Kauli nzito aliyoitoa Joshua Nassari yawagusa wazazi walala hoi wa tanzania

Hii kitu ndo nini jamani? "Your mentally unfit" na "Your mentally fit" au macho yangu?

Kwani kipi hujaelewa? kapewa burden of proof aprove kama yuko mentally fit, otherwise he/she is no mentally fit. Kalugha ka wengine haka kana mambo kaka Majangata, sometimes kanahitaji kufikiria kwanza kabla ya kukatumia.
 
Nassari ni vuvuzela kama lema tu . Huyu ndo mlikuwa mnasema anaweza mdahalo na sioi ? Asijaribu maana itakula kwake.
 
JokaKuu,
Mkuu mbona unayumba? Post yako ya kwanza umeandika Nasari hakumtambulisha baba yake. Post ya pili umegeuka na kusema alimtambulisha lakini hakumpa uzito kama alivyofanya kwa mama yake.

Sasa mkuu hapa unajaribu kutaka kutufikishia ujumbe gani? I mean hoja yako ni ipi katika hilo.

Mwita Maranya,

..u can take that either way.

..I expected a better performance from Joshua Nassari.

..kwenye tukio kubwa kama ufunguzi wa kampeni, it is always safe kila kitu kiwe-scripted, ikiwemo speech zote zitakazotolewa.

..kama nilivyoeleza mwanzo, muda waliompa kuzungumza ulikuwa mchache.

..Hopefully ktk mikutano inayofuatia Nassari atajipanga vizuri zaidi.

NB:

..the positive thing about Nassari ni kwamba inaelekea analijua vizuri jimbo lake la uchaguzi.
 
..kwanza hotuba ya mwenyekiti ilikuwa ndefu kuliko ya mgombea ubunge Joshua Nassari.

..pili mgombea alipoteza muda kwa kuzungumzia mambo ya kuoa na kuanza kutoa mifano ya wabunge wa chadema ambao hawajaoa au kuolewa.

..tatu, Joshua Nassari akamtambulisha mama yake huku akimsahau baba yake.

..baada ya hapo akaanza kutoa orodha ya malalamiko na kero bila kueleza yeye ana program gani ya kutatua malalamiko na kero alizoorodhesha.

..I want CDM to win in this contest, but I was not inspired by Nassari's performance today.

NB:

..suala la elimu kwa kweli linanigusa sana.

..naamini wananchi wanapaswa kuchangia kwa ajili ya elimu, iwe ktk manunuzi ya vitabu, madawati, kuwamotisha waalimu kufundisha muda wa ziada,etc etc.

Binafsi naamini mwanzo wa kutatua matatizo ni kuyafahamu kwanza, kijana ameongea kutoka moyoni kama ulimsikiliza utakubaliana nami, katika hotuba zote za leo, yake ilinigusa sana..., nilitokwa na machozi....
Nakumbuka pia alisema.."na huyu ndo baba yangu" lakini ni vitu vya kawaida tu kuwakumbuka mama zaidi ya baba.
 
Nassari ni vuvuzela kama lema tu . Huyu ndo mlikuwa mnasema anaweza mdahalo na sioi ? Asijaribu maana itakula kwake.

cku hizi huonekani kabisa jahazi modern taarab..umehamishia mashairi ya mipasho huku nini bi mkubwa..?
 
Sijaona mantiki hapo..
 
Fa.la ni fa.la 2 hata aogee jik kamwe hawezi kuwa mweupe zas y hata ww umeandika comment ya ki.fa.la.
 
cku hizi huonekani kabisa jahazi modern taarab..umehamishia mashairi ya mipasho huku nini bi mkubwa..?

naona ukweli unauma sana . Nimefurai kuona nimekugusa . Taarab peleka hukohuko kwenu pwani .
 
Nilifanikiwa kumsikiliza mwigulu kwenye kikao hapo nkoaranga anambomoa sana huyu dogo, inabidi ajipange sana. Kile kilichosemekana Lema ndio alimwokoa mwigulu jamaa akielezea watu mpaka wanatokwa machozi. In short jokakuu has a point cos detailing problems is not an issue the issue is program of solving it
 
kwa kweli sijaona mapungufu yeyote ya Nassari palipo na ukweli tuwe tunasema, tu dogo yuko level ya juu sana huwezi ukamcompare na huyu mtu wa magamba.
 
Nassari ni vuvuzela kama lema tu . Huyu ndo mlikuwa mnasema anaweza mdahalo na sioi ? Asijaribu maana itakula kwake.

wala usitudanganye humu ndani yule mkikuyu wenu kutoka kenya hamwezi nassari hata kidogo,ingojeeni tu aibu yenu.
 
Binafsi naamini mwanzo wa kutatua matatizo ni kuyafahamu kwanza, kijana ameongea kutoka moyoni kama ulimsikiliza utakubaliana nami, katika hotuba zote za leo, yake ilinigusa sana..., nilitokwa na machozi....
Nakumbuka pia alisema.."na huyu ndo baba yangu" lakini ni vitu vya kawaida tu kuwakumbuka mama zaidi ya baba.

Vilevile hata ukijikwaa mguu kitakachofatia ni...Mama yangu!!!! Ni jambo la kawaida sana. Miezi tisa tumboni kuna mengi sana yanaendelea baina ya mama na mtoto
 
Nilifanikiwa kumsikiliza mwigulu kwenye kikao hapo nkoaranga anambomoa sana huyu dogo, inabidi ajipange sana. Kile kilichosemekana Lema ndio alimwokoa mwigulu jamaa akielezea watu mpaka wanatokwa machozi. In short jokakuu has a point cos detailing problems is not an issue the issue is program of solving it

Mwigulu anambomoaje Nassari, hebu funguka kidogo ili ueleweke. Kutokwa machozi kunaweza kusababishwa na vitu vingi!
 
Back
Top Bottom