white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,314
- 13,279
Hakuna kitu kama hicho kwani kushinda kwake hakutegemei kura ya mfanyakazi/mkulima wala mfanyabiashara! Kwani ndio maana anakuwa na jeuri ingekuwa ni nchi ya rais anashinda kwa kutegemea wapiga kura, kuanzia mwaka huu ilikuwa ajishushe kweli, na ndio maana hata kwenye chaguzi za serikali za mitaa/vitongoji mwaka huu wanajeuri tu kwani wanajua lazima washinde tu. Upinzani imala ndio nafuu kwa wananchi sasa ajabu Tz, upinzani unapopitia kwenye misukosuko miananchi mingi ndio inashangilia!! Wakati ni kiama kwao!!! Kura za jiwe ni mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kutamka tu mshindi ni JIWEJiwe mjanja amebana hivyo ili mwakani awapandishie wote wajisahau awaombe tena kura/kula zao na akipita anasgusha tena nyie mnamjua au mnamsikia
Mwakani kila kitu ni bwerere ili aanze kukusanya point za kuomba tena kura nabwatanzania walivyo wepesi wa kusahau na kura ataouta tena kwa ushindi wa ajabu