Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,022
- 9,285
Ni vizuri ungesoma tulikuwa tunazungumzia nini.. naona umerukia mwishoni.
Na wewe ni vizuri uwe unakumbuka uliandika nini mwanzoni, katikati na mwishoni mwa mijadala!. unataka raisi wa JMT atoe pongezi kwa kuuawa mtuhumiwa!, halafu siku zote unataka utawala wa sheria . Are you serious or you are jumping in the bandwagon!!!!. kwa kuwa wewe unadai ni muumini wa Utawala wa sheria Ningetegemea Umshauri raisi wa JMT atoe tamko la kusikitishwa kwa kuuawa "mtuhumiwa Osama";, wakati uwezo wa kumkamata akiwa hai walikuwa nao, ukizingatia sasa hivi wanatuambia wakati wakimuua alikuwa unarmed. ili ajibu tuhuma za kuhusika na mauaji ya Watanzania hapo mwaka 1998 na haki itendeke kwa Watanzania hao Mahakamani!!