Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
posho kwa wabunge ziongezeke hadi laki 5 na ziitwe ujira wa mwia.Pia hapa nina mialiko 27 ya wananchi nikachangie maendeleo ntazitoa wapi kama posho hazitapanda
natangulia gerezani kuonyesha mfano ila baada ya siku mje kunitoa
Duh!"Hali ya nchi ni mawingumawingu na vipindi vya jua!",alipo ulizwa katika mjadala ITV anaonaje hali ya nchi kiujumla!
...🙄🙄....Hawa mabeberu ni kuwahemea tu mpaka kielewekeWananchi wa Mbeya nichagueni kwa kishindo ili niendelee na programu yangu ya KUHEMEA kwa wenzetu nchi za nje na kuwaletea maendeleo ya kiuchumi.