Kidogo chetu
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 1,432
- 992
Leo tulikuwa kwenye mkutano wa hadhara Igoma, mkutano ulioitishwa na diwani Igoma (CHADEMA) Mh. Adam Chagulani kuelezea juu ya mchakato wa kukusanya kura za kutokuwa na imani na meya wa jiji la Mwanza Mh. Manyerere.
Kwa mujibu wa maelezo ya Chagulani juu sababu ya kutokuwa na imani na meya nimegundua kuwa Chagulani hana jipya na anatumiwa sana na CCM. Amezungumza siri nyingi sana za CHADEMA bila aibu mbele umati wa watu waliokuepo kwenye ule mkutano na kila mtu ametoka pale akilalamika na kumlaumu Chagulani. Na amemshutumu sana Mh. Wenje - mbunge wa Nyamagana (CHADEMA) bila kufuata taratibu za kichama. Kiujumla ni kwamba Chagulani hana jipya, hana ushirikiano na mahusiano mazuri na viongozi wa CHADEMA Mwanza! Hata asiponyang'anywa kadi ni wazi kuwa 2015 hana chake tena Igoma.
- JACADUOGO (Mwenyekiti wa WANARORYA WOTE popote walipo)!
Huu waraka si ungewapelekea hao wakabila wako siono connectivity kati ya hotuba ya Chagulani ni hicho ncheo chako.
huyo bwana anaongea vyema kabisa wewe ndo huna jipya kwani unadhaNI cdm HAWaKOSEI