Kauli mbiu ya "KAA" Clouds Tv anasemwa nani?

kitumbotala

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
518
620
Kipindi cha shilawadu kilitawaliwa na tangazo LA mfano wa mdudu aina ya KAA ,kwamba KAA wakiwa kwenye bakuli au chombo na wakiamua kupanda ili watoke kila anae panda anavutwa chini na wenzie na mwisho wa Siku wote hawatoki japokuwa wote ni KAA.Na badae mwenye chombo anakuja kuwapika na wanakuwa kitoweo.Na wote wanapoteza maisha...
..
Swali!
JE? Hawa KAA ni akina nano haswa na huyu mwenye bakuli ambae aliwapika mwishowe ni nani?.
~~~~hapa ni wenye fikra kubwa tuu~~~
 
You are asking the anus while you have
..
Swali!
JE? Hawa KAA ni akina nano haswa na huyu mwenye bakuli ambae aliwapika mwishowe ni nani?.
~~~~hapa ni wenye fikra kubwa tuu~~~
 
Jambo wakuu ,Nimekua nikifuatilia matangazo ya clouds fm na wamekua na msemo maarufu kwa wiki hizi mbili ukihamasisha watu wasiwe kama mdudu kaa na ukifuatilia maudhui yake unaona kama kuna mtu anasemwa kulingana na tabia za mdudu kaa pleas mtuambie hy mdudu kaa ninani ili mumsaidie kuliko kuzunguka zunguka
 
Rugemalira Mutahaba anaandika...

Nimefikiria sana. Nahisi ni wajibu wangu kuandika kwenu wasanii maana Jana tulikuwa na kikao kirefu cha kupanga mikakati ya show, na Leo minong'ono iko kila mahali kutokana na alichosema RC asubuhi. Ukiniuliza tunafanya nn?? Nitasema sina jibu. Ukiniuliza najisikiaje nitakwambia roho inauma sana....sio kwa hiyo kauli ila nikiwaza hii chuki dhidi yangu kwann inaumiza wengine. Namuwaza mtoto wa Roma, Ivan, mtoto wa barnaba, mamaake na Darasa, ndugu, jamaa na wazazi wanaofaidika na kipato cha kazi yenu ya Sanaa. Tutapunguza nusu ya wasanii kwenye ratiba, najiuliza wanadhani wanamkomoa Ruge kweli?????? Kwann wasinichukue wakaniweka ndani siku 2 au 3 wasuuze mioyo yao kuliko kugusa maisha ya watu wadogo wanaotafuta. Miaka 17 ya kuhangaika Muziki wa Tanzania usimame wenyewe na upate heshima wenyewe ndo mwaka huo huo sanaa inavuliwa nguo. Kwa hiyo kwa miaka 16 ya wasanii wa nje tulipiga mpaka asubuhi Leo tumebaki wa Tanzania wenyewe, tunaambiwa hatustahili hii heshima. Mi nawaomba wote hata kama tutapewa one hour, we will perform hata kwa dakika 5 each and Historia itaandikwa. Kizingiti kisichokuua kinakufanya uwe imara zaidi. Mi nitaendelea kupigania sanaa ya Bongo....hata matamasha yakifungiwa tutarekodi na kuuza muziki.
 
Duuh
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom