Kamanda Francis
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 834
- 140
Habari za Uhakika zimenaswa toka Kwa Wataalamu wa Uchunguzi wa Habari zinazovuja (INTELEJENSIA) Kwamba, Baada ya Diwani huyo Wa Mahakama "Henry Matata" Kuhojiwa na Kigogo Maarufu wa CCM Mkoani Mwanza Kuhusu Mikakati yake Dhidi ya Udhibiti wa Mkutano wa Mbowe na WanaVyuovikuu Kutofanikiwa huko Ilemela, Matata amejibu Kwa Kujifariji akitamka, "Hao achana nao, Kwanini tuhangaike nao ili hali nimepata taarifa zao Kwamba Wanataka Uchaguzi Utangazwe Upya ili Wanitimue Kwa Kura za Hapana?.. Sisi tutaendelea Kufanya kile tunachoagizwa na Wakuu Wetu ilimradi Waendelee Kutuhakikishia Usalama wetu" JE, HAO WAKUU ANAOWATAJA MATATA NI AKINA NANI WANAOWAAGIZA!!?... Nawasilisha!