Siyo kwamba sitaki Makonda apandishwe cheo, hapana. Ila hakuna rais nchi aliwahi kusema atampa mtu fulani cheo kabla ya kumteua na kumtangaza. Enzi za Mwl Nyerere alitengua uteuzi wa watu wengi baada ya habari kuvuja.
Huu ni mwendelezo wa kauli tata toka kwa kiongozi wetu. Mnakumbuka kauli iliyoleta mjadala mkubwa kuhusu kuhukumu kesi ili serikali ipate fedha. Lakini pia alimwambia DPP kwamba unapomkamata mtu na meno ya tembo hakuna haja ya upelelezi!