Kauli ya CUF kwa yanayoendelea Arusha sasa hivi

kigu

Senior Member
May 27, 2012
183
74
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAREHE 18/06/2013
RAMBI RAMBI KWA WAFIWA BAADA YA MLIPUKO WA BOMU KWENYE MKUTANO WA CHADEMA MJINI ARUSHA

CUF-Chama cha Wananchi kinatoa pole kwa Wafiwa na Majeruhi wa Tukio la Bomu lililorushwa kwenye Mkutano wa Chadema,uliofanyika kwenye Viwanja vya SOWETO Mjini Arusha. Hili si sula la Siasa wala si suala la Udini wala si ukabila, haya ni mauaji. Tena ni mauaji yenye lengo la kusambaratisha Taifa letu. Kama ambavyo tumekwisha eleza mara kadhaa kupitia Mikutano tuliofanya kipindi cha Kampeni na kusisitiza juu haja ya Arusha kuwa na utulivu wa Kisasa, tunasisitiza tena kwamba ni muhimu kwa sasa Vyama vya siasa kuacha kutupiana lawama juu ya nani au Chama gani cha Siasa kimehusika na Mlipuko huo.

CUF- Inashauri ni vyema Viongozi wa Vyama tukawa Dira kwa Wanachama wetu kwa kutoa muongozo utaojenga Taifa letu na sio kuwa wachochezi wa kuligawa Taifa letu kwa misingi ya itikadi za Vyama vyetu. Suala hilI libaki katika
mikono ya Serikali ili ifanye uchunguzi na hatimae itoe majibu kwa Wananchi. Tangu kutokeE maafa haya, baadhi ya Vyama vinataka kugeuza mauaji haya kuwa Mtaji wa kupatia kura kwa Wananchi jambo ambalo linazidisha machungu kwa Wafiwa. Watu waliopoteza maisha kwa mlipuko huo, ni pamoja na wato wawili waliokuwa wakitoka Madrsa , watoto hawa kwa vyovyote vile hawana Chama, na hata wazazi wao huwenda wasiwe CCM,CUF au CHADEMA , vyama ambavyo vipo kwenye Ushindani wa kwania Viti vya Udiwani unaotarajiwa kufanyika June 30 2013.

CUF-Chama cha Wananchi , kinaona jambo baya na halitaweza kujenga Arusha yenye Mshikamano iwapo kuna baadhi Vyama vitatumia Mauaji haya kama njia ya kupata kura toka kwa Wananchi.Tunavishauri Vyama vinavyotumia Mauaji haya kama mtaji wa Kisiasa viache kwa maslahi ya watu wa Arusha na Nchi yetu kwa ujumla.
CUF-Chama cha Wananchi pia kinatoa wito kwa viongozi wa Dini kuacha kuingilia suala la Uchaguzi kwa kutoa maelekezo kwa waumini wao kuchagua mgombea wanaemtaka wao kwa utashi wa Imani zao. Ni vema kwa Viongozi wa Dini wakafahamu kwamba maelekezo ya kumchagua kiongozi wa kisiasa kwa utashi wa Imani yake utatupeleka mahala pabaya sana. Wananchi hawachagui Kiongozi wa kuendesha Ibada Msikitini au Kanisani, jambo hili litatuletea matatizo hapo baadae. CUF-Chama cha Wananchi kinawaomba viongozi wa Dini, kuacha jambo hilo kwa Maslahi ya Tanzania. Ni vyema viongozi wa Dini wakijikita zaidi kutoa mafunzo ya kiimani yatayoezesha Viongozi wataochaguliwa kutoa Haki na kuwa waadilifu kwa Wataowaongoza na si kuwaelekeza waumini kumchagua mtu kutokana na Imani yake.

Mwisho CUF-Inatoa wito kwa wapiga kura wa Arusha kuwakataa wale wote wanaotumia mauaji haya kama mtaji wa kuwapatia kura.
Imetolewa na

Abdual Kambaya
Naibu Mkurugenzi wa Haki za binadamu,Habari na Uenezi

0719566567
 
Sawa. Lakini inawezekana vipi mtoto akajitoa kwenye kesi inayomhusu baba yake? CUF na CCM ndiyo wanaongoza serikali CCM nidyo inayotuhumiwa kupanga na kutekeleza mauaji. Sasa anatuambia nini? Ni bora angekaa na viongozi wa CCM akawapa haya mawaidha. Huu ndiyo mtazamo wangu.
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAREHE 118/06/2013
RAMBI RAMBI KWA WAFIWA BAADA YA MLIPUKO WA BOMU KWENYE MKUTANO WA CHADEMA MJINI ARUSHA
CUF-Chama cha Wananchi kinatoa pole kwa Wafiwa na Majeruhi wa Tukio la Bomu lililorushwa kwenye Mkutano wa Chadema,uliofanyika kwenye Viwanja vya SOWETO Mjini Arusha. Hili si sula la Siasa wala si suala la Udini wala si ukabila, haya ni mauaji. Tena ni mauaji yenye lengo la kusambaratisha Taifa letu. Kama ambavyo tumekwisha eleza mara kadhaa kupitia Mikutano tuliofanya kipindi cha Kampeni na kusisitiza juu haja ya Arusha kuwa na utulivu wa Kisasa, tunasisitiza tena kwamba ni muhimu kwa sasa Vyama vya siasa kuacha kutupiana lawama juu ya nani au Chama gani cha Siasa kimehusika na Mlipuko huo.

CUF- Inashauri ni vyema Viongozi wa Vyama tukawa Dira kwa Wanachama wetu kwa kutoa muongozo utaojenga Taifa letu na sio kuwa wachochezi wa kuligawa Taifa letu kwa misingi ya itikadi za Vyama vyetu. Suala hilI libaki katika
mikono ya Serikali ili ifanye uchunguzi na hatimae itoe majibu kwa Wananchi. Tangu kutokeE maafa haya, baadhi ya Vyama vinataka kugeuza mauaji haya kuwa Mtaji wa kupatia kura kwa Wananchi jambo ambalo linazidisha machungu kwa Wafiwa. Watu waliopoteza maisha kwa mlipuko huo, ni pamoja na wato wawili waliokuwa wakitoka Madrsa , watoto hawa kwa vyovyote vile hawana Chama, na hata wazazi wao huwenda wasiwe CCM,CUF au CHADEMA , vyama ambavyo vipo kwenye Ushindani wa kwania Viti vya Udiwani unaotarajiwa kufanyika June 30 2013.

CUF-Chama cha Wananchi , kinaona jambo baya na halitaweza kujenga Arusha yenye Mshikamano iwapo kuna baadhi Vyama vitatumia Mauaji haya kama njia ya kupata kura toka kwa Wananchi.Tunavishauri Vyama vinavyotumia Mauaji haya kama mtaji wa Kisiasa viache kwa maslahi ya watu wa Arusha na Nchi yetu kwa ujumla.
CUF-Chama cha Wananchi pia kinatoa wito kwa viongozi wa Dini kuacha kuingilia suala la Uchaguzi kwa kutoa maelekezo kwa waumini wao kuchagua mgombea wanaemtaka wao kwa utashi wa Imani zao. Ni vema kwa Viongozi wa Dini wakafahamu kwamba maelekezo ya kumchagua kiongozi wa kisiasa kwa utashi wa Imani yake utatupeleka mahala pabaya sana. Wananchi hawachagui Kiongozi wa kuendesha Ibada Msikitini au Kanisani, jambo hili litatuletea matatizo hapo baadae. CUF-Chama cha Wananchi kinawaomba viongozi wa Dini, kuacha jambo hilo kwa Maslahi ya Tanzania. Ni vyema viongozi wa Dini wakijikita zaidi kutoa mafunzo ya kiimani yatayoezesha Viongozi wataochaguliwa kutoa Haki na kuwa waadilifu kwa Wataowaongoza na si kuwaelekeza waumini kumchagua mtu kutokana na Imani yake.

Mwisho CUF-Inatoa wito kwa wapiga kura wa Arusha kuwakataa wale wote wanaotumia mauaji haya kama mtaji wa kuwapatia kura.
Imetolewa na

Abdual Kambaya
Naibu Mkurugenzi wa Haki za binadamu,Habari na Uenezi

0719566567
Duh utadhani wame copy & paste lile la ccm. Hawa nao bwana, hata kuandika tu vizuri maneno yasomeke vema issue.

Kutumika kubaya, Lipumba bado anaendelea kuisaidia ccm kama ilivyokuwa 2010.....Kwa mwendo huu CUF inakufa kifo kibaya na itasahaulika.
 
Rubish, para ya kwanza mnasema hili sio swala la kisiasa para ya piri mnasisitiza kuwapo kwa uturivu wa kisiasa? Nyie si ndio juzi mlisema kwamba mabom yamepigwa ili kuvuruga uchaguzi sababu ilihofiwa mtashinda uchaguzi kwenye kata za arusha.nonsense.
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAREHE 118/06/2013
RAMBI RAMBI KWA WAFIWA BAADA YA MLIPUKO WA BOMU KWENYE MKUTANO WA CHADEMA MJINI ARUSHA

CUF-Chama cha Wananchi kinatoa pole kwa Wafiwa na Majeruhi wa Tukio la Bomu lililorushwa kwenye Mkutano wa Chadema,uliofanyika kwenye Viwanja vya SOWETO Mjini Arusha. Hili si sula la Siasa wala si suala la Udini wala si ukabila, haya ni mauaji. Tena ni mauaji yenye lengo la kusambaratisha Taifa letu. Kama ambavyo tumekwisha eleza mara kadhaa kupitia Mikutano tuliofanya kipindi cha Kampeni na kusisitiza juu haja ya Arusha kuwa na utulivu wa Kisasa, tunasisitiza tena kwamba ni muhimu kwa sasa Vyama vya siasa kuacha kutupiana lawama juu ya nani au Chama gani cha Siasa kimehusika na Mlipuko huo.

CUF- Inashauri ni vyema Viongozi wa Vyama tukawa Dira kwa Wanachama wetu kwa kutoa muongozo utaojenga Taifa letu na sio kuwa wachochezi wa kuligawa Taifa letu kwa misingi ya itikadi za Vyama vyetu. Suala hilI libaki katika
mikono ya Serikali ili ifanye uchunguzi na hatimae itoe majibu kwa Wananchi. Tangu kutokeE maafa haya, baadhi ya Vyama vinataka kugeuza mauaji haya kuwa Mtaji wa kupatia kura kwa Wananchi jambo ambalo linazidisha machungu kwa Wafiwa. Watu waliopoteza maisha kwa mlipuko huo, ni pamoja na wato wawili waliokuwa wakitoka Madrsa , watoto hawa kwa vyovyote vile hawana Chama, na hata wazazi wao huwenda wasiwe CCM,CUF au CHADEMA , vyama ambavyo vipo kwenye Ushindani wa kwania Viti vya Udiwani unaotarajiwa kufanyika June 30 2013.

CUF-Chama cha Wananchi , kinaona jambo baya na halitaweza kujenga Arusha yenye Mshikamano iwapo kuna baadhi Vyama vitatumia Mauaji haya kama njia ya kupata kura toka kwa Wananchi.Tunavishauri Vyama vinavyotumia Mauaji haya kama mtaji wa Kisiasa viache kwa maslahi ya watu wa Arusha na Nchi yetu kwa ujumla.
CUF-Chama cha Wananchi pia kinatoa wito kwa viongozi wa Dini kuacha kuingilia suala la Uchaguzi kwa kutoa maelekezo kwa waumini wao kuchagua mgombea wanaemtaka wao kwa utashi wa Imani zao. Ni vema kwa Viongozi wa Dini wakafahamu kwamba maelekezo ya kumchagua kiongozi wa kisiasa kwa utashi wa Imani yake utatupeleka mahala pabaya sana. Wananchi hawachagui Kiongozi wa kuendesha Ibada Msikitini au Kanisani, jambo hili litatuletea matatizo hapo baadae. CUF-Chama cha Wananchi kinawaomba viongozi wa Dini, kuacha jambo hilo kwa Maslahi ya Tanzania. Ni vyema viongozi wa Dini wakijikita zaidi kutoa mafunzo ya kiimani yatayoezesha Viongozi wataochaguliwa kutoa Haki na kuwa waadilifu kwa Wataowaongoza na si kuwaelekeza waumini kumchagua mtu kutokana na Imani yake.

Mwisho CUF-Inatoa wito kwa wapiga kura wa Arusha kuwakataa wale wote wanaotumia mauaji haya kama mtaji wa kuwapatia kura.
Imetolewa na

Abdual Kambaya
Naibu Mkurugenzi wa Haki za binadamu,Habari na Uenezi

0719566567
Mkuu HAPO kwenye RED Tu Ndio lengo lako usizuge na uchafu wako hapa.Kama Blue Inamaana hiyo RED Edit haraka sana!!1
 
Unafiki mwingine huu, wa kujifanya una busara kwa migongo ya wengine.wakati ule nyie mnapigwa na mauaji kutokea si mlikua mnalalamika vivi hivi?
 
Dah!
hamjaacha tu kutumika?
Tamko limekaa kutumika tumika hili, yani mnaongea kama MAGAMBA!
Hivi Mbona CDM wakija PEMBA/UNGUJA na kuambulia KURA 1 au 2 Mbona hawaemi ni UDINI? au ni MAAGIZO ya MAASKOF?
Tumeshuhudia Pemba Muumini akipigwa na waumini wenzie kisa kaama CUF kaamia chama Pinzani, Mbona hamkutoa Tamko? Tena kapigwa kwenye Nyumba ya IBADA kisa SIASA. Kwanini hamkusema?
 
[h=5]TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAREHE 118/06/2013
RAMBI RAMBI KWA WAFIWA BAADA YA MLIPUKO WA BOMU KWENYE MKUTANO WA CHADEMA MJINI ARUSHA

CUF-Chama cha Wananchi kinatoa pole kwa Wafiwa na Majeruhi wa Tukio la Bomu lililorushwa kwenye Mkutano wa Chadema,uliofanyika kwenye Viwanja vya SOWETO Mjini Arusha. Hili si sula la Siasa wala si suala la Udini wala si ukabila, haya ni mauaji. Tena ni mauaji yenye lengo la kusambaratisha Taifa letu. Kama ambavyo tumekwisha eleza mara kadhaa kupitia Mikutano tuliofanya kipindi cha Kampeni na kusisitiza juu haja ya Arusha kuwa na utulivu wa Kisasa, tunasisitiza tena kwamba ni muhimu kwa sasa Vyama vya siasa kuacha kutupiana lawama juu ya nani au Chama gani cha Siasa kimehusika na Mlipuko huo.

CUF- Inashauri ni vyema Viongozi wa Vyama tukawa Dira kwa Wanachama wetu kwa kutoa muongozo utaojenga Taifa letu na sio kuwa wachochezi wa kuligawa Taifa letu kwa misingi ya itikadi za Vyama vyetu. Suala hilI libaki katika
mikono ya Serikali ili ifanye uchunguzi na hatimae itoe majibu kwa Wananchi. Tangu kutokeE maafa haya, baadhi ya Vyama vinataka kugeuza mauaji haya kuwa Mtaji wa kupatia kura kwa Wananchi jambo ambalo linazidisha machungu kwa Wafiwa. Watu waliopoteza maisha kwa mlipuko huo, ni pamoja na wato wawili waliokuwa wakitoka Madrsa , watoto hawa kwa vyovyote vile hawana Chama, na hata wazazi wao huwenda wasiwe CCM,CUF au CHADEMA , vyama ambavyo vipo kwenye Ushindani wa kwania Viti vya Udiwani unaotarajiwa kufanyika June 30 2013.

