Uchaguzi 2020 Kauli ya Membe leo imedhihirisha kuwa Tundu Lissu hatunaye tena kwenye uchaguzi ujao

..hii habari ya kutokuanza kampeni kabla ya muda ni utamaduni wa CCM.

..kule ndiyo watia nia huchukua fomu na kutafuta wadhamini kimya-kimya.

..ni utamaduni usiofaa kwa kweli, kwasababu unawanyima fursa wadhamini kuamua mgombea yupi anafaa kudhaminiwa.

..hebu angalia jinsi mchakato wa kumpata mgombea wa Uraisi wa Zanzibar ulivyofanyika.

..hivi mchakato ule unatosha kuwapima wagombea na kuchagua mmoja atakayewakilisha chama, na hatimaye kuwa Raisi wa Znz?

..Hussein Mwinyi na wagombea wenzake walitumia muda gani kuelezea sera zao kwa wanachama na wajumbe kabla hawajapigiwa kura?

..kwa kweli mitizamo kama hii INADUMAZA demokrasia nchini.

cc Kilatha
Hawa wahuni wa Lumumba wamechanganyikiwa chief!! Hawana lolote zaidi ya propaganda. Ni wa kuhurumiwa sana!!
 
Habari wadau,

Kwanza niwapongeze viongozi wote wa vyama vya kisiasa walio Tia Nia ya Kugombea Urais bila kuonyesha dalili zozote za kuchafua nchi

Nanukuu
Rais Magufuli alipoenda kuchukua form Alisema nimekuja peke yangu kwa sababu sitaki kuvunja sheria kwani hairuusiw Mgombea kuongozana na umati wa watu kwenye ofisi za kuchukulia form

Membe Leo kasema kua wametafuta wadhamin Ndani ya mikoa 10 kimia kimia ili kukwepa Mtego. Je, huo Mtego ni upi?

Juzi Tundu Lissu ameanza kutoa vitisho kuwa anasikia wanataka kumkata japo wahusika hawaja taja Jina mtu yeyote wala hawaja ongea habar za kumkata mtu ila wao wamejikita katika misingi ya kuendelea kuwakumbusha wagombea kufata sheria na kusema Atae junja sheria ya uchaguzi Basi wata mshuhulikia

Nacho jiuliza mimi ni haya maneno ya Membe na kwanini Tundu Lissu na chadema wajihisi ni Wao ndio walio Anza kampen kabla ya muda kwanin wajihisi ni wao ndio walio tukana kwann wajihisi ni wao ndio Wata katwa!?

Au wanajua walilo yatenda?
Why Lissu and not Magufuli?
 
..hii habari ya kutokuanza kampeni kabla ya muda ni utamaduni wa CCM.

..kule ndiyo watia nia huchukua fomu na kutafuta wadhamini kimya-kimya.

..ni utamaduni usiofaa kwa kweli, kwasababu unawanyima fursa wadhamini kuamua mgombea yupi anafaa kudhaminiwa.

..hebu angalia jinsi mchakato wa kumpata mgombea wa Uraisi wa Zanzibar ulivyofanyika.

..hivi mchakato ule unatosha kuwapima wagombea na kuchagua mmoja atakayewakilisha chama, na hatimaye kuwa Raisi wa Znz?

..Hussein Mwinyi na wagombea wenzake walitumia muda gani kuelezea sera zao kwa wanachama na wajumbe kabla hawajapigiwa kura?

..kwa kweli mitizamo kama hii INADUMAZA demokrasia nchini.

cc Kilatha
Haya mambo yenu ya kujaribu kujustify kila kitu kwa perspective zenu badala ya uhalisia ndio tatizo.

Mkuu ulinzi wa campaign nchi nzima unatumia idadi kubwa ya askari, kipindi chote icho ujue kwa wahalifu ni wakati mzuri maana wanabaki askari wachache sana kwenye ulinzi mwingine wa jamii.

