Kauli nzito za Freeman Mbowe

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
1: Rais vyuma vyake havijakaza kwa sababu halipi umeme, halipii nyumba ya kulala, anafanyiwa kila kitu kwa kodi zetu".

2: Hakuna kipindi watanzania wana maisha magumu ndani ya nchi yetu kama kipindi hiki toka kuumbwa dunia hii".

3: Chadema tunawaomba Viongozi wa Dini wasikate tamaa, tuko tayari kusimama nao mpaka mwisho".

4: Viongozi tukubaliane kukosolewa, wewe ni nani hata usifanye makosa, wapinzani wakikosa wasemwe, Rais akikosa asemwe, Waziri Mkuu akikosa asemwe, taasisi yoyote ikikosea isemwe".

5: Rais amekuwa mbabe na amewaruhusu wasaidizi wake nao wawe wababe, wananchi wanateswa na wanashindwa kuongea na hakuna mtetezi wao".

6: "Kuhama vyama sio kosa, ila tunasumbuliwa na hii sababu ya kuhama kwao. Uchumi wa nchi unaporomoka kiasi hiki halafu unasema unampongeza Rais na Serikali yake? Mbunge mwenye akili timamu hawezi kuhamia CCM wakati Lissu amepigwa risasi na waandishi wanapotea".

7: "Unawaombaje viongozi wa dini wakuombee, lakini wakikwambia utubu dhambi zako unawashambulia. Kakobe asikate tamaa, Maaskofu, Masheikh na Maimamu waendelee kupaza sauti zao, taifa linawahitaji".
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kauli yake ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu...kila akifungua mdomo Mbunge anajiudhuru na kodi itatumika kurudia uchaguzi,uchaguzi ambao CCM lazima washinde kwa gharama yeyote.
 
1: Rais vyuma vyake havijakaza kwa sababu halipi umeme, halipii nyumba ya kulala, anafanyiwa kila kitu kwa kodi zetu".

2: Hakuna kipindi watanzania wana maisha magumu ndani ya nchi yetu kama kipindi hiki toka kuumbwa dunia hii".

3: Chadema tunawaomba Viongozi wa Dini wasikate tamaa, tuko tayari kusimama nao mpaka mwisho".

4: Viongozi tukubaliane kukosolewa, wewe ni nani hata usifanye makosa, wapinzani wakikosa wasemwe, Rais akikosa asemwe, Waziri Mkuu akikosa asemwe, taasisi yoyote ikikosea isemwe".

5: Rais amekuwa mbabe na amewaruhusu wasaidizi wake nao wawe wababe, wananchi wanateswa na wanashindwa kuongea na hakuna mtetezi wao".

6: "Kuhama vyama sio kosa, ila tunasumbuliwa na hii sababu ya kuhama kwao. Uchumi wa nchi unaporomoka kiasi hiki halafu unasema unampongeza Rais na Serikali yake? Mbunge mwenye akili timamu hawezi kuhamia CCM wakati Lissu amepigwa risasi na waandishi wanapotea".

7: "Unawaombaje viongozi wa dini wakuombee, lakini wakikwambia utubu dhambi zako unawashambulia. Kakobe asikate tamaa, Maaskofu, Masheikh na Maimamu waendelee kupaza sauti zao, taifa linawahitaji".
Haraka sana anahitajika uhamiaji
 
QUOTE “ HAKUNA KIPINDI WATANZANIA WANA MAISHA MAGUMU NDANI YA NCHI YETU KAMA KIPINDI HIKI TOKA KUUMBWA DUNIA HII” UNQUOTE

Mbowe hapa kawa muongo NA mpotoshi, amesahau miaka ya 1978 to 1984, watu walishona plastic sheets kufanya nguo, kusini watu wali songa magamba ya Miti na kuifanya chakula, Dawa zilikosekana, watu walikuwa masikini NA Kizidi kudidimia, leo Mbowe anataka kufumbia macho enzi hiyo NA kusema leo hali ndiye mbaya zaidi, wakati yeye anauwezo wa kuenda Dubai kila baada ya miezi miwili, anasomesha wanawe shule akiwalipia ada ya 20 million kwa mwaka, kando NA vijisenti vya matumizi.

Msema kweli kipenzi cha mungu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom