Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,226
- 26,048
Hawa wahuni wa Lumumba wamechanganyikiwa chief!! Hawana lolote zaidi ya propaganda. Ni wa kuhurumiwa sana!!..hii habari ya kutokuanza kampeni kabla ya muda ni utamaduni wa CCM.
..kule ndiyo watia nia huchukua fomu na kutafuta wadhamini kimya-kimya.
..ni utamaduni usiofaa kwa kweli, kwasababu unawanyima fursa wadhamini kuamua mgombea yupi anafaa kudhaminiwa.
..hebu angalia jinsi mchakato wa kumpata mgombea wa Uraisi wa Zanzibar ulivyofanyika.
..hivi mchakato ule unatosha kuwapima wagombea na kuchagua mmoja atakayewakilisha chama, na hatimaye kuwa Raisi wa Znz?
..Hussein Mwinyi na wagombea wenzake walitumia muda gani kuelezea sera zao kwa wanachama na wajumbe kabla hawajapigiwa kura?
..kwa kweli mitizamo kama hii INADUMAZA demokrasia nchini.
cc Kilatha