Kwa ivyo na polisi pia inabidi wajipange strategically ku minimise risk zingine za usalama na mali za watanzania katika kipindi ambacho askari wao wengi watakuwa kwenye shughuli za kusimamia usalama wa raia kwenye campaign nchi nzima.

Askari wengi pia inabidi wanolewe kawaida kuna kikosi maalum cha kupambana na kuzuia fujo you only need a few numbers on permanent basis kwa sababu mikusanyiko sio mambo ya kila siku nchi yeyote.

Kwa ivyo inapofika kipindi cha campaign inabidi uongeze nguvu kazi kwa kuchukua askari wa kawaida na kuwapa mafunzo ya kuzuia ghasia ata kama wanazo basic skills tayari kwa sababu awatumii kila siku kama ilivyo kwa FFU inabidi uwanoe upya. Ndio wanachokifanya polisi kama unafuatilia ili askari wao wawe tayari ifikapo tarehe 26 August.

Ni hivi kuna sababu nyingi za watu kutoa tarehe zao na moja wapo na wao kujipa muda wakujipanga.

Sababu za NEC/polisi ni tofauti na za CCM kwenye kuzuia campaign za mapema.
 
Chadema ni watu wa ovyo sana wamekuwa wakifanya matukio ambayo wanaona kabisa yanavunja sheria ili kutafuta tu attention ya authorities na baadae kuja kulalama hawa watu kwa kweli hawana Nia njema na Taifa letu tulivu kabisa nitashangaa sana kama Jaji Kaijage ata mpa Tundu lissu go ahead ya kuvie for presidency, Lissu hafai sio tu kuwa Rais hata Kwenye ubunge hatoshi kabisa ni mtu mwenye mrengo wa kutataka tutumbukie kwenye machafuko just for his own interests, familia yake iko Brussels, Belgium huyo sio mwenzetu wala asituhadae watanzania
Tunahitaji mzalendo Wa kweli kama JPM ambae within 5 years during his tenure amekuwa mtu wa kutembelea maeneo mbalimbali ya Nchi yetu.
 
Amefanyaje kwani mkuu
Alikuwa anafanya kampeni, kusimama barabarani, na hasa kuongea kuhusu mpinzani wake kwenye hiyo mikutano (refer juzi kuongea kuhusu magufuki na mwanyika) ambayo wanasema ni msafara...anajua anachofanya ni ili aenguliwe fujo itokee
 
Habari wadau,

Kwanza niwapongeze viongozi wote wa vyama vya kisiasa walio Tia Nia ya Kugombea Urais bila kuonyesha dalili zozote za kuchafua nchi

Nanukuu
Rais Magufuli alipoenda kuchukua form Alisema nimekuja peke yangu kwa sababu sitaki kuvunja sheria kwani hairuusiw Mgombea kuongozana na umati wa watu kwenye ofisi za kuchukulia form

Membe Leo kasema kua wametafuta wadhamin Ndani ya mikoa 10 kimia kimia ili kukwepa Mtego. Je, huo Mtego ni upi?

Juzi Tundu Lissu ameanza kutoa vitisho kuwa anasikia wanataka kumkata japo wahusika hawaja taja Jina mtu yeyote wala hawaja ongea habar za kumkata mtu ila wao wamejikita katika misingi ya kuendelea kuwakumbusha wagombea kufata sheria na kusema Atae junja sheria ya uchaguzi Basi wata mshuhulikia

Nacho jiuliza mimi ni haya maneno ya Membe na kwanini Tundu Lissu na chadema wajihisi ni Wao ndio walio Anza kampen kabla ya muda kwanin wajihisi ni wao ndio walio tukana kwann wajihisi ni wao ndio Wata katwa!?

Au wanajua walilo yatenda?
Najuwa wana hamu kubwa ya kumzuiya jamaa, kama wana akili timamu, basi hawatafanya hivyo.
 
Magufuli alichukua fomu peke yake ?
 
