeyote sembuse kwa wabunge?? wapeni kitimoto watakapokuja majimboni kuwalaghai. kwani walifanya mikutano ya kuchukua mawazo yenu ili wawawakilishe vema? au mbunge alijichukulia madaraka mikononi mwake?? kama hakufanya hivyo wapiga kura washeni moto kwa wabunge wa aina hii
 
Back
Top Bottom