Kauli ya Jaji Tiganga kwamba huenda Shahidi Ling'wenya alikuwa anapewa majibu ya maswali aliyoulizwa yawaibua Wadau

Shahidi atapewaje majibu na mtu mwingine akiwa kizambani halafu asionekane? Huyo Jaji ni mchawi ni nini? Anaona visivyoonekana!!
Hii lazima iingie kwenye maajabu ya Dunia, utadhani ni mtihani ambao mtu anakuwa anajua maswali yote na majibu
 
Mna visingizio sana tulieni dawa iwaingie maana mlitamba sana mama anaupiga mwingi.

Mkome kabisa tabia ya kuingilia mahakama.
Hapo hakuna mahakama bali wahuni wanaopokea maelekezo kutoka kwa lile jike
 
Back
Top Bottom