CUF-Chama cha Wananchi , kinaona jambo baya na halitaweza kujenga Arusha yenye Mshikamano iwapo kuna baadhi Vyama vitatumia Mauaji haya kama njia ya kupata kura toka kwa Wananchi.Tunavishauri Vyama vinavyotumia Mauaji haya kama mtaji wa Kisiasa viache kwa maslahi ya watu wa Arusha na Nchi yetu kwa ujumla.
CUF-Chama cha Wananchi pia kinatoa wito kwa viongozi wa Dini kuacha kuingilia suala la Uchaguzi kwa kutoa maelekezo kwa waumini wao kuchagua mgombea wanaemtaka wao kwa utashi wa Imani zao. Ni vema kwa Viongozi wa Dini wakafahamu kwamba maelekezo ya kumchagua kiongozi wa kisiasa kwa utashi wa Imani yake utatupeleka mahala pabaya sana. Wananchi hawachagui Kiongozi wa kuendesha Ibada Msikitini au Kanisani, jambo hili litatuletea matatizo hapo baadae. CUF-Chama cha Wananchi kinawaomba viongozi wa Dini, kuacha jambo hilo kwa Maslahi ya Tanzania. Ni vyema viongozi wa Dini wakijikita zaidi kutoa mafunzo ya kiimani yatayoezesha Viongozi wataochaguliwa kutoa Haki na kuwa waadilifu kwa Wataowaongoza na si kuwaelekeza waumini kumchagua mtu kutokana na Imani yake.

Mwisho CUF-Inatoa wito kwa wapiga kura wa Arusha kuwakataa wale wote wanaotumia mauaji haya kama mtaji wa kuwapatia kura.
Imetolewa na

Abdual Kambaya
Naibu Mkurugenzi wa Haki za binadamu,Habari na Uenezi

0719566567[/h]

Tatizo tulilonalo sisi Watanzania ukianzia sisi wananchi wa kawaida na hawa viongozi wa serikali hatujawa na tafsiri halisi ya serikali ni nini. Hiyo serikali tunayotaka iwazike ni CCM 100% bado hawa jamaa wanajipigia debe tu kupitia Mh. Pinda na wengine. Tukiwa hai ni mali ya nani? Jambo la kufanya ni kwamba serikali isusiwe maiti iwazike yenyewe maana serikali ndiye muuaji.
 
Wangetupatia na ripoti ya mashambulizi ya Padre Ambrose kule Zanzibar, Utekwaji wa Kibanda na Dr. ULIMBOKA, Mauaji ya Mwangosi kule Nyororo hapo tungeamini kwamba kweli watashughulikia hili. Nadhani huo ushahidi CHADEMA CHONDE CHONDE upelekeni ICC hapa hakuna kitu. Wao Policcm wafanya kazi yao kitaalamu halafu watoe majibu yao na kisha CHADEMA nao watoe ripoti yao lakini kuwapelekea polisi kwanza sio sharti la utaalaamu wa hao wanatumia kodi zetu vibaya. Mungu tunaomba uwashughulikie hao wanao ua watu wako wasio na hatia yoyote. Tanzama blanda wanazofanya kwa sasa wanapata wapi ujasiri wa kuzuia IBADA ya kutoa heshima za mwisho wa wafuasi wa CHADEMA? Ama kweli, "Hakuna Umaskini ulio mbaya zaidi ya Umaskini wa akili" (Mw. Nyerere)
 
somo lime eleweka , kinachoendelea ni chadomo kutokwa mapovu tuu........hawana hoja!

Inaonekana wanatamani bumu lingine ili wafanye mkutano wa siasa huku wakidai wanaomboleza!!
 
Back
Top Bottom