kitumbotala
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 516
- 621
Kipindi cha shilawadu kilitawaliwa na tangazo LA mfano wa mdudu aina ya KAA ,kwamba KAA wakiwa kwenye bakuli au chombo na wakiamua kupanda ili watoke kila anae panda anavutwa chini na wenzie na mwisho wa Siku wote hawatoki japokuwa wote ni KAA.Na badae mwenye chombo anakuja kuwapika na wanakuwa kitoweo.Na wote wanapoteza maisha...
..
Swali!
JE? Hawa KAA ni akina nano haswa na huyu mwenye bakuli ambae aliwapika mwishowe ni nani?.
~~~~hapa ni wenye fikra kubwa tuu~~~
..
Swali!
JE? Hawa KAA ni akina nano haswa na huyu mwenye bakuli ambae aliwapika mwishowe ni nani?.
~~~~hapa ni wenye fikra kubwa tuu~~~