MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,924
- 8,910
Magufuli kawekwa na Mkapa, usiwe mbishi.Hapana Mkuu. Hata Mkapa ambaye alikuwa ni rafiki mKubwa wa Magufuli, labda aliona mapungufu fulani ndani ya Magufuli hivyo hakumpa support yote ili kwenye mio za uraisi. Labda pia Mkapa hakutaka kugombana na Kikwete. Ndio maana Magufuli alisema wazi siku zote - hakuna anaemdai katika kuwa kwake raisi, ni juhudi zake peke yake.
Na labda kwa hasira ya Mkapa kutokuwa nae kwenye harakati a kumrithi Kikwete, Magufuli alipokuwa rahisi alikuwa hasikilizi chochote Mkapa alichomshauri. Na wala alikuwa ham-consult. Watu walianza kumlaumu Mkapa kuwa mtu wako Magufuli haambiliki, uwe unamshauri. Mkapa aliweka bayana kwamba hata yeye Magufuli hataki kabisa kumsikiliza, japo ni kweli yeye ndio aliyemfanya afike alipofika.
Ilifikia wakati Mkapa alikasirika akawa hahudhurii function yeyote ya kitaifa.Aliamua kukaa kando kabisa na mambo ya serikali, kama amesusa. Watu wenye busara wakamwambia Magufuli kwamba umeenda mbali sana na Mkapa, mwombe msamaha, huwezi kusahau mlikotoka. Nadhani katika maisha yake Magufuli ya uraisi, ni ushauri huo tu aliowahi kupokea, maana ni kweli alimalizana na Mkapa na Mkapa akawa anashiriki dhifa za kitaifa baada ya hapo.
Mangula afanya ziara ya kimya kimya Chato, yadaiwa ni mipango ya 2015
Huyu bwana mkubwa yuko Chato na viongozi wa mkoa. Haijulikani kwanini ziara yake kaifanya moja kwa moja Chato na haitangazwi katika vyombo vya habari. Wanamkakati wanadai ni mkakati wa Magogoni ukichukulia kwamba wao hujiita "VIJANA WA MKAPA"
www.jamiiforums.com