Kauli ya Mh Rais, kutotaka kukaa muda mrefu ofisini, ndiyo tuseme anang'atuka mwaka huu?

Lugumgya

JF-Expert Member
Dec 10, 2019
629
1,997
Wakuu,

Akiwa anapokea Ripoti ya TAKUKURU na ile ya CAG, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh: John Pombe Joseph Magufuli, amesema Uchaguzi wa Mwaka huu uko pale pale. Na kwamba hakuna mtu anapenda kukaa Ofisini muda mrefu.

Maswali yangu kwa Wanabodi!

1. Hataki kusogeza mbele kwa kuwa anataka asigombee tena mwaka huu? Maana miaka mitano mingine ijayo nayo ni muda mrefu!

2. Anajua asogeze au asisogeze nafasi ya kuingia Ikulu ipo wazi kwake japo anafahamu tuko kwenye siasa ya vyama vingi? Kama yuko katika hili la pili, nini kinampa imani hiyo? Ni utendaji wake au zaidi ya hilo?

Nawasilisha kwa majadiliano.

Lugumya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anawateka wafuasi wake uchara ambao uwa wanamshangilia ili waanze kumsifia kwa mapambio kwamba ni rais wa wanyonge kumbe ni nyoka!

Kiufupi kesho tu utaanza kusikia mapambio na kaswida kutoka kwa misukule wake.

Madicteta wakiongoza maiti walio wengi upata raha sana.
 
Back
Top Bottom