Kauli ya mbunge wa Rombo, Joseph Selasini kuwa Chacha Wangwe aliuliwa imeibua upya mjadala wa mwaka 2008

Chacha Wangwe aliuliwa na ccm kwa sababu ya Masilahi ya kisiasa "

Kwa watu wanaelewa mambo ya usalama watanilewa hapa mara nyingi maadui utumia mwanya wa mnyukano ya ndani ya wabaya wao ili kuwamaliza kisiasa !!

Kama upenyo alioutumia chairman, alipomuona Lissu threat na ana mnyukano na govt akaamua amiminie njugu. Chama ambacho kila uchaguzi ukikaribia lazima afe au afukuzwe Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu au Naibu Katibu Mkuu, miaka yote mtu mmoja tu ndiyo yupo salama, chairman chinja chinja!
 
Kama aliuliwa na CDM nadhani ingekua kete muhimu ya Ccm kuimaliza CDM kwa kufanya uchunguzi wa huru na haki.
Hili CDM ijulikane kuwa ilimuua kada wake, kama Ccm na serikali walishindwa kufanya huo uchunguzi na kudhihirishia ulimwengu kuwa Chacha Wangee aliuliwa na CDM basi huu utata utabaki hivihivi mpaka siku uchunguzi huru utakapofanyika.
Ingekua mimi ni kiongozi wa Serikali/Ccm ningefanya uchunguzi huru hili dunia ijue dhuluma ya CDM kwa Chacha Wangwe, ningetumia hii kete kummaliza Mbowe na CHADEMA yake.
Fanyeni wenyewe kwan picha alizoonyesha kigaila leo kazitoa wapi?
 
Kama upenyo alioutumia chairman, alipomuona Lissu threat na ana mnyukano na govt akaamua amiminie njugu. Chama ambacho kila uchaguzi ukikaribia lazima afe au afukuzwe Makamu Mwenyekiti, Katibu Mkuu au Naibu Katibu Mkuu, miaka yote mtu mmoja tu ndiyo yupo salama, chairman chinja chinja!
Kweli ma great thinkers kama wewe ni janga la taifa..kwa nn dola inakataa uchunguzi toka nje ili waje wathibitishe kuwa CDM wanahusika then wakose credibility kabisa kwa public!Ukitaka kumtandika adui risasi usimlenge kwa kitako ya bunduki ...mara paaa umejimaliza mwenyewe!
 
Hakuna ugumu wowote CCM ndiyo wanatakiwa kudhibitisha CHADEMA walimuua Chacha Wangwe.Selasini yuko sahihi kabisa.
Selasini anayesema hayo yuko chama gani? Anayethibitisha ni mtu au Chama? Kwa maneno ya Selasini, tuseme CAHDEMA wamesema? NO! Tuseme hivi, Selasini yabidi awe na breki na mdomo. Siyo kusema lolote kwa kuwa tu kuna mahala umebanwa.
 
Back
Top Bottom