Walikuwa 200 na magufuli akawapigia simu kwamba amefurahisgwa na nyimbo zinamtukana lissu chadema na wapinzani naamini hajuna sheria ya kumuenguwa Lissu Tume sidhani wanaweze kujishusha hadhi kiasi hicho
Kwa hiyo wewe ukipigiwa simu na Maguful ukiwa uacheza disco hiyo inamaanisha anapiga Kampeni

Mbona Mimi juzi alinipigia nilikuwa katikati ya rusha roho najimwayamwaya disco Kwa kwenda mbele!, We vipi mkuu
 
Kisheria hakuna kitu kinaitwa kampeni kabla ya muda wa kampeni.Sheria za Uchaguzi zitaanza kufanya kazi 26 August 2020 na kuendelea
 
Habari wadau,

Kwanza niwapongeze viongozi wote wa vyama vya kisiasa walio Tia Nia ya Kugombea Urais bila kuonyesha dalili zozote za kuchafua nchi

Nanukuu
Rais Magufuli alipoenda kuchukua form Alisema nimekuja peke yangu kwa sababu sitaki kuvunja sheria kwani hairuusiw Mgombea kuongozana na umati wa watu kwenye ofisi za kuchukulia form

Membe Leo kasema kua wametafuta wadhamin Ndani ya mikoa 10 kimia kimia ili kukwepa Mtego. Je, huo Mtego ni upi?

Juzi Tundu Lissu ameanza kutoa vitisho kuwa anasikia wanataka kumkata japo wahusika hawaja taja Jina mtu yeyote wala hawaja ongea habar za kumkata mtu ila wao wamejikita katika misingi ya kuendelea kuwakumbusha wagombea kufata sheria na kusema Atae junja sheria ya uchaguzi Basi wata mshuhulikia

Nacho jiuliza mimi ni haya maneno ya Membe na kwanini Tundu Lissu na chadema wajihisi ni Wao ndio walio Anza kampen kabla ya muda kwanin wajihisi ni wao ndio walio tukana kwann wajihisi ni wao ndio Wata katwa!?

Au wanajua walilo yatenda?
Huo Ni Unafiki Na Utoto kabisa !!!!! Acheni kuleta mijadala ya kitoto kwenye Jamii forum !!! Mjitambue kama Watu wazima !
 
Habari wadau,

Kwanza niwapongeze viongozi wote wa vyama vya kisiasa walio Tia Nia ya Kugombea Urais bila kuonyesha dalili zozote za kuchafua nchi

Nanukuu
Rais Magufuli alipoenda kuchukua form Alisema nimekuja peke yangu kwa sababu sitaki kuvunja sheria kwani hairuusiw Mgombea kuongozana na umati wa watu kwenye ofisi za kuchukulia form

Membe Leo kasema kua wametafuta wadhamin Ndani ya mikoa 10 kimia kimia ili kukwepa Mtego. Je, huo Mtego ni upi?

Juzi Tundu Lissu ameanza kutoa vitisho kuwa anasikia wanataka kumkata japo wahusika hawaja taja Jina mtu yeyote wala hawaja ongea habar za kumkata mtu ila wao wamejikita katika misingi ya kuendelea kuwakumbusha wagombea kufata sheria na kusema Atae junja sheria ya uchaguzi Basi wata mshuhulikia

Nacho jiuliza mimi ni haya maneno ya Membe na kwanini Tundu Lissu na chadema wajihisi ni Wao ndio walio Anza kampen kabla ya muda kwanin wajihisi ni wao ndio walio tukana kwann wajihisi ni wao ndio Wata katwa!?

Au wanajua walilo yatenda?
Samahani,
Nilisoma kichwa cha habari tu, kumbe ndani umejaza upuuzi mtupu.
 
Nitajie mgombea urais aliyepitishwa na tume ya uchaguzi ya Taifa aliyeanza kampeni mapema ?

Muwe mnatumia vichwa vyenu kupata taarifa sahihi
Nawe utumie kichwa chako kufikiria vizuri, wao wenyewe wanajua kwa sasa hivi hawawezi kushinda uraisi, uchaguzi utakao kuwa moto ni wa 2025, kinachoangaliwa hapa ni ruzuku tuu mnapoteza muda na upuuzi
 
Haya mambo yenu ya kujaribu kujustify kila kitu kwa perspective zenu badala ya uhalisia ndio tatizo.

Mkuu ulinzi wa campaign nchi nzima unatumia idadi kubwa ya askari, kipindi chote icho ujue kwa wahalifu ni wakati mzuri maana wanabaki askari wachache sana kwenye ulinzi mwingine wa jamii.

Kwa ivyo na polisi pia inabidi wajipange strategically ku minimise risk zingine za usalama na mali za watanzania katika kipindi ambacho askari wao wengi watakuwa kwenye shughuli za kusimamia usalama wa raia kwenye campaign nchi nzima.

Askari wengi pia inabidi wanolewe kawaida kuna kikosi maalum cha kupambana na kuzuia fujo you only need a few numbers on permanent basis kwa sababu mikusanyiko sio mambo ya kila siku nchi yeyote.

Kwa ivyo inapofika kipindi cha campaign inabidi uongeze nguvu kazi kwa kuchukua askari wa kawaida na kuwapa mafunzo ya kuzuia ghasia ata kama wanazo basic skills tayari kwa sababu awatumii kila siku kama ilivyo kwa FFU inabidi uwanoe upya. Ndio wanachokifanya polisi kama unafuatilia.

Ni hivi kuna sababu nyingi za watu kutoa tarehe zao na moja wapo na wao kujipa muda wakujipanga.

Sababu za NEC/polisi ni tofauti na za CCM kwenye kuzuia campaign za mapema.

..tatizo lenu ni kuamini taratibu za CCM mnadhani ndiyo taratibu za nchi.

..kutafuta wadhamini kimya-kimya ni utaratibu wa CCM.
 
Habari wadau,

Kwanza niwapongeze viongozi wote wa vyama vya kisiasa walio Tia Nia ya Kugombea Urais bila kuonyesha dalili zozote za kuchafua nchi

Nanukuu
Rais Magufuli alipoenda kuchukua form Alisema nimekuja peke yangu kwa sababu sitaki kuvunja sheria kwani hairuusiw Mgombea kuongozana na umati wa watu kwenye ofisi za kuchukulia form

Membe Leo kasema kua wametafuta wadhamin Ndani ya mikoa 10 kimia kimia ili kukwepa Mtego. Je, huo Mtego ni upi?

Juzi Tundu Lissu ameanza kutoa vitisho kuwa anasikia wanataka kumkata japo wahusika hawaja taja Jina mtu yeyote wala hawaja ongea habar za kumkata mtu ila wao wamejikita katika misingi ya kuendelea kuwakumbusha wagombea kufata sheria na kusema Atae junja sheria ya uchaguzi Basi wata mshuhuli

Nacho jiuliza mimi ni haya maneno ya Membe na kwanini Tundu Lissu na chadema wajihisi ni Wao ndio walio Anza kampen kabla ya muda kwanin wajihisi ni wao ndio walio tukana kwann wajihisi ni wao ndio Wata katwa!?

Au wanajua walilo yatenda?
HAKUNA WA KUMKATA LISSU TUME YENYEWE INAMUHOFIA LISSU
 
Hivi, kwani siku si waseme tu kuanzia sasa chama nchi hii ni kimoja tu, hao upinzani wachague pa kwenda!
 
Nafikili Kampeni Team ya Chadema, watajua namna ya kujinusuru na hilo wo wenyewe wanaloliona lipo mbele. Watu wengi walitoa uzi humu kushauri Lissu na Chadema wafanye nini naLissu aseme nini na kipi aache hasa kwa wakati huu, lakini naona kama wenyewe wanajua zaidi wanachofanya. Binafsi kwa sasa yangu ni macho tu namasikio tu.
 
Back
Top Bottom