>mwananchi: " sasa waziri fidia inalipwa kwa wenye nyumba, na sisi wapangaji inakuaje? tunastahili kulipwa"
>
>Magufuli: "Jenga ya kwako, tena we daktari huna nyumba"
>
>mwananchi2: "sasa waziri, huoni kwamba ni usumbufu kwa watanzania wenye hali ya chini kuvunjiwa nyumba na kuanza kuhangaika kutafuta pa kuishi, hivyo tufikirie kutufidia kidogo"
>
>Magufuli:"Kama unaona tanzania tunakusumbua hamia kenya"
Mkuu weka source of this information.
Sio kwamab sikuamini, lakini ni vema kujua ukweli ya hii habari.
hivyo viwanja walipima lini ?
Magufuli analewa madaraka huyu........majibu kama ya Lodilofa bana!!
mkuu usije ukawa umetunga stori kutengeneza Komedi..!!