hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,916
Na hii imekuja baada ya makufuri kuwataka vijana wafanye kazi na waache kucheza pulu na ikibainika wanacheza pulu muda wa kazi lazima wakamatwe na polisi. lakini kwa jeshi la polisi saizi kwao imekuwa ni mladi wanakama watu maeneo yoyote yale wala bila kujali muda na hasa wamewalenga wale watembea kwa miguu.
na Saizi vituo vingi vya polisi vimeguzwa ni sehemu za bishara hadi huku kwetu polisi wamejiwekea malengo kila siku lazima wakamate watu 50 na kila mtu kutoka sh 50000 na hiyo hela wanagawana.
Inakuwaje unamkamata mtu uzulaji harafu unamwambia atoe 50000 na akikupa hiyo 50000 inamaana huyo sio mzululaji. Ila unakuwa umemfanyia dhuluma.