Kauli ya kukumbukwa ya A. L Mrema

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
5,708
10,201
AUGUSTINO LYATONGA MREMA

Sikuwa na njia ya kumpinga mgombea wa CCM aliyepitishwa na ngazi zote zinazotakiwa na chama, hata kama hafai. Ukimpinga watauliza; huyu Mrema vipi, labda zi mwenzetu. Mtu kama Kitwana Kondo kwangu mimi kama Mrema, Kitwana Kondo hafai kuwa diwani wa Kariakoo. Lakini mimi Mrema, kama CCM, Kitwana Kondo anafaa kuwa diwani wa Kariakoo
 
sikuwa na njia ya kumpinga mgombea wa ccm aliyepitishwa na ngazi zote zinazotakiwa na chama, hata kama hafai. Ukimpinga watauliza; huyu mrema vipi, labda zi mwenzetu. Mtu kama kitwana kondo kwangu mimi kama mrema, kitwana kondo hafai kuwa diwani wa kariakoo. Lakini mimi mrema, kama ccm, kitwana kondo anafaa kuwa diwani wa kariakoo

kwani kile kisukari alichotibiwa na babu wa loliondo keshapona??
Msalime sana aisee..
 
Aliwahi pia kusema akirudi CCM anyongwe mpaka kufa! nadhani hii ndiyo inayomuogopesha kurudi jumla
 
Mbona yuko CCM licha ya kwamba hajautangazia umma kuwa karudi.
Nilimsikia kwa masikio yangu akisema ubunge nipeni mimi, urais mpeni Kikwete wakati TLP ilikuwa imemsimamisha
Macmillan Lyimo
Aliwahi pia kusema akirudi CCM anyongwe mpaka kufa! nadhani hii ndiyo inayomuogopesha kurudi jumla
06_10_ujtre6.jpg

Mgombea Urais Kupitia Chama Cha TLP Bw Macmillan Lyimo(kushoto)akikabidhi fomu za maombi ya kugombea kiti hicho kwa Katibu Mkuu wa Chama hicho Meja Jesse Makundi kwenye Makao makuu ya TLP jijini Dar es Salaam Jana.Katikati ni Naibu katibu Mkuu wa TLP Bw Hamad Tao.Picha na Robert Okanda

http://www.blogger.com/share-post.g...94691&postID=6868477418266453385&target=email
 
Mbona yuko CCM licha ya kwamba hajautangazia umma kuwa karudi.
Nilimsikia kwa masikio yangu akisema ubunge nipeni mimi, urais mpeni Kikwete wakati TLP ilikuwa imemsimamisha
Macmillan Lyimo
06_10_ujtre6.jpg

Mgombea Urais Kupitia Chama Cha TLP Bw Macmillan Lyimo(kushoto)akikabidhi fomu za maombi ya kugombea kiti hicho kwa Katibu Mkuu wa Chama hicho Meja Jesse Makundi kwenye Makao makuu ya TLP jijini Dar es Salaam Jana.Katikati ni Naibu katibu Mkuu wa TLP Bw Hamad Tao.Picha na Robert Okanda

Halafu anatokea mwenda wazimu anasema vyama vya upinzani viungane ilikuiondoa CCM....pumbavu kabisa
 
Back
Top Bottom