Kauli ya Mbowe na Lowassa, zapishana kuhusu Uchaguzi wa 2015

Nov 13, 2015
34
37
Mh Edward Lowasa "Sisi tunajua tulishinda, wao wanajua tulishinda na dunia nzima inajua tulishinda"

Mh.Freeman Mbowe "migogoro ndani ya chama iliyosababishwa na Rushwa,utovu wa nidhamu na maadili kwa baadhi ya viongozi wa ngazi mbalimbali,ndiyo sababu kubwa ya kupoteza ushindi wakati wa uchaguzi mkuu 2015.

Vipi tena au ndio kuweweseka
 
Malim saif anadai ameshinda na kura anazitaja, nayeye aseme alipata kura ngapi zilizompa ushindi.
 
Mh Edward Lowasa "Sisi tunajua tulishinda, wao wanajua tulishinda na dunia nzima inajua tulishinda"

Mh.Freeman Mbowe "migogoro ndani ya chama iliyosababishwa na Rushwa,utovu wa nidhamu na maadili kwa baadhi ya viongozi wa ngazi mbalimbali,ndiyo sababu kubwa ya kupoteza ushindi wakati wa uchaguzi mkuu 2015.

Vipi tena au ndio kuweweseka
Chadema inaendeshwa kihuni,kazi ya kwanza katibu mkuu ni kukusanya watu kuhudhuria kesi....sasa kwa akili hizi wanafikiri kesi ni mpira wa soka?...haya bingwa wa nusu kaputi kaanza kazi.
 
Mh Edward Lowasa "Sisi tunajua tulishinda, wao wanajua tulishinda na dunia nzima inajua tulishinda"

Mh.Freeman Mbowe "migogoro ndani ya chama iliyosababishwa na Rushwa,utovu wa nidhamu na maadili kwa baadhi ya viongozi wa ngazi mbalimbali,ndiyo sababu kubwa ya kupoteza ushindi wakati wa uchaguzi mkuu 2015.

Vipi tena au ndio kuweweseka

kauli ya mbowe iko sahihi kabisa, kuliko ya huyo opportunist na Fisadi Lowassa!

ni kama ana regret vile, maamuzi mengine ni kuwa mwangalifu kuyafanya pale unapotaka kitu kikubwa na uamuzi huo ukakuweka kwenye risk ya kupata hicho kikubwa
 
Lowasa amfukuze Mbowe kwenye chama chake.
Yaani Mbowe anaipinga kauli sahihi ya mwenye chama,hana nidhamu.
 
Mh Edward Lowasa "Sisi tunajua tulishinda, wao wanajua tulishinda na dunia nzima inajua tulishinda"

Mh.Freeman Mbowe "migogoro ndani ya chama iliyosababishwa na Rushwa,utovu wa nidhamu na maadili kwa baadhi ya viongozi wa ngazi mbalimbali,ndiyo sababu kubwa ya kupoteza ushindi wakati wa uchaguzi mkuu 2015.

Vipi tena au ndio kuweweseka
Mbowe ndo mwenyekiti wa chadema.
Kwenye swala hili kauli yake ni ya mwisho. Sio ya Lowassa.
 
Mh Edward Lowasa "Sisi tunajua tulishinda, wao wanajua tulishinda na dunia nzima inajua tulishinda"

Mh.Freeman Mbowe "migogoro ndani ya chama iliyosababishwa na Rushwa,utovu wa nidhamu na maadili kwa baadhi ya viongozi wa ngazi mbalimbali,ndiyo sababu kubwa ya kupoteza ushindi wakati wa uchaguzi mkuu 2015.

Vipi tena au ndio kuweweseka
Lowasa bado anatikisa kiberiti kupima kama bado Chadema wanamahaba. Maana Mahaba ni yale mapenzi ya kibubusa " Dogmatic Love".
Muda si mrefu chadema watamuona kuwa ni Mzigo wataachana na mawazo yake ya kufikiri alishinda. Nafikiri hapo ndipo safari ya kuchunga ng'ombe itaanza.
Muda si mrefu Chadema watafanya "rational live" ndio wakati wa kuachana na timu Lowasa
 
Back
Top Bottom