Elijah O
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 1,116
- 906
Ukweli wakazi wa Bariadi watakukumbuka kwa suala la maji , ilikua ni kero kubwa ukizingatia wafugaji wengi wamepoteza mifugo yao kwa ukosefu wa maji pia hata wakazi wa Bariadi walikuwa hawana uhakika kwa kupata maji safi na salama. Sasa mradi wa kutoa maji ziwa Victoria utakuwa mkombozi kwa wakazi wa Simiyu.