Kauli ya Manara ifanyiwe kazi; kwanini Yanga & Simba hawezi shinda bila kubebwa kwa penati na kadi nyekundu kwa wapinzani wao?

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,632
2,413
Nilikuwa naangalia mechi baina ya Yanga na Ruvu na mpira ulikuwa umebalance huku Ruvu wakimiliki mchezo vyema hadi pale referee kwa mapenzi binafsi alipoamua kuharibu mpira kwa kuwazawadia Yanga penati ya bure bila kufuata kanuni 17 za mpira wa miguu achilia mbali kumtoa nje mchezaji wa Ruvu kipindi cha kwanza kwa Red card ambayo haikuwa na ulazima.

Nipo bar napiga kinywaji nikitafakari kauli ya Waziri mkuu jana alipokutana na viongozi wa vilabu hapa nchini akijaribu kuhamasisha jinsi ya kuisadia timu ya Taifa kufanya vizuri kwenye mashindano ya kutafuta nafasi ya kushiriki Kombe la dunia wakati nawaza ilo nikakumbuka kuwa na yeye jana mara baada ya kikao na vilabu aliishia kupiga picha na viongozi wa Yaga naSimba peke yao.

Mungu wangu aliyeturoga Watanzania alikuwa ni mchawi hatareeeee.
 
Katika maelezo yako yooote wapi umeongelea kauli ya Manara sasa? Kichwa cha habari na maelezo tofauti

Anyways umesema upo Bar unakata kinywaji ngoja tu-assume ni bia.
 
Katika maelezo yako yooote wapi umeongelea kauli ya Manara sasa? Kichwa cha habari na maelezo tofauti

Anyways umesema upo Bar unakata kinywaji ngoja tu-assume ni bia.
Headingndiop kauli ya Manara, duh, ndhani sasa umeelewa
 
Kesho asubuhi ukija kuusoma vzr huu uzi nadhani hata ww huoamini ulichoandka 🤣🤣🤣
 
Wapenzi wa soka huwa wajuzi sana mkiwa nje ya uwanja, mfano, mmempigia zumari Mohamed kawapisha muendeshe timu, leo wengine ndiyo nyie sasa!
 
Back
Top Bottom