Ni kama pombe ya kienyeji. Mteja anakunywa baada ya muuza kuonja.Kasema aliitumia kwa heshima ya Waziri aliyempokea, asingekunywa ingeonekana Kama matusi kwao
Sent using Jamii Forums mobile app
Na je ikionekana inafaaKama lengo lilikuwa kufanya utafiti chupa moja (kama sample) ingetosha. Sasa swali ni je kwa nini tutume ndege na kuleta mabox mengi hivyo wakati hatuna uhakika kama dawa yenyewe inatibu. Sasa kama utafiti utaonyesha haifai, hizo gharama za ndege, timu iliyokwenda huko, gharama za kuleta mabox yote hayo zinabebwa na mlipa kodi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaubaliana na mimi, iwapo umefanya utafiti, ni mhimu kupitia kazi za wengine kuhusu jambo unalofanyia utafiti, kujua mbinu walizotumia na matokeo ya tafiti zao. Kwa sababu hiyo ya kitafiti ilikuwa lazima Waziri awapeleke wataalamu wetu.Kuhusu dawa kuanza kutumika mpaka WHO waidhinishe hilo ndilo linaonesha kwamba kwenda kuchukua dawa hiyo halikuwa jambo kubwa la kufanywa na waziri wa Mambo ya nje.
Kwa nini ni yeye na siyo waziri wa Afya?Kwa sababu hiyo ya kitafiti ilikuwa lazima Waziri awapeleke wataalamu wetu.
Sijui ndiyo kuwakebehi watz? Maana jamaa aliishusha kooni fasta. Ukimuuliza anakuambia hii ni ya utafiti!!Mbona yeye aligida ya kwake pale pale alipopewa? Au yeye siyo mtanzania?
Kweli kwa wana CCM kuna wananchi wa Tanzania na wenye nchi ya Tanzania!!
Waziri kwenda Madagascar ni ishu ya kisiasa na sio ya kisayansi wala siyo ya kiutafitiUtaubaliana na mimi, iwapo umefanya utafiti, ni mhimu kupitia kazi za wengine kuhusu jambo unalofanyia utafiti, kujua mbinu walizotumia na matokeo ya tafiti zao. Kwa sababu hiyo ya kitafiti ilikuwa lazima Waziri awapeleke wataalamu wetu.
Ninafurahi kila ninapokuta comment yako katika nyuzi mbalimbaliNia na dhumuni la safari ni kumpatia baba dawa. Kwani nyinyi wapiga kura ni binadamu?