Kauli ya Kakobe "Magufuli atubu", yaibua mambo! Je asili halisi ya Rais Magufuli ni Msukuma, Mhaya au Muha wa Kakonko?

Tusipo kuwa makini tutaangamia na huyu jamaa kama ni kweli ana secret ishu tukimpa miaka kumi hawa wa tutsi watakuwa wameshika sehemu nyeti sana na watatutikisa sana

Ushauri wa bure Ccm wasifanye mzaa fuatilieni hili la vetting la mweshimiwa why inaonekana kuna siri kubwa sana kwenye ubin wake?

Nyie fukieni kila kitu na kusema ni porojo za wapinzani.

Hatukatai mtu yeyote ana haki ya kutawala hata kama sio mtz but ukweli lazima uwekwe wazi

Mnyarwanda si mtu mzuri na ninaona ni adui atari sana wa taifa hili
Kwa kweli hii chibhoko!
 
Nashauri rais apeleke vyeti vya kuzaliwa vya babu zake upande wa mama na babake pamoja na vyeti vya bibi zake wote wawili yaani mama mzaa mamake na mama mzaa babake. Baada ya hapo apeleke vyeti vya kuzaliwa vya mamake na babake na mwisho sasa apeleke vyeti vyake mwenyewe vya kuzaliwa na vya shule. Tusimtume Nondo peke yake na wengine tupeleke
 
Umebobea ktk uandishi lkn sio ktk mambo ya dini.bado mtoto sana mpaka nakosa nikujibu lipi maana umeingiza ukatoliki ukasahau biblia alafu ukasahau Mungu hajui dhehebu anajua neno lake na maelekezo yake
 
Uhamiaji hawawezi kuacha kufuatilia uraia wako kwa kuogopa kelele za mtandaoni..kama wewe ni raia kiwewe cha nini?
 
Haki ikitendeka, kila mtu athibitishe kama kweli ni RAIA wa Tanzania, uchaguzi mkuu utarudiwa.

Ni hayo tu ndugu zangu.
Na utakaporudiwa viongozi wengi na wananchi wengi watakuwa wamerudishwa katika nchi zao. Hivi jamani leo rais anaweza kuleta cheti cha kuzaliwa babu zake wazaa baba na mama? Je anaweza kuleta vyeti vya wazazi weke? Je yeye mwenyewe na mkewe walipata vyeti walipozaliwa au wamepatia ukubwani kwa njia ya affidavity? Kwanza baadhi ya watu wanaodaiwa vyeti walizaliwa wakati nyakati za ukoloni na wengi wameshafariki. Hivi kwa mfano mimi mababu, bibi na wazazi wangu wote wameshafariki. Leo nikiambiwa nipeleke vyeti uhamiaji navipata wapi? Wengi itabidi tuondoke ikwa ni pamoja na jiwe
 
Back
Top Bottom