Kauli ya Mh Rais, kutotaka kukaa muda mrefu ofisini, ndiyo tuseme anang'atuka mwaka huu?

Ameshajitabiria hawezi kushinda, ivo ni lazima uchaguzi uje tumchague rais mzalendo namba moja Tanzania Tundu Antipas Lissu, yeye ameshajijua hawezi kupita
 
Kama hali ita improve to the better and not being worse, kauli yake itasimama but otherwise decision nyingine itafanywa kiungozi. Kwa hiyo kwa sasa uchaguzi utafanyika kama ulivyopangwa.
 
Wakuu,

Akiwa anapokea Ripoti ya TAKUKURU na ile ya CAG, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh: John Pombe Joseph Magufuli, amesema Uchaguzi wa Mwaka huu uko pale pale. Na kwamba hakuna mtu anapenda kukaa Ofisini muda mrefu.

Maswali yangu kwa Wanabodi!

1. Hataki kusogeza mbele kwa kuwa anataka asigombee tena mwaka huu? Maana miaka mitano mingine ijayo nayo ni muda mrefu!

2. Anajua asogeze au asisogeze nafasi ya kuingia Ikulu ipo wazi kwake japo anafahamu tuko kwenye siasa ya vyama vingi? Kama yuko katika hili la pili, nini kinampa imani hiyo? Ni utendaji wake au zaidi ya hilo?

Nawasilisha kwa majadiliano.

Lugumya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ameshacheki hali ya hewa na amegundua kuwa si njema
 
Anawateka wafuasi wake uchara ambao uwa wanamshangilia ili waanze kumsifia kwa mapambio kwamba ni rais wa wanyonge kumbe ni nyoka!

Kiufupi kesho tu utaanza kusikia mapambio na kaswida kutoka kwa misukule wake.

Madicteta wakiongoza maiti walio wengi upata raha sana.


Mkuu:
Hilo neno kaswida sidhani hapa limetumika ipasavyo.
Ni vyema kujiepusha na maneno/lugha usiyo ifahamu sawa sawa.
 
Back
Top Bottom