Kauli ya Diwani Henry Matata wa Kata ya Kitangiri Ilemela leo 14/12/2013 Mchana

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Nov 30, 2013
834
140
Habari za Uhakika zimenaswa toka Kwa Wataalamu wa Uchunguzi wa Habari zinazovuja (INTELEJENSIA) Kwamba, Baada ya Diwani huyo Wa Mahakama "Henry Matata" Kuhojiwa na Kigogo Maarufu wa CCM Mkoani Mwanza Kuhusu Mikakati yake Dhidi ya Udhibiti wa Mkutano wa Mbowe na WanaVyuovikuu Kutofanikiwa huko Ilemela, Matata amejibu Kwa Kujifariji akitamka, "Hao achana nao, Kwanini tuhangaike nao ili hali nimepata taarifa zao Kwamba Wanataka Uchaguzi Utangazwe Upya ili Wanitimue Kwa Kura za Hapana?.. Sisi tutaendelea Kufanya kile tunachoagizwa na Wakuu Wetu ilimradi Waendelee Kutuhakikishia Usalama wetu" JE, HAO WAKUU ANAOWATAJA MATATA NI AKINA NANI WANAOWAAGIZA!!?... Nawasilisha!
 
Na kwa hilo unatafuta tutaje majina, ni CCM ambayo ina serikali ambayo hata kusimamia uchaguzi wa Meya inakuwa issue vipi kura za Urais???
 
Matata ni jembe ulaya. Haogopi kufanya kazi yke ya kuwaletea wananchi maendeleo. Wauwaji wa chadema watashindwa tu
 
Umaskini ulioko Tz ni mkubwa sana
Leo hii ukitembelea mhimbili machozi yatakuto mwenyewe
Ukisoma hii hotuba ya Obama ndo utaweza kujua ni kwa jinsi gani wananchi wanateseka na kunyanyaswa
Na utawala wa mkoloni mweusi
Bila ukombozi kwenye hili taifa watu wataendelea kuangamia

For around the world today, we still see children suffering from hunger and disease. We still see run-down schools. We still see young people without prospects for the future. Around the world today, men and women are still imprisoned for their political beliefs, and are still persecuted for what they look like, and how they worship, and who they love. That is happening today.

And so we, too, must act on behalf of justice. We, too, must act on behalf of peace. There are too many people who happily embrace Madiba's legacy of racial reconciliation, but passionately resist even modest reforms that would challenge chronic poverty and growing inequality. There are too many leaders who claim solidarity with Madiba's struggle for freedom, but do not tolerate dissent from their own people. (Applause.) And there are too many of us on the sidelines, comfortable in complacency or cynicism when our voices must be heard.

ajidanganye tu muda ukifika atatoka tu na hao anaowasikiliza watamtupa kama used ndom
 
Huyu mzee matata anazeeka vibaya! Kesho ataona nguvu ya UMMA

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Habari za Uhakika zimenaswa toka Kwa Wataalamu wa Uchunguzi wa Habari zinazovuja (INTELEJENSIA) Kwamba, Baada ya Diwani huyo Wa Mahakama "Henry Matata" Kuhojiwa na Kigogo Maarufu wa CCM Mkoani Mwanza Kuhusu Mikakati yake Dhidi ya Udhibiti wa Mkutano wa Mbowe na WanaVyuovikuu Kutofanikiwa huko Ilemela, Matata amejibu Kwa Kujifariji akitamka, "Hao achana nao, Kwanini tuhangaike nao ili hali nimepata taarifa zao Kwamba Wanataka Uchaguzi Utangazwe Upya ili Wanitimue Kwa Kura za Hapana?.. Sisi tutaendelea Kufanya kile tunachoagizwa na Wakuu Wetu ilimradi Waendelee Kutuhakikishia Usalama wetu" JE, HAO WAKUU ANAOWATAJA MATATA NI AKINA NANI WANAOWAAGIZA!!?... Nawasilisha!

Ha! Mara hii umeshakunywa gongo mliobarikiwa na paroko